Yani wee utopolo hapo huoni tatizoo kabisaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kojoaa kalalee maslahi ya taifaa unayajua wewe??? Unajua wageni wakiwemo watalii wangapi wanapitia Kenya Airways kuja Tz??? Au unaongeaa ili mradii tuu... Ukijua maslahi ya nchii haya yanayoendelea hayakupaswa kuwepooo kabisaaa sasa sijui unaongea mavi ganiii.... Hivi vindege vyetu tumbili wewe vinaishia songeaa tuuu[emoji23][emoji23]Wewe ni bonge la kondoo simply lofa kabisa, kuzika ndio mavi gani vileee, uhusiano usiozingatia maslahi ya Taifa letu na yafe hata sasa shenzi kabisa na akili kama za mende
Sawa, sasa wacha Tanzania iendelee kufanya biashara na Comoro na Madagascar wanaonunua karibu kila kitu kwao. Hata hayo machungwa, nyanya na vitunguu wanavihitaji zaidi tena kwa bei yenye faidaUganda exports more to Kenya than Tanzania about 5 times more than Tanzania. Nyinyi mukijidanganya na machungwa, nyanya na vitunguu, Uganda wana safirisha finished products kukuja Kenya.
Hapa kila mtu abebe mzigo wake, kwani kuna umuhimu Gani wa kushirikiana Kama kila nchi inadhani kwamba sio muhimu kumshirikisha mwengine kabla ya kutoa maamuzi?Ni vema tukaangalia tulipojikwaa kwanza kabla ya kuangalia tulipoangukia !
Tujiulize tumefikaje hapa?
Mbona Nchi nyingine wanachama wa jumuia jirani kama Uganda hazijapigwa ban?
Sababu ni nini?
Je nini kifanyike kwa busara?
Duh, hapa sasa patamu. Hivi tuna wizara ya mashauri ya kigeni? Na ile EAC je?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani alieanza ni nani mzee???? Umesahau kuna wajumbe wa kumzika mkapa wamerudia anganii na ndegee yaooo...???
Kwani KQ kuja TZ walikuwa wanapanda wa Kenya tu ?
Hudhani kuwa kuna wa Tanzania Kibao wata loose katika hilo ?
Au unadhan KQ kuja Bongo hakuna Faida kwa TZ ?
Karibia nchi zote za Africa zinatangaza, mbona pia wamezifungia?, tumia akili kidogo
Kukusanya revenu ukiwa kwenye loss unaona umefanya la maanaYes it makes losses but revenue have been growing or you do not know the difference between revenues and profit?
Ndio sababu tumepiga marufuku ndege zenu ili muendelee na Uganda, kila mtu abaki kwake, sisi tunao majirani 7 tunafanya nao biadhara, Kenya mpo na Uganda na Rwanda pekeeUganda exports more to Kenya than Tanzania about 5 times more than Tanzania. Nyinyi mukijidanganya na machungwa, nyanya na vitunguu, Uganda wana safirisha finished products kukuja Kenya.
Yani wee utopolo hapo huoni tatizoo kabisaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kojoaa kalalee maslahi ya taifaa unayajua wewe??? Unajua wageni wakiwemo watalii wangapi wanapitia Kenya Airways kuja Tz??? Au unaongeaa ili mradii tuu... Ukijua maslahi ya nchii haya yanayoendelea hayakupaswa kuwepooo kabisaaa sasa sijui unaongea mavi ganiii.... Hivi vindege vyetu tumbili wewe vinaishia songeaa tuuu[emoji23][emoji23]
Wewe sababu tz haitangazi bhasi unaamini hakuna Corona???? Kenya wenyewe wangekuwa hawatangazi hiyo Corona isingekuwepo tatizo Hela za mabeberu walizokulaaa[emoji23][emoji23][emoji23] Corona imeua watu 200 sijui hukp kenya lakini kuna magonjwa yaneua zaidi ya hio idada lakini hakuna anaejali hiloo sababu ya Misaada lakini Kamwe usifikiria tz hakuna Corona juzi tu kuna shangazi yangu tumemzikaa...Ndio
Ndio, wao bado wana corona nyingi, na bado hata masharit kwao ni makubwa na wanatanagaza corona kwa wingi.
Pia ukumbuke pale kwenye msiba watatakiwa kukaa VIP huku wao wana corona, kwa hiyo ni rahisi kuwaambukiza viongozi wetu wa kitaifa.
Sasa hizo ndege huwaga zinabeba Viazi au????? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndege nyingi zinabeba watalii toka nje sasa hapo sijui unafanyaa nini.HII BADO HAITOSHI,NILIKUWA NAOMBA SERIKALI IPIGE MARUFUKU NDEGE YA AINA YEYOTE KUTOKEA KENYA HAITARUHUSIWA KUTUA NCHINI TANZANIA,MAANA WANAWEZA ZUIA KQ KUTUA HAPA HALAFU WATU WAO WAKATUMIA MASHIRIKA MENGINE KUTUA NCHINI KWETU,KAMA ETHIOPIAN AIRLINES,RWANDAIR,N.K,HIVYO BASI ILI WASITULETEE CORONA INAPASWA NDEGE YEYOTE KUTOKEA KENYA HAIPASWI KUTUA NCHINI KWETU.
Kama unakubali Tanzania kuna wakenya wengi tena proffesionals na sisi atujawahi funga kazi sababu ya COVID meaning they would be at most risk.Hivi unajua watanzania wengi wako Kenya? Tofauti ni moja, Mukifukuza wakenya mutakuwa munafukuza professionals na wanabiashara wanao nunua hizo vitungu na nyanya zenyu(Watu wanaojenga uchumi na walio na umuhimu kwa nchi). Kenya ikifukuza watanzania itafukuza makahaba, omba omba wa barabarani, na watu wa kubeba mizigo hapo gikomba (Kazi zisizo muhimu kwa Taifa).
Kaka achana na udaku hapa tunajadiliana mamba ya msingi, ikiwa nchi zote mbili zinasema sababu ya ujumbe wa Kanya kushindwa kuingia Tanzania ni kutokana na matatizo ya kitaalamu, wewe unapata wapi haya unayoyasema?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani alieanza ni nani mzee???? Umesahau kuna wajumbe wa kumzika mkapa wamerudia anganii na ndegee yaooo...???
Utavuna unachopandaTanzanians are not allowed to go to Europe
Tanzanians are not allowed to go to US
US are not allowed to go to Europe
Kenya is also not allowed to go to Europe
UK citizens cant come Kenya
200+ coutries can't come to kenya
Very few countries allow Tanzanians if any
World is closed airflight wise
Lakini TZ na umama, has decide to ban KQ emotionally
Mbona KLM, emirates, BA, e.t.c are not banned since they also put same resrictions like Kenya?
Lazima ufunzwe biashara, if you run business at a loss but revenues keep increasing it means the business is still viable and demand for your product is there. Yani watanzania hamjui kufanya biashara? It also means the underlying product is valuable and the losses are due to operational costs not market demand. A bigger problem would be if the losses were due to market demand.Kukusanya revenu ukiwa kwenye loss unaona umefanya la maana