Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Kibiashara, Uganda ipo karibu na Kenya kuliko Tanzania.

Uganda yupo desperate kupata uwekezaji hata kwa gharama ya kujishusha.
 


Wao wanamaamuzi yao kama Taifa kwa maslahi mapana ya nchi yao!

Mimi siyo mtu wa kushabikia mambo kama ushabiki wa simba na yanga napenda kusimama kwenye haki na ukweli wa mambo bila kujali mimi niko upande upi!
 
Wewe ndio huelew iliyozuiwa ni KQ, na sio ndege zingine, Ethiopia airlines, KLM hawajazuiwa Kenya wala bongo, kwahiyo watapita Kenya na watakuja bongo pia, shida ikowapi hapo, watu watakuja tz na watu wataenda Kenya lakin sio kutumia KQ wala ATCL.
Hakuna shirika la ndege la nchi nyingine inayoweza kuruka toka nchi nyingine ambayo sio nchi yake na kutua nchi ambayo sio nchi yake.

Kwa mfano, KLM haiwezi kutoka Nairobi kuja Dar, lazima iende Amsterdam ndio ije Dar. Labda useme raia wa Kanya wasiruhusiwe kuingia Tanzania
 
Mwamba MAGUFURI anzisha oparation ya kuwasaka wa kenya walioko Tanzania na kuwarudisha makwao [wamejaa Tanzania na awafuati taratibu za nchi]“”kwa mtu anaewafaamu hawa jamaa “”sio watu wazuri kabisa,
Mwanangu kausha basi[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Mbona South Africa na Nigeria hazijafanya hivyo?
Sisi sio wao maana ninyi ni majirani lakini ni washirika muhimu wa kibiashara hivyo mulifanya ili kutukomoa ndio maana tumewaonesha kwamba hatujapendezwa
 
Duka gani na kwa bidhaa zipi
Maduka ni mengi kuanzia ya dawa baridi mpaka ya bidhaa za kawaida, na ukienda mikoa ya kanda ya ziwa na kilimanjaro ndo soko kubwa la bidhaa hizo.
 
Wewe ndio huelew iliyozuiwa ni KQ, na sio ndege zingine, Ethiopia airlines, KLM hawajazuiwa Kenya wala bongo, kwahiyo watapita Kenya na watakuja bongo pia, shida ikowapi hapo, watu watakuja tz na watu wataenda Kenya lakin sio kutumia KQ wala ATCL.
Hapana inamaanisha KLM ikitoka Nairobi ikuje Tanzania, isirudi tena nairobi itoke huko ikienda amsterdam kwa vile abiria kutoka Tanzania hawaruhusiwi katika uwanja zetu za ndege. Hata ATCL haijafungiwa ni abiria wa kutoka Tanzania, yani hata ukuwe mtalii unapitia nairobi amabayo ndiyo hub ya east and central africa kutoka Tanzania hauruhusiwi. Hii ndiyo msimamo ya Kenya.
 
Kwani ni lazima KQ kuja Tanzania?, tumeamua hivyo na tunaomba muheshimu maamuzi yetu tafadhali Sana.
 
Sasa kama wewe unazuia RAIA wake wasije kwako kwa nini yeye aruhusu ndege zako kutua kwako
Kweli mkuu. Nilisema jana, hiki si kisasi bali ni kuunga mkono hoja ya Kenya. Kama sisi tukienda kwao tutapeleka corona basi hata wao wakija kwetu watachukua corona. Suluhisho kila mmoja abaki kwake.
 
Bro

Tupo kwenye topic ya Kenya na Tanzania

Ya Kagame huyajui,unaharisha tu...blah blah blah

Fungua uzi wake tukabishane huko tuwekeane evidences sio maneno chungu nzima huku!

Economic and geopolitic wars between nchi na nchi sio kama ugomvi emotional ulionao huko majumbani mwenu na wake zenu,utaumia wewe!

This is chess,wewe lete wenge uone!
 
Kibiashara, Uganda ipo karibu na Kenya kuliko Tanzania.

Uganda yupo desperate kupata uwekezaji hata kwa gharama ya kujishusha.
Je unajua, Uganda iko na professionals na wasomi wengi nchini kenya kuliko Tanzania?
Je unajua, Uganda inakuwa kwa kasi kubwa kiuchumi kushinda Tanzania kwa sababu ya biashara na Kenya?
Je unajua, Mganda hahitaji work permit kufanya kazi Kenya?
 
Sawa, iendelee kuwa hivyo. Waendelee kufanyana na uganda yake tu.
 
Wao wanamaamuzi yao kama Taifa kwa maslahi mapana ya nchi yao!

Mimi siyo mtu wa kushabikia mambo kama ushabiki wa simba na yanga napenda kusimama kwenye haki na ukweli wa mambo bila kujali mimi niko upande upi!
Hata Tanzania pia ina maamuzi yake, Kama Tanzania imeamua kuzuia ndege za Kenya kwa sababu yoyote ile, hilo pia limefanyika kwa maslahi ya Tanzania, Tafadhali heshimu maamuzi ya kila nchi.
 

Think clearly, friend. Kenya and Tanzania are immediate neighbors. They share a lot, for better or worse. Do not compare TZ/KE interactions (business and social) with European, Asian etc. In this issue, here's nothing more irrational than Kenya placing TZ the same group with US, South Africa or even DR Congo.
 
Waswahili waliwahi kusema mwanzo wa ngoma ni lele! Hizi si dalili nzuri kwa mustakabali wa jumuiya yetu. Itabidi kifanyike kitu kuokoa jahazi, huku kutunishiana misuli sidhani kama kutakua na suluhisho la kudumu!
tushazoea, rwanda ug pia hutunishiana misuli
 
Kwani wakenya hawapo Tz?Nao pia watatimliwa.kenya inatumiwa na mabeberu.Wao wanajiona SI sehemu ya Afrika Bali ni sehemu ya mabeberu na watakapowageuka akili itawasogea
 
Ndio tunakoenda mkuu! Mzee hakuwa na haja ya kurudishaa wale wajumbe[emoji29][emoji29][emoji29] mbona yeye huwa haendii sasa anataka wenzake wamtukuzee kama nani.
misibani huwa anaenda makamu rais mama samia ama majaliwa, wale walikuwa watu tu sio viongozi wakuu, plua walirudi kwao kwasababu za kiufundi za kiusafiri, hawakurudishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…