Hakuna EAC hapa. Kuna watu wanalipwa mishahara na EAC, basi! Kenya anaiona EAC kama soko la bidhaa za wazungu wnaoishi Kenya, FINITO! EAC hina msaada kwa mwanachama yeyote! Iwe ni Burundi, Southern Sudan, etc.Waswahili waliwahi kusema mwanzo wa ngoma ni lele! Hizi si dalili nzuri kwa mustakabali wa jumuiya yetu. Itabidi kifanyike kitu kuokoa jahazi, huku kutunishiana misuli sidhani kama kutakua na suluhisho la kudumu!
Jifunxe kujitegemea mzee nan alieanza kwere Kati ya Tanzania na Kenya Yan we upigwe alafu uende kuomba msamahaMIMI NINA OBSERVATION TOFAUTI;
1. Huu mgogoro wa Kenya na Tanzania ni ishara ya ku fail kwa diplomasia ya kimataifa chini ya utawala wa Magufuli....
2. Mgogoro ni ishara lipo tatizo kubwa zaidi ambalo halisemwi na ndiyo chanzo cha mgogoro huu. Haiwezekani ishu iwe ni korona wakati vikao na vikao kati ya viongozi wa nchi hizi mbili vimekaa kutafuta ufumbuzi, yet mgogoro hauishi badala yake unazidi kukua tu....!
3. Mgogoro huu hauwaumizi watawala wa serikali ya CCM bali wananchi wa kawaida kabisa wa itikadi za kisiasa zote ambao maisha yao yanategemea mahusiano mema kati ya nchi hizi mbili. Wananchi tukatae uhuni huu na interests za watu binafsi (watawala) kutuumiza sisi....
2. Aidha, mimi nilidhani pia wangepiga marufuku kila ndege inayopitia Kenya kuja Tanzania ya shirika la ndege lolote like. Lakini kuilenga KQ tu inadhihirisha kabisa liko jambo jingine lililo chanzo cha mgogoro huu na siyo virusi vya Corona kamwe...
Fire gani bwashee?Wacha wakwamie huko mkatalii nao mjini!
Dont start a fire you can't finish...
Na bado hilo jibu la haraka ila nategemea kutafanyika maboresho makubwa juu ya kuwaminya hawa nyangauKumekucha kumekucha mbona tutaheshimiana tu
Kaka lazima kuwepo na bilateral agreement ya kuruhusu hizo ndege kutua katika nchi zingine bila kurudi nchini kwao. Kama KLM inatoka Nairobi na kuja Tanzania, basi lazima inatumia kibali cha KQ, taja ni ndege gani ingine inafanya hivyo?.Hapana! KWa masoko madogo ya Afrika wanatua tu! Ndo maana KQ inakwenda Zambia kupitia Harare na Maputo. Kuna KLM inayopitia Nairobi kuja Dar.
Tatizo la Wakenya hawataki kukubali kwamba wana tatizo ambalo kiasi fulani TZ halijatupiga sana, COVID-19. KIla wakati hawaoni sababu ya TZ kuwa na hali nzuri. Wanaelewa tuko 60 mil. na hawataki kuiona size ya nchi kwamba ktk EAC TZ ni Anchor ya kuwafanya wasiyumbe, hata kiuchumi. Kila wakati wanasababu za kitoto badala ya diplomasia. Lakini ni wanyonge sana kwa nchi za ulaya au wazungu. Yoote waliyoyafanya na lockdown yao ni kama kuigiza ulaya wanavyofanya. Tutaelewana tu!
Kenya wanaboa sana wanatuonea wivu huku hali ni shwari angali wao covid inawawashia moto. Nani akiwaambia waige mabeberuHii ndio namna ya ku-deal na hawa watu, wanajiona wana akili sana.
Wananchi wa hali ya chini ndio watakaolala njaaMboga na ugali vyote vimemwagwa tuone sasa nani mjanja.
MIMI NINA OBSERVATION TOFAUTI;
1. Huu mgogoro wa Kenya na Tanzania ni ishara ya ku fail kwa diplomasia ya kimataifa chini ya utawala wa Magufuli....
2. Mgogoro ni ishara lipo tatizo kubwa zaidi ambalo halisemwi na ndiyo chanzo cha mgogoro huu. Haiwezekani ishu iwe ni korona wakati vikao na vikao kati ya viongozi wa nchi hizi mbili vimekaa kutafuta ufumbuzi, yet mgogoro hauishi badala yake unazidi kukua tu....!
3. Mgogoro huu hauwaumizi watawala wa serikali ya CCM bali wananchi wa kawaida kabisa wa itikadi za kisiasa zote ambao maisha yao yanategemea mahusiano mema kati ya nchi hizi mbili. Wananchi tukatae uhuni huu na interests za watu binafsi (watawala) kutuumiza sisi....
2. Aidha, mimi nilidhani pia wangepiga marufuku kila ndege inayopitia Kenya kuja Tanzania ya shirika la ndege lolote like. Lakini kuilenga KQ tu inadhihirisha kabisa liko jambo jingine lililo chanzo cha mgogoro huu na siyo virusi vya Corona kamwe...
Fire gani bwashee?
Mimi hua situmii emotions za kipumbavu kutoa decisions...
Hii decision hawa wapumbavu wetu waliochukua kutoa hilo tamko,ni jepesi mno,wangetakiwa waje na real answers to this problem na sio shortcuts kama hizi!
Jee,hili jawabu walilotoa hawa wehu ni best for our best interest economically na geopolitically in a long run?
Hilo jibu lake sio rahisi,inatakiwa ubongo,na ni too bad watu wetu hawana Bytes za kutosha bongoni mwao ku-analyze this na kuja na meaningful decisions!
Sijui lini TZ tutakua na akili na calculating mindset with our 100% interests on board!
Mkuu it is not just 3 airports,it is 3 international airports.The most lucrative route in EA ya KQ ni Tanzania ikifuatiwa na Uganda, kumbuka Tanzania KQ inakuja ktk 3 airports, wakati Uganda ni Entebe pekee.
Wanatuonea wivu tumeishinda Corona sasa wanatuchokonoaWanafikiri wao ni nani kwa mfano? Wakwendee huko, wapambane na stress zao za covid.
Tanzania tupo shwari
MkuuMaandiko yako mbona ndo yanatoa huruma ya kuomba kuhurumiwa na wakenya jifunxe lujitegemea kwa kila kitu itakusaida Kwan muda wa kulea upumbavu na wapumbavu ulishapita
Hapana! KWa masoko madogo ya Afrika wanatua tu! Ndo maana KQ inakwenda Zambia kupitia Harare na Maputo. Kuna KLM inayopitia Nairobi kuja Dar.
Tatizo la Wakenya hawataki kukubali kwamba wana tatizo ambalo kiasi fulani TZ halijatupiga sana, COVID-19. KIla wakati hawaoni sababu ya TZ kuwa na hali nzuri. Wanaelewa tuko 60 mil. na hawataki kuiona size ya nchi kwamba ktk EAC TZ ni Anchor ya kuwafanya wasiyumbe, hata kiuchumi. Kila wakati wanasababu za kitoto badala ya diplomasia. Lakini ni wanyonge sana kwa nchi za ulaya au wazungu. Yoote waliyoyafanya na lockdown yao ni kama kuigiza ulaya wanavyofanya. Tutaelewana tu!
Meno mawili mshwaki wa Nini?Serikali ya Tanzania yaipiga KQ Airways kutua nchini
"Wakimwaga ugali tunamwaga mboga"
"Magufuli baba lao"View attachment 1523058View attachment 1523059
Ah wapii.... dawa ya jeuri ni kiburi!Waswahili waliwahi kusema mwanzo wa ngoma ni lele! Hizi si dalili nzuri kwa mustakabali wa jumuiya yetu. Itabidi kifanyike kitu kuokoa jahazi, huku kutunishiana misuli sidhani kama kutakua na suluhisho la kudumu!
Hii itasaidia wateja wengi watatumia precision airHakuna ndege yoyote inayomilikiwa na Kenya iitakayoruhusiwa kuingia Tanzania, Precision air ni kampuni la Kitanzania, wakenya wamenunua hisa tu, lakini accounts zote na HQ ipo Tanzania.
Kwa hiyo TZ imesusa sio ?Kwa vyovyote vile itakavyokua, serikali imechukua hatua muafaka. Kubwa zaidi katika hili ni kwamba Kenya inakumbushwa kwamba zama hizi sio za 'kuichukulia poa' TZ. Kama kuna shida ni muhimu nchi hizi zikutane na kujadiliana kwa heshima na kutafuta njia kama 'business partners'. Kitendo cha kuzuia Watanzania wasitue Kenya kwa sababu ya Corona, wakati huo huo Wakenya wanaingia na kutoka Tanzania kila siku as if wao hawawezi kubeba Corona kupeleka kwao, hakikubaliki. Ukumbuke Kenya na Tanzania ni majirani wa karibu zaidi wanashirikiana mengi kwa kupenda au kutokupenda. Haiingii akilini Kenya kuiweka Tanzania kundi moja na nchi za mbali huko kama US, Afriaka ya Kusina au hata DR Congo. Vivyo hivyo TZ inatakiwa iione Kenya kama 'special' business partners.
Huu upuuzi wenu ndio hatuutaki, hicho kijumuiya kisipokuwepo shida iko wapi? Nyang'au dawa yake ndio hiyoWaswahili waliwahi kusema mwanzo wa ngoma ni lele! Hizi si dalili nzuri kwa mustakabali wa jumuiya yetu. Itabidi kifanyike kitu kuokoa jahazi, huku kutunishiana misuli sidhani kama kutakua na suluhisho la kudumu!