Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Waswahili waliwahi kusema mwanzo wa ngoma ni lele! Hizi si dalili nzuri kwa mustakabali wa jumuiya yetu. Itabidi kifanyike kitu kuokoa jahazi, huku kutunishiana misuli sidhani kama kutakua na suluhisho la kudumu!
Hakuna EAC hapa. Kuna watu wanalipwa mishahara na EAC, basi! Kenya anaiona EAC kama soko la bidhaa za wazungu wnaoishi Kenya, FINITO! EAC hina msaada kwa mwanachama yeyote! Iwe ni Burundi, Southern Sudan, etc.
TZ iko serious na SADC siyo EAC ambayo ni talk show.
 
MIMI NINA OBSERVATION TOFAUTI;

1. Huu mgogoro wa Kenya na Tanzania ni ishara ya ku fail kwa diplomasia ya kimataifa chini ya utawala wa Magufuli....

2. Mgogoro ni ishara lipo tatizo kubwa zaidi ambalo halisemwi na ndiyo chanzo cha mgogoro huu. Haiwezekani ishu iwe ni korona wakati vikao na vikao kati ya viongozi wa nchi hizi mbili vimekaa kutafuta ufumbuzi, yet mgogoro hauishi badala yake unazidi kukua tu....!

3. Mgogoro huu hauwaumizi watawala wa serikali ya CCM bali wananchi wa kawaida kabisa wa itikadi za kisiasa zote ambao maisha yao yanategemea mahusiano mema kati ya nchi hizi mbili. Wananchi tukatae uhuni huu na interests za watu binafsi (watawala) kutuumiza sisi....

2. Aidha, mimi nilidhani pia wangepiga marufuku kila ndege inayopitia Kenya kuja Tanzania ya shirika la ndege lolote like. Lakini kuilenga KQ tu inadhihirisha kabisa liko jambo jingine lililo chanzo cha mgogoro huu na siyo virusi vya Corona kamwe...
Jifunxe kujitegemea mzee nan alieanza kwere Kati ya Tanzania na Kenya Yan we upigwe alafu uende kuomba msamaha
 
Wacha wakwamie huko mkatalii nao mjini!
Dont start a fire you can't finish...
Fire gani bwashee?

Mimi hua situmii emotions za kipumbavu kutoa decisions...

Hii decision hawa wapumbavu wetu waliochukua kutoa hilo tamko,ni jepesi mno,wangetakiwa waje na real answers to this problem na sio shortcuts kama hizi!

Jee,hili jawabu walilotoa hawa wehu ni best for our best interest economically na geopolitically in a long run?

Hilo jibu lake sio rahisi,inatakiwa ubongo,na ni too bad watu wetu hawana Bytes za kutosha bongoni mwao ku-analyze this na kuja na meaningful decisions!

Sijui lini TZ tutakua na akili na calculating mindset with our 100% interests on board!
 
Hapana! KWa masoko madogo ya Afrika wanatua tu! Ndo maana KQ inakwenda Zambia kupitia Harare na Maputo. Kuna KLM inayopitia Nairobi kuja Dar.

Tatizo la Wakenya hawataki kukubali kwamba wana tatizo ambalo kiasi fulani TZ halijatupiga sana, COVID-19. KIla wakati hawaoni sababu ya TZ kuwa na hali nzuri. Wanaelewa tuko 60 mil. na hawataki kuiona size ya nchi kwamba ktk EAC TZ ni Anchor ya kuwafanya wasiyumbe, hata kiuchumi. Kila wakati wanasababu za kitoto badala ya diplomasia. Lakini ni wanyonge sana kwa nchi za ulaya au wazungu. Yoote waliyoyafanya na lockdown yao ni kama kuigiza ulaya wanavyofanya. Tutaelewana tu!
Kaka lazima kuwepo na bilateral agreement ya kuruhusu hizo ndege kutua katika nchi zingine bila kurudi nchini kwao. Kama KLM inatoka Nairobi na kuja Tanzania, basi lazima inatumia kibali cha KQ, taja ni ndege gani ingine inafanya hivyo?.

Hiyo route ni kwa ajili ya KQ na ATCL lazima walinde soko lao, wakiruhusu kiholela mashirika makubwa ya ndege yatavamia na kuuwa mashirika ya nchi husika
 
Hii ndio namna ya ku-deal na hawa watu, wanajiona wana akili sana.
Kenya wanaboa sana wanatuonea wivu huku hali ni shwari angali wao covid inawawashia moto. Nani akiwaambia waige mabeberu
 
Shukrani sana sana awamu hii Magufuli ubarikiwe sana sana, naamini barua ziko customized kwenda pia kwa Jambo na Precision Air, zama za upole wasahau kabisa
 
Kweli Mkuu why KQ pekeee??? je ndege zinazopita Kenya kujaa hukuuu...[emoji23][emoji23] Wakisema ndege zote zinazopita kenya hapo ndo balaa
MIMI NINA OBSERVATION TOFAUTI;

1. Huu mgogoro wa Kenya na Tanzania ni ishara ya ku fail kwa diplomasia ya kimataifa chini ya utawala wa Magufuli....

2. Mgogoro ni ishara lipo tatizo kubwa zaidi ambalo halisemwi na ndiyo chanzo cha mgogoro huu. Haiwezekani ishu iwe ni korona wakati vikao na vikao kati ya viongozi wa nchi hizi mbili vimekaa kutafuta ufumbuzi, yet mgogoro hauishi badala yake unazidi kukua tu....!

3. Mgogoro huu hauwaumizi watawala wa serikali ya CCM bali wananchi wa kawaida kabisa wa itikadi za kisiasa zote ambao maisha yao yanategemea mahusiano mema kati ya nchi hizi mbili. Wananchi tukatae uhuni huu na interests za watu binafsi (watawala) kutuumiza sisi....

2. Aidha, mimi nilidhani pia wangepiga marufuku kila ndege inayopitia Kenya kuja Tanzania ya shirika la ndege lolote like. Lakini kuilenga KQ tu inadhihirisha kabisa liko jambo jingine lililo chanzo cha mgogoro huu na siyo virusi vya Corona kamwe...
 
Sasa bwashee ngoja nkuulize...
Hapo kwa Scenario hyo decision gani ingetakiwa ifanyike..?

Honestly kwangu mimi Covid19 ni economic war Tz tumejifunza kuishi nayo tofaut na hapo tungeendelea kupokea misaada kwasabab tu inatakiwa tutangaze updates which by all means ugonjwa ambao tiba yake haifahimiki ni bora kuzuia matangazo kuacha watu wafanye activity zao.

Sasa kenya wanateseka hatutangazi wamepima airport kwao wakaona tunayo? Kama ndio waekwe quarantine.. tofaut na hapo ni chuki ndo zinafanya maamuzi kama haya mbona TZ hawakufunguka wala kumzuia mkenya kuingia huku.

All in all let's watch and see
Fire gani bwashee?

Mimi hua situmii emotions za kipumbavu kutoa decisions...

Hii decision hawa wapumbavu wetu waliochukua kutoa hilo tamko,ni jepesi mno,wangetakiwa waje na real answers to this problem na sio shortcuts kama hizi!

Jee,hili jawabu walilotoa hawa wehu ni best for our best interest economically na geopolitically in a long run?

Hilo jibu lake sio rahisi,inatakiwa ubongo,na ni too bad watu wetu hawana Bytes za kutosha bongoni mwao ku-analyze this na kuja na meaningful decisions!

Sijui lini TZ tutakua na akili na calculating mindset with our 100% interests on board!
 
Maandiko yako mbona ndo yanatoa huruma ya kuomba kuhurumiwa na wakenya jifunxe lujitegemea kwa kila kitu itakusaida Kwan muda wa kulea upumbavu na wapumbavu ulishapita
Mkuu

Huruma gani?

Mimi kama capitalist I dont like or love anybody,weather ni Mtanzania au Mkenya au matakor ya nani..

Mimi nataka Kenyans' money and not otherwise!

Sijui huruma ya nani na nani,na sijui blah blah,hayo yote ni nonsense to me!

With Kenya coming up with their decision in place,wana sababu,na sababu zao ni corona in TZ,ni kazi ya serikali mfu ya TZ kuwahakikishia Kenyans kwamba TZ hakuna korona...

Hawa wafu hawajafanya hiyo kazi,walichokuja kufanya ni mkurupuko wa kujifanya na wao kuwafungia Wakenya as if maamuzi yao hawana hoja vile..

Kenyans wana legitimate hoja in place,Tanzanians tulitakiwa kuijibu kwamba hatuna korona na evidences hizi hapa,wawe convinced biashara iendelee.

Na pia kama hawatakua convinced then chukua hatua ufanye wanakihitaji kuhusu hiyo korona waone kweli...Wakikataa bado kuna proper decisions to take without killing hela ya biashara na mengine tunayovuna toka Kenya...

Kenya ni customer,hizi emotions kama mpo mirembe muwe mnaacha mtumie akili kufanya kazi na kutoa maamuzi serious yenye ubongo ndani na sio huu upumbavu wa darasa la pili A...

Fvck these lunatics!
 
Hapana! KWa masoko madogo ya Afrika wanatua tu! Ndo maana KQ inakwenda Zambia kupitia Harare na Maputo. Kuna KLM inayopitia Nairobi kuja Dar.

Tatizo la Wakenya hawataki kukubali kwamba wana tatizo ambalo kiasi fulani TZ halijatupiga sana, COVID-19. KIla wakati hawaoni sababu ya TZ kuwa na hali nzuri. Wanaelewa tuko 60 mil. na hawataki kuiona size ya nchi kwamba ktk EAC TZ ni Anchor ya kuwafanya wasiyumbe, hata kiuchumi. Kila wakati wanasababu za kitoto badala ya diplomasia. Lakini ni wanyonge sana kwa nchi za ulaya au wazungu. Yoote waliyoyafanya na lockdown yao ni kama kuigiza ulaya wanavyofanya. Tutaelewana tu!

1. HAPANA, Kenya wanatambua kuwa wana tatizo la COVID 19 na kwa kutambua kuwa wana tatizo, wanatumia kila njia kuli - contain tatizo hilo. Hii ni mojawapo....

Lakini sisi TZ badala ya kuwahakikishia Kenya kwamba hatuna COVID - 19 kwa ushahidi unaokubalika kisayansi, tumekurupuka tu huko na kurusha ngumi hewani bila kujua unampiga nani na matokeo yake unaweza jikuta unapiga mangumi wananchi wako mwenyewe na ndivyo ilivyo hata sasa....

Kwa vyovyote, Kenya wanajua walifanyalo. Wanajua kabisa kuwa tukifanya hivi kwa TZ, wao watajibu kwa namna hii. Tukiifyngia ATCL wao wataifungia KQ. Nairobi Airport siyo sawa na DSM Airport. Nairobi Airport ni "HUB" ya EA and CA nzima. DSM/TZ inaitegemea sana NRB/Kenya lakini NRB/Kenya inaweza kuwepo hata DSM/TZ isipokuwepo. Huu ndiyo ukweli mchungu kuumeza kwa waTZ....

2. Nchi zingine haziko serious na tatizo hili. Zinalishughulikia "kisiasa" zaidi kuliko kitaalamu. Hivi ndivyo ilivyofanyika na inavyofanyika Tanzania na baadhi ya nchi zingine. Kwa namna hii ni lazima tu mtofautiane ktk approach kila nchi ikiamini kuwa approach yake ndiyo sahihi zaidi...

3. Na kwa ufupi sana, ni kuwa, hili ndilo lililokuwa lengo na "PEPO/SHETANI WA COVID - 19" kuachiliwa. Kwamba ili kuvuruga mfumo wa maisha ya watu waliouzoea na kuleta mitafaruku miongoni mwa jamii na kisha ku - set new system and life styles....

Tusishangae, haya ndiyo mabadiliko yaliyosababishwa na ujio wa COVID - 19....
 
Waswahili waliwahi kusema mwanzo wa ngoma ni lele! Hizi si dalili nzuri kwa mustakabali wa jumuiya yetu. Itabidi kifanyike kitu kuokoa jahazi, huku kutunishiana misuli sidhani kama kutakua na suluhisho la kudumu!
Ah wapii.... dawa ya jeuri ni kiburi!

Tutaenda sambamba na hawa nyang'au na kizungu-pori chao!
 
Hakuna ndege yoyote inayomilikiwa na Kenya iitakayoruhusiwa kuingia Tanzania, Precision air ni kampuni la Kitanzania, wakenya wamenunua hisa tu, lakini accounts zote na HQ ipo Tanzania.
Hii itasaidia wateja wengi watatumia precision air
 
COVID yenyewe waingereza wametoa report yao wanadai if you are over 90 years of age una 1/50 chances of dying ukipata.

Ukishuka kwenye 40 year olds, the odds of being hit by a car are higher than dying with COVID.

COVID ni tatizo kwa watu wenye medical condition haswa type 2 diabetes hawa ndio shida.

The fuss they make huko ni culture tu ya pressure groups na serikali kutii, lakini apparently COVID si lolote si chochote kwa watu wasio na type 2 diabetes.
 
Kwa vyovyote vile itakavyokua, serikali imechukua hatua muafaka. Kubwa zaidi katika hili ni kwamba Kenya inakumbushwa kwamba zama hizi sio za 'kuichukulia poa' TZ. Kama kuna shida ni muhimu nchi hizi zikutane na kujadiliana kwa heshima na kutafuta njia kama 'business partners'. Kitendo cha kuzuia Watanzania wasitue Kenya kwa sababu ya Corona, wakati huo huo Wakenya wanaingia na kutoka Tanzania kila siku as if wao hawawezi kubeba Corona kupeleka kwao, hakikubaliki. Ukumbuke Kenya na Tanzania ni majirani wa karibu zaidi wanashirikiana mengi kwa kupenda au kutokupenda. Haiingii akilini Kenya kuiweka Tanzania kundi moja na nchi za mbali huko kama US, Afriaka ya Kusina au hata DR Congo. Vivyo hivyo TZ inatakiwa iione Kenya kama 'special' business partners.
Kwa hiyo TZ imesusa sio ?
 
Waswahili waliwahi kusema mwanzo wa ngoma ni lele! Hizi si dalili nzuri kwa mustakabali wa jumuiya yetu. Itabidi kifanyike kitu kuokoa jahazi, huku kutunishiana misuli sidhani kama kutakua na suluhisho la kudumu!
Huu upuuzi wenu ndio hatuutaki, hicho kijumuiya kisipokuwepo shida iko wapi? Nyang'au dawa yake ndio hiyo
 
Back
Top Bottom