Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Waswahili waliwahi kusema mwanzo wa ngoma ni lele! Hizi si dalili nzuri kwa mustakabali wa jumuiya yetu. Itabidi kifanyike kitu kuokoa jahazi, huku kutunishiana misuli sidhani kama kutakua na suluhisho la kudumu!
Nyie mlifanya nini wakati Uganda na Rwanda wanatunishiana misuli.
 

May you are right...

Lakini wakati wa JK, the problem was solved diplomatically na likawa resolved once...

Katika utawala huu kuna nini? Because a series of meetings of officials of these two governments have already met and sat to resolve the issue, lakini haliishi linakuwa linaibuka mara kwa mara tena....

Tujiulize tunafeli wapi?

Au ni kwa sababu Tanzania hata DC au RC anaweza kuibuka from nowhere na kuikoromea serikali yote ya Kenya??

Hii siyo kufeli kwa International diplomacy yetu? Huu ni uongozi wa nani? Si Rais ni Magufuli na chama tawala ni CCM? Nani sasa a - take responsibility ya lawama? Siyo Magufuli??

Huna haja ya kulikwepesha tatizo na kutaka kuwatwisha mzigo watu wengine ndugu. Itendee haki nafsi yako.. Ukikubali kusifiwa, kubali kubeba mzigo wa lawama pia...
 
Wakenya ndiyo wenye tatizo, wana mgogoro na Ethiopia, wana mgogoro na Uganda kugombea kisiwa na sasa wameanzisha mgogoro na Tanzania. Hapo ndipo utaona mwenye tatizo ni nani.
Huko koote angalau ila hapa walipochokoza sasa sipo ,Hapa Afrika mashariki bora ugombane na woote ila sio TZ maana nchi nyingi zimekua tegemezi Kwa %kubwa kuliko Tz
 
Nani alikudanganya eti Kenya tayari walikua decision kwamba hawaji huku tanzania?
Sikiliza breaking news hiyo ndio ujue


Mama D

By replacement law,Kenya akishasema mTZ asiende Kenya ni kwamba Kenyans hawaji huku on a flipside.

Bila hivyo hakuna meaning ya kukwepa covid-19

Na KQ si tatizo maana tayari ni dead airline,tulichonyimwa sisi ni total access ya JKIA which is an international hub

Kwahiyo mtu kuja TZ lazima apitie J'burg,kwanza ni mbali na pili SA watatupiga marufuku siku sio nyingi maana wapo serious sana na Covid-19.

Tutapigwa marufuku SA not long from now...na issue ni hii hii ya covid-19,hatuna majibu sahihi kwa hawa watu...

Shida Kenya kafanya hizi,mataifa mengine yata-follow suit na tutakua watu wa chooni kama Madagascar

Endeleeni kujifanya vituko kama Madagascar....

DJ lete vyombo....."in Kikwete's voice"
 
Mkuu

Unajitahidi kuwaeleza hawa wehu unfortunately hawatakaa waelewe...

TZ hatuna jibu la covid-19 kwa hawa watu.....

Soon mataifa mengine hapa Africa na Ulaya yatafuata uamuzi wa Kenya sababu tu tunafanya vituko na covid-19...

Hili tatizo lita-baloon kiwango cha ajabu...Kenya ni tip of the iceberg!
 
Ethiopia haiwezekani kupita...?!
 
Kwani KQ kuja TZ walikuwa wanapanda wa Kenya tu ?
Hudhani kuwa kuna wa Tanzania Kibao wata loose katika hilo ?
Au unadhan KQ kuja Bongo hakuna Faida kwa TZ ?
Anayetaka kuja TZ atatumia hub zingine kama Addis, Johannesburg, Kigali nk

Kenya wamejichanganya....ama kweli mtu ukikosa Mungu akili zinakuwa hazina maarifa na busara
 
Kenyatta alichemka big time kwenye kuhandle corona...
Alitaka kuwafurahisha waingereza sasa ataona madhara..
Nakumbuka tuliwapea hadi tausi
Nyinyi wakenya hamnanga shukrani!
 
Wakipiga marufuku hizo bidhaa mnazo zenu mnazozalisha, si mtakufa kibudu
 
Tunawalazimisha waje moja kwa moja au wapitie entebe kumbuka tumefungua majadiliano tena ya ujenzi wa bomba la Hoima
Mkuu

Be careful,Hoima is dead already!

Kua serious sometimes...kumbe bado upo na memories za 2015?

Sasa basi,Entebbe utapita,TZ unafikaje?

Entebbe zinatua ndege gani baba?Zinatua uchafu wa ndege kama hizi zinazotuaga JKNIA hapa..

Mind you,we will be in deep shit zaidi haya mataifa mengine serious na covid-19 yakifata uamuzi kama aliochukua Kenya..

Tunajipendekeza sana na SA,Ramaphosa alivyo serious na covid-19 ataipiga marufuku TZ sasa hivi...

Uganda wapo serious na covid,Rwanda the same,etc..hawa wote wakiamua kupiga pini kama Kenya sababu hatuna jibu la covid,then sijui mtasema nini?

Maana effect ya what Kenya did to other nations ndio tatizo...na I can see it coming...

We are in trouble mzee sababu ya haya mapunguani yanadhani ni Kenya tu ndio yupo worried na upumbavu wa covid wa TZ.
 
Mimi nafikiri sasa wewe tatizo lako na serikali ya tanzania ni personal zaidi kuliko huu mjadala uliopo.

Sijui kama wanaokujibu wamelielewa hilo au nao hawana kazi ya kufanya!!!!
 
Nlisema lazima Bwana yule alipize tu kisasi na yametimia.
Si kulipiza ila ni kuisaidia Kenya. Kenya kama wanahofu na Covid toka Tanzania walipaswa kuzuia ndege toka pande zote mbili yaani toka Kenya kwenda Tanzania na kutoka Tanzania kwenda Kenya na si kuzuia upande mmoja. Kwa nini wazuie ndege toka Tanzania na kuacha ndege toka Kenya ziendelee kuingia Tanzania?
 
China munayo majibu ya corona ? Au ndio akili za chademo, ingia mtandaoni uniletee takwimu ya Corona ya china ya hivi sasa
 
Kwani mzeee sisi tunabifu na ndege zingine au?????
 
Walijua wanaendelea kutua tz ndio maana wamekuja na breaking news. Hii ina maana safari ZA kuja tz bado zilikuepo
[emoji38][emoji38][emoji38]hata ukishuka kwenue coments kule chini utajua nani ni mpuuzi kwenye hili.

Ila watz nimewashindwa,mmejaa huko mtandaoni mpaka nashangaa.
 
KQ ina operate 5 flights per day,32 flights week and 128 flights per month in Dar only achana na znz and KIA kwahiyo wao wanajua watapoteza revenue kubwa compared to Entebbe and Kigali
Kwahiyo tz huwa haipati chochote kutoka kwwnye hizo safari za KQ?
 
China munayo majibu ya corona ? Au ndio akili za chademo, ingia mtandaoni uniletee takwimu ya Corona ya china ya hivi sasa
Achana na gonjwa la akili hilo.

Linaulizwa tulipaswa kufanya nini,halisemi.kazi kulia lia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…