Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Propose yours then, and we will be here gauging if it's on our best interest! Dont cry without proposing anything
 
Munapenda ndo kiswahili gani?
 
Inawezekana upimwe akili ati watoto wangu wasije kwako kwa hofu ya kuambukizwa maradhi lakini watoto wako waje kwangu kama mimi ni baba nitakuwa mjinga na wanao kuwaruhusu kuja kwangu
 
Tanzania tulipokosea ,ni kuanza kujibizana nao.
Hawa binadamu wa aina ya Kenya ni wakunyamazia tu,unajifanya husikii,mwisho wa siku wataonekana wajinga.
Mkuu kidpolamsia huo ni udhaifu mkubwa sana, kesho utashangaa hata Burundi wanawashika sharubu.

Hizo hatua ni kama onyo hata kwa nchi zingine Jirani kwamba ukitaka kuingia ligi na Tanzania uwe umejipanga.

Hivyo ndio inavyotakiwa hata Mataifa makubwa miendo yao ni hiyo hiyo...

Uzuri ni kwamba Tanzania haianzishi inajibu tu mapigo kulingana na pigo za mpinzani.
 
Hakuna korona kakwambia Dr Abbas...

Nigga you are in a fools' paradise!
 
Unaona vile huwa munajidanganya! Route ya pesa mingi kwa KQ in EAC ni Nairobi-Mombasa ambayo iko na 10 flights kwa siku. Tafadhali penda kufanya research annual books of account za KQ ziko mtandaoni.
Sawa ndo mbaki huko huko [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yapo kibao,tawimu za michwari unazo?

Huna

Kila siku tunazika,juzi umemzika Mkapa,covid-19...deal with it you fools!
 
Vita na Kenya hatutaiweza!! Awamu ya tano msitugombanishe na majirani... tutapata shida mno nyie mkishatoka madarakani...kurudisha uhusiano ulioparaganyika kila pande za dunia.
Kwamba twende tukawambembeleze watufungulie anga? Vipi kama sisi ndio tungeanza kuwa blacklist? Kenya ni wanafiki sana, wanatuchekea lakini humo humo wanatuhujumu. Wamevuna sana kirahisi huko nyuma sasa wamekutana na kichwa ngumu.

Wengi mnafikiri nchi kutokuwa na migogoro maana yake diplomacy iko vizuri! Kuna hatua nchi ikichukua ujue all machinery zimeona no options kuwaleta mezani huku unalinda heshima ya nchi.

Issue ya Covid19 uliwekwa utaratibu wa kutumia cheti cha kupima Covid19 kutoka nchi husika ili tusiwasumbue raia kupima kila mahali, ghafla bila kushirikisha wenzao wakaanza kusumbua watu wetu! Alafu wanasema hadharani hawaamini vipimo vyetu! Hawa dawa yao ni hii anayotumia JPM.

Hii itasaidia kila wakitaka fursa za kutupiga kizembe wawe wanajiuliza vizuri matokeo yake. Ni vizuri majirani zako wakajua unasimamia nini, ili mnapoweka terms waziheshimu full stop.
 
Mbona wao wakati wanazuiwa za kwetu hawakuumiza vichwa? Kwann unataka sisi tuumize vichwa ili iweje? Kwa kitu gani kikubwa ambacho tunaloose kutoka huko Kenya.
 
Propose yours then, and we will be here gauging if it's on our best interest! Dont cry without proposing anything
Nobody is paying me for proposing anything...

Thats not my job....tumeajiri watu kufanya that,and they dont do their job!

In October we will fire them all!
 
Hata Kikwete kupitia Samweli Sitta walishapunguza route za Kenya Airways baada ya kusumbua watu wetu wa utalii na hapo ndio wakashika adabu.

Hawa walituzoea sana, kwasasa ni kama system haitaki tena mazoea yaliyokwisha tugharimu sana.
 

Mpita njia mwenye Corona unaweza mkaribisha nyumbani kwako ewe msamaria mwema?
 
Kwa ss hatuzunguki tuko direct, serikali ya ss co ya kinafki unawekwa wazi tu.
 
Huyu mchora vibonzo wa kikenya naye ana misukule yake kama wewe ambao pia hatujui uraia wenu ni wa nchi gani.

Yaani tz ichezewe tu na wavuta bangi halafu itulie kimyaa???
Huyo mchora kibonzo ni mtanzania anayejitambua siyo Lumumba type.Godfrey Mwampembwa aka Gado.
 
Nchi gani hizo?!
 
Anajiliwaza tu huyo, hilo ni pigo kubwa sana kwa KQ kupoteza International Airports 3 kwa mpigo, kuanzia Jumatatu utasikia vilio toka Kenya.
Apo abiria atawarudishia nauli zao na kuwapatia malazi na chakula dah bonge la sindano!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…