Leslie Mbena
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 207
- 677
UCHUMI WA KENYA UNATEGEMEA TANZANIA KWA SABABU ZIFUATAZO:
1. Makampuni mengi ya kati ya kusafisha madini yapo Kenya na jameajiri watu wengi mfano ni Tanzanite...hivyo ukidhibiti utoroshaji na ukaanza kuyaongezea thamani hapa Tanzania Kenya lazima wataathirika
2. Kwenye kilimo ...bidhaa nyingi za kilimo zinazalishwa Tanzania mfano vituungu, kahawa, matunda na etc....Kenya wamewekeza sana kwenye makampuni ya kuchakata na kusafirisha mazao ya kilimo kwenda Asia, Ulaya, na America...lakini ili viwanda vyao na makampuni ya kusafirisha bidhsa yaweze kufanya kazi ni lazima waje Tanzania kununua raw materials mbali mbali kwa wakulima wetu..kama unakumbuka kwenye bajeti ya mwaka huu serikali imepiga marufuku kwa wanunuzi wa kati wa mazao ya kilimo kwenda kununua moja kwa moja kwa mkulima....sharti lazima awe na ubia na mzawa mtanzania....
Kwenye utalii ni kuwa Kenya wanafaidika sana na utalii wa Tanzania... Wanatumia pesa nyingi kufanya matangazo ya utalii Ulaya, Asia, na Marekani kwa vivutio kama vile Serengeti, Mlima Kilimanjaro, Mikumi, Katavi, Selous game reserve kwa sasa Mwalimu Nyerere National park e.t.c
Kenya kwenye ishu ya usalama wa chakuka kwa kuangalia staple food kama vile mchele, mahindi, ndizi, na Viazi hawapo food secure... Hivyo deficit yao kwa kiasi kikubwa wanaifidia kutoka Tanzania
Kenya wamekuwa wajanja kwenye kusafirisha minofu ya samaki wa Ziwa Victoria kupitia Nairobi ( Jomo Kenyatta International Airport) kitendo cha Serikali kuweka miundo mbinu pale Mwanza kinaua usafirishaji wa Minofu ya Samaki kupitia Nairobi kwa sababu production kubwa ya minofu ipo upande wa Tanzania
Kwenye sekta ya Usafirishaji pia kuna vitu ukifanya Tanzania unaumiza bandari ya Mombasa...mfano ukiboresha reli ya kati it is economically cheaper kwa Uganda kusafirisha bidhaa kupitia reli mpaka Mwanza na kisha kupakia kwenye meli mpaka kwenye bandari za Jinja, Entebbe na Kampala...pia hata South Sudan hii route inakuwa nafuu kwao kuliko kupitia Mombasa
Pia kwenye usafirishaji wa Anga Kenya wanaogopa sana mashirika ya ndege ya Tanzania sababu tukishika market share tutapunguza faida za KQ...ndio maana walihusika kikamilifu kuiua kabisa ATC na walipoona kuna Precision Air inaibuka wakakimbilia kununua share
*Haya ni machache ninayoyafahamu kuhusu uchumi wa Kenya na Tanzania*
*Nilikuwa Nina wazo mnaonaje wadau tuishauri serikali itengeneze pazia kubwa kuzuia view ya mlima Kilimanjaro kwa upande wa Kenya*