Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

UCHUMI WA KENYA UNATEGEMEA TANZANIA KWA SABABU ZIFUATAZO:

1. Makampuni mengi ya kati ya kusafisha madini yapo Kenya na jameajiri watu wengi mfano ni Tanzanite...hivyo ukidhibiti utoroshaji na ukaanza kuyaongezea thamani hapa Tanzania Kenya lazima wataathirika

2. Kwenye kilimo ...bidhaa nyingi za kilimo zinazalishwa Tanzania mfano vituungu, kahawa, matunda na etc....Kenya wamewekeza sana kwenye makampuni ya kuchakata na kusafirisha mazao ya kilimo kwenda Asia, Ulaya, na America...lakini ili viwanda vyao na makampuni ya kusafirisha bidhsa yaweze kufanya kazi ni lazima waje Tanzania kununua raw materials mbali mbali kwa wakulima wetu..kama unakumbuka kwenye bajeti ya mwaka huu serikali imepiga marufuku kwa wanunuzi wa kati wa mazao ya kilimo kwenda kununua moja kwa moja kwa mkulima....sharti lazima awe na ubia na mzawa mtanzania....

Kwenye utalii ni kuwa Kenya wanafaidika sana na utalii wa Tanzania... Wanatumia pesa nyingi kufanya matangazo ya utalii Ulaya, Asia, na Marekani kwa vivutio kama vile Serengeti, Mlima Kilimanjaro, Mikumi, Katavi, Selous game reserve kwa sasa Mwalimu Nyerere National park e.t.c

Kenya kwenye ishu ya usalama wa chakuka kwa kuangalia staple food kama vile mchele, mahindi, ndizi, na Viazi hawapo food secure... Hivyo deficit yao kwa kiasi kikubwa wanaifidia kutoka Tanzania

Kenya wamekuwa wajanja kwenye kusafirisha minofu ya samaki wa Ziwa Victoria kupitia Nairobi ( Jomo Kenyatta International Airport) kitendo cha Serikali kuweka miundo mbinu pale Mwanza kinaua usafirishaji wa Minofu ya Samaki kupitia Nairobi kwa sababu production kubwa ya minofu ipo upande wa Tanzania

Kwenye sekta ya Usafirishaji pia kuna vitu ukifanya Tanzania unaumiza bandari ya Mombasa...mfano ukiboresha reli ya kati it is economically cheaper kwa Uganda kusafirisha bidhaa kupitia reli mpaka Mwanza na kisha kupakia kwenye meli mpaka kwenye bandari za Jinja, Entebbe na Kampala...pia hata South Sudan hii route inakuwa nafuu kwao kuliko kupitia Mombasa

Pia kwenye usafirishaji wa Anga Kenya wanaogopa sana mashirika ya ndege ya Tanzania sababu tukishika market share tutapunguza faida za KQ...ndio maana walihusika kikamilifu kuiua kabisa ATC na walipoona kuna Precision Air inaibuka wakakimbilia kununua share

*Haya ni machache ninayoyafahamu kuhusu uchumi wa Kenya na Tanzania*

*Nilikuwa Nina wazo mnaonaje wadau tuishauri serikali itengeneze pazia kubwa kuzuia view ya mlima Kilimanjaro kwa upande wa Kenya*
 
Mhe Covid ni usanii kama utakuwa mfuatiliaji wa mambo mzuri,Mimi ni Dr najua ninachokisema behind covid kuna jambo
 
Kwa maoni yangu hatukupasa kujibu mapigo kwani yanagrama zake.Tulipasa kujua sababu hasa za wenzetu kuchukua hatua waliyochukua na kutafuta suluhu
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Ya pili Ufaransa sasa mweche aendelee kuhubiri Corona tu
 
Inawezekana upimwe akili ati watoto wangu wasije kwako kwa hofu ya kuambukizwa maradhi lakini watoto wako waje kwangu kama mimi ni baba nitakuwa mjinga na wanao kuwaruhusu kuja kwangu
Akili ya huyo jamaa cjui kama hata anaweza kua na familia maana hiyo familia lazima itakua I muelekeo Kwa sababu yake maana hata hajui jinsi ya kuchukua hatua kutokana na tatizo fulani
 
Kimsingi uamuzi wowote lazima kuzingatia hasara na faida yake-impact analysis. Uamuzi huu hasara tupu kwa taifa sawa na uamuzi oyvo wa kuficha takwimu za covid19 tukidhani sisi ndio wajanja kuliko ulimwengu mzima.
Simple mind, mawazo yako yanaendana na jina lako.Tanzania ni nchi makini haiwezi kukurupuka hata hili serikali iko sahihi.Sasa data inakusaidia ugonjwa hautokomezwi kwa data mbali kwa kufuata maelekezo ya wataalamu wa afya kitu ambacho Tanzania tumefanikiwa ndo maana sasa hivi ugonjwa umeisha.
 
Mhe Covid ni usanii kama utakuwa mfuatiliaji wa mambo mzuri,Mimi ni Dr najua ninachokisema behind covid kuna jambo
Mkuu

Heshima yako sana Doctor!

Anyway,covid ni usanii na sio ugonjwa au ni ugonjwa,whatever that is!

Tunachofuata ni dunia ime-define vipi covid-19 na ndio dunia nzima inafuata!

Wame-define ni deadly virus na ni airbone na ni contagious!

Sasa basi,wenye dunia wamesema hivyo,wewe lazima ufuate taratibu no matter what you think it is!

So bad,I can never trust what mawe au Dk Abbas says what covid is,maana hawana chochote scientifically kama evidence to prove otherwise!

Tanzania tunajitia tunajua covid ni usanii na tumeisolve tunavyojua kwa maneno,then the world nations will decide our fate!

Kaanza Kenya ku-decide our fate.....watafata wengine!

Ndege zetu zitaruka kwenye nchi comedians kama sisi za Burundi na Madagascar na North Korea....

We are totally fvcked....lazima tubebe concenquences watakazoamua hizi nchi on us!
 
Yapo kibao,tawimu za michwari unazo?

Huna

Kila siku tunazika,juzi umemzika Mkapa,covid-19...deal with it you fools!
Vp takwimu za korona za China Google humezipata ukizipata nisaidie na Mimi nijikumbushe kuhusu Corona [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbona KQ pekee, si mungefungia hata Jambo Jet ambayo ni mtoto 100% wa KQ, pia precision air ambayo ni 50% mtoto wa KQ? Yaani hapo hakuna kazi imefanyika ni vitisho tu. Hata mufungie KQ na Jambo Jet bado KQ itapata pesa kupitia precision air
Hata enzi za mkwere tulipunguza safar za kq mwishowe wakasanda naamin hata Sasa wataufyata bila shaka
 
Akili ya huyo jamaa cjui kama hata anaweza kua na familia maana hiyo familia lazima itakua I muelekeo Kwa sababu yake maana hata hajui jinsi ya kuchukua hatua kutokana na tatizo fulani
Sasa wewe ulitaka afanyeje dawa ya kiburi kuwa kiburi zaidi yake
 
Vp takwimu za korona za China Google humezipata ukizipata nisaidie na Mimi nijikumbushe kuhusu Corona [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nani anafata takwimu ya linchi linalodanganya takwimu kama China?

China ina pambana na hali yake with USA!

Dont worry about what China does,maana ni none of our business!

Tudeal na what Tanzania does maana Tanzania is our business!
 
Kenyatta anaposema Kuna Corona TZ,na Abbas akasema hakuna Corona,unataka nimwamini nani? Ni hivi,hakuna KQ kutua TZ.
Naona anateseka ila ndio hivyo tena Muheshimiwa kashachagua chaguo la wengi ,maana karibu Watanzania%99 wamefurahi kutokana na hili jibu humu nadhani yeye tu ndio anateseka na ukifuatilia comments zake haizina like hata mojo
 
Kikubwa ujumbe uwafikie tu naumeshawafikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…