Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Any scientific proof? Kama hupimi unajuaje kuwa hakuna circulating/latent viruses among the population?
What are you talking about AMIGO?

How long does it take latent viruses to reveal themselves? Wiki mbili zinatosha ugonjwa kujidhilisha - sasa wewe kama ni Mtanzania ebu tueleze tangu March mpaka sasa umeshuhudia majirani wako wangapi waliopoteza maisha kutokana na ugojwa wa corona? Jamaa yako wangapi walipatwa na tatizo la corona - wangapi wamelezwa Hospitalini? kama hawapo, what does that tell you?

Nikiona baadhi ya Watanzania wanarudia rudia propaganda za media za magharibi, vyama vya upinzani na Kenya nawashangaa sana- kumbukeni ugonjwa huu unakuwa highly exaggerated na kampein za Big Pharmaceutical/Vaccine Companies for a good reason namely wamejipanga kupiga hela ndefu kwa kutisha tisha watu, hawataki hata dawa za bei nafuu kutumika kuwatibu wagonjwa chukulia mfano wa dawa mseto ya HCQ, Zinc na broad spectrum anti biotic capsules mseto wenye uwezo mkubwa wa kutibu corona kama mgonjwa hatachelewesha kufika hospitalini, mseto huo umepigwa vita na makampuni makubwa ya kuzalisha madawa pamoja na WHO- hawataki itumike wanatoa horror stories mbali mabali kuwawatisha watu Duniani

Wanacho sahau nikwamba dawa za Chloroquine zilianza kutumiwa Duniani zaidi ya miaka 75 bila ya kuleta madhala yoyote ya kutishia kifo, hata Rais wao Bwana Trump anatumia mseto huo kujikinga na maambukizi ya Corona, hata yeye wanampiga vita - would you believe it?. Bottom line is: Tunapashwa kuwa makini na propaganda za Mataifa ya magharibi, sio kila kitu wanacho kisema kina substance.
 
Nimekuelewa barabara
 
Akili za hovyo kabisa. Utajua ugonjwa umeisha bila kupima /testing/sampling? Ujinga mzigo mzito.
 
Vipi muheshimiwa nilikuomba unisaidie data za korona China vipi ujapata bado au
Waulize Wachina mzee!

Wale wapo more qualified kukujibu swali lako zaidi yangu mimi maana swali lako linawahusu wao moja kwa moja!

Wewe niulize maswali ya Tanzania labda,au hata Africa au maswali kuhusu mimi mwenyewe personally ninaweza nikawa na majibu bora zaidi!

Mimi sipo hapa kuwazungumzia Wachina,wao wanaweza jizungumzia!

Changamsha tako mavi yazigande bwashee!
 
Vipi kuhusu Kanya iliyoamua yenyewe bila kushirikisha majirani zake wakati mnajua hizi nchi zinashirikiana na kuhitajiana?
Mbona Tz tulijitoa katika mikutano yote ya kikanda kuhusu Corona ...Mfano SADCC na EAC
 
Unajua kocha wa zamani wa Manchester United, Sir Alex Ferguson alitumia kiasi gani cha pesa kwa bidhaa inayofanana na Big G , kwa zaidi ya miaka ishirini ?
Ni bidhaa muhimu pia usiidharau.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kwetu pia Zakaria anatengeneza,za Kenya zinapigwa duty 100%
 
Jambo Jet haifiki Tanzania, haina kibali cha kuja Tanzania, shirika Pekee la Kenya linalofika Tanzania ni KQ, wacha kupanic, ndio kwanza tumeanza kuwaonyesha faida za ujinga wenu.
Fly540 si ya wakenya mkuu? Nayo iangaliwe kama vipi nayo ipigwe ban. Kuenda Nairobi itabidi upitie Kigali au Adis!
 
Wewe mbona hujanijibu hii [emoji116][emoji116]
We naomba unijibu hili hapa, na utakaponijibu mimi sitaendelea kujishughulisha na wewe kwa vyovyote utakavyojibu, hao hapo ni wamarekani wenye akili na maarifa mengi kuzidi kapuku wa akili kama wewe[emoji116][emoji116]View attachment 1523495
Af ukimaliza kujibu hiyo jibu na hii je wapo sahihi au sio sahihi, ukishajibu mimi wala sitahangaika na wewe I promise sitakujibu[emoji116][emoji116][emoji116]
 
Naona serekali yetu iwaulize hawa jamaa mbona lock down wanaifungua wakati idadi bado inaongezeka??
Hawa oni kama wanafuata sisi tunacho kiamini kukubali kuishi nao, pili mbona wanawaruhusu
US, UK now allowed into Kenyan airspace,

Wakati huko kote tatizo3 bado Lipo
 
Sijazungumzia wachina acha kuwaza Kwa kutumia tope la matak, Mimi nimetaja nchi China na sio wananchi (wachina) . ukisema sababu ya kufungiwa Tz na Kenya ni takwimu za Corona Tz haitou, vipi kuhusu china iliochaguliwa na Kenya tena ya kwanza je inakuaje kama kigezo cha kuzuia ni takwimu za Corona? Ndio swali langu
 
tumpe ushauri je unashauri serikali ifanyeje?faida ni zipi unadhani tunakosa na faida ipi tutapata ikiwa uamuzi ni huo?
 
Kenya wenyewe kwa wenyewe bado wanabaguana sembuse wawajali watu wa nje ya mipaka yao...!
Kenya bado wapo kwenye Ujima. Ni kuvaa suti tu na kuongea lugha ya mkoloni kunako waonesha kama binadamu aliye staarabika.

Wakenya ni wa kuwachukulia rahisi tu, wala msiwakasilikie.
Mkenya hampendi mtu yoyote zaidi ya anaye mpa PESA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…