Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Rejea china na marekani hawa naona hawakomoani mkuu au?
 
Una UnaShaurije?ungependa tuendelee kuibembeleza kenya kwa kuwa ndio msingi wa biashara afrika mashariki?je km kawaida ni nairobi ndo hub je hiyo kawaida haiwezi kubadilika?je uganda na rwanda hawawezi kupata iyo faida ya kuleta mizigo bongo badala ya kenya?
 
Uganda sio hub

Rwanda sio hub

Burundi sio hub

Acha kuchanganya mambo wewe?

Uganda,Rwanda,Burundi na upumbavu mwingine ni viwanja vya ndege vya hovyo kama ilivyo DIA au KIA

Cape Town ni hub,J'burg ni hub

Lagos ni hub

Cairo ni hub

Nairobi ni hub

Addis Ababa ni semi hub

Usije kulogwa ukadhani kiwanja chochote tu ni hub..stop that nonsense!

Sishauri chochote,maana hakuna mtu ananilipa for my services!

Kuna majitu tumeyaajiri maofisini huko yafanye hiyo kazi,unfortunately they dont do their job yanaishia kufanya madudu kama hilo tangazo la kipumbavu walilotoa ambalo halina solution yeyote!

Na hapa kama itakua ni Kenya pekee yake sio tatizo sana,shida ni kama other countries zitafuata suit!Be worried niggas!

Hoja ya Kenya ni valid,hoja yao ya Covid-19 kuhusu sisi ni valid na hatuna majibu nayo with evidences!

Thats make us even sillier and and stupid!
 
Kuna siku kitanuka tu tusipokuwa makini, kuna kindege au helicopter kitapata hitillafu iwe kama WW1 na Sarajevo assassination.
Hizi nchi za Kenya na Tz ni kama China na USA kwa sasa
Kinuke tu hata Vita ya Kirafiki ili mmoja amuheshimu mwenzie
 
Suala la Kutotoa Takwimu hapaa sio kigezo kabisaa hio Battle bhangi na jiwe wanapimishana Nguvu ngoja tuonee[emoji1787][emoji1787]
 
Si nzuri kwa afya ya haya mataifa mawili. Madhara kwa sasa hatutayaona ila yatatuathiri sana hasa sie wafanyabiashara.
 
Je unadhani wakenya wanatupenda kiasi hicho?je kenya kuhusu covid utaratibu wake unadhani umeleta faida kuliko hasara?unadhani tanzania kutokutoa taarifa ya kolona imewasaidia kenya chochote?kiuchumi na tanzania imepata
Hasara gani kutotoa taarifa ya korona? km mtanzania hashauri wala hatoi ushirikiano je ana la kulaumu lolote kwenye maamuzi yatakayochukuliwa?
 
Hizo professionals zenu mnazifanyia wapi?
 
We kama rubani ilete tuirudishie angani, usishau kuweka mafuta ya kutosha.
 
Wasema we
HAHAHAHA, Kelele za chura hiyo. Uganda ama Rwanda zikifunga Kenya inaweza kuumia lakini si Tanzania. KQ na mtoto wake Jambo Jet zinaenda Entebbe na Kigali kushinda Dar na hizo vitu zingine umetaja
we MSHABIKI, mbona Serikali ya Kenya inataka mazungumzo? Kwani hawajui Uganda na Rwanda zipo? HUYU VIPI?
 
Kwani KQ kuja TZ walikuwa wanapanda wa Kenya tu ?
Hudhani kuwa kuna wa Tanzania Kibao wata loose katika hilo ?
Au unadhan KQ kuja Bongo hakuna Faida kwa TZ ?
Kwan KQ kwenda KE walikua wanapanda wa TZ tu ?
Maelezeo mengine jazia hayo hayo maneno yako ulioandika ila kwenye KE weka TZ.
Nimependa sana hii move, hata EAC ilivunjika kwa chokochoko zao.
 
Ugomvi wa Tanganyika na Kenya ,Zanzibar kaingiaje? Ooh my Zanzibar.
 
Kama sababu ni Covid-19 mbona inawatafuna sana wao pamoja na kulamba pesa za mabeberu, wamejitoa kafara kwa mabeberu....bwahahahaha...
 
Sasa hivi (PM2:57) waziri wa Afya Kenya(Muthai Kagwe) kama sijakosea kuandika jina lake, yuko anahutubia , miongoni mwa jambo ambalo anazungumzia ni hili suala, kwa machache anadai kuwa wao hawajazui ndege wala mtanzania kuingia Kenya, anakiri kuwa wao hawana uwezo huo wa kuzuia Mtanzania au ndege ya Tanzania kuingia Kenya, aidha anaendelea kwa kusema kuwa Tanzania ni mdau muhimu sana wa maendeleo ya Kenya, amedai kuwa leo asubuhi wameongea na mh Kamwerwe/re waziri husika wa Tanzania na kuomba hili jambo liishe haraka sana kwani wao hawajafunga anga kwa ajili ya Tanzania bali wameruhusu baadhi ya nchi na kesho jumapili wataendelea kutoa orodha ya nchi nyingine ambazo zitaruhusiwa kuingia Kenya. Pia mdahalo unaendelea baadhi ya wajumbe wanasisitiza ni lini ili suala litaisha maana ni kosa kubwa sana kuizuia Tanzania, majibu ni yaleyale kuwa wao wameomba Tanzania kwa dhati kabisa hili jambo liishe haraka sana maana wao hawakulenga kama serikali ya Tanzania ilivyolipokea. Pia amewaeleza wakenya kuwa ifikapo kesho wanatumaini watakuwa wamepata majibu mazuri kutoka Tanzania na hili jambo litakuwa limeisha.
 
Kuna watanzania wajinga wapuuzi na malofa wanatizama issue ya Tz kufunga anga lake kwa Kenya ni maswala ya kidiplomasia wakati hawajui kuwa kunaissue ya uhujumu uchumi ndani yake Nani ambae hajui kwa Kasi inayoendanayo Tz Kenya itakuwa underdog kwa Tz wanachofanya ni kujaribu kuihujumu upuuuz mtupu wee unaeona tz tumekosea nenda Kenya mpuuzi mkubwa ukaishi huko kibera wakupe na resident permit tena mi naona ni kihatua kidogo Sasa hv tumeyashika sehemu zote mpka kwenye kutorosha madini yetu wamechanganyikiwa tu kwa taarifa yenu ile view mnapoonaga Mt Kilimanjaro ahsubuhi na jioni mnapowadanganyia mlima ni wenu tunaweka screen kubwa sanaaaaaaaa tutakuwa tunawawekea movie za kivita na bongo muvi hamtauona mlima Tena mtamuona Jackie Chan, bolo yeung, Chuck Norris, Bruce Willis, na Ray na kanumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…