Mkuu hii dunia inautaratibu wake,namna Magufuli alivyohandle corona,kweli tulimshangilia bali in a long run,itatugharimu,tuombe uzima tuHii ndio namna ya ku-deal na hawa watu, wanajiona wana akili sana.
Mkuu mnapaswa kujiamini hata Kama mmekulia uswahiliniKuna watanzania wajinga wapuuzi na malofa wanatizama issue ya Tz kufunga anga lake kwa Kenya ni maswala ya kidiplomasia wakati hawajui kuwa kunaissue ya uhujumu uchumi ndani yake Nani ambae hajui kwa Kasi inayoendanayo Tz Kenya itakuwa underdog kwa Tz wanachofanya ni kujaribu kuihujumu upuuuz mtupu wee unaeona tz tumekosea nenda Kenya mpuuzi mkubwa ukaishi huko kibera wakupe na resident permit tena mi naona ni kihatua kidogo Sasa hv tumeyashika sehemu zote mpka kwenye kutorosha madini yetu wamechanganyikiwa tu kwa taarifa yenu ile view mnapoonaga Mt Kilimanjaro ahsubuhi na jioni mnapowadanganyia mlima ni wenu tunaweka screen kubwa sanaaaaaaaa tutakuwa tunawawekea movie za kivita na bongo muvi hamtauona mlima Tena mtamuona Jackie Chan, bolo yeung, Chuck Norris, Bruce Willis, na Ray na kanumba
Sawa.Mkuu hii dunia inautaratibu wake,namna Magufuli alivyohandle corona,kweli tulimshangilia bali in a long run,itatugharimu,tuombe uzima tu
Beberu kahusikaje tena jmn kwenye mimba ya nguruwe.. Naomba beberu asioneweNikisema hizi nchi mbili zote zinachezeshwa kwata la beberu nitakuwa nakosea?
Vipi kuhusu Tausi wetu tuliompa Kenyatta?Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), imefuta kibali cha ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua katika viwanja vya ndege vya Zanzibar, Dar es Salaam na Kilimanjaro kuanzia tarehe 1 Agosti 2020. Maamuzi haya yametolewa kama majibu (reciprocal basis) kutokana na maamuzi yaliyochukuliwa na serikali ya Kenya ya kuzuia ndege kutoka shirika la ATCL (Air Tanzania Company Limited) kuingia nchini Kenya kwa madai ya kuanza kuruhusu nchi zenye maambukizi madogo ya corona.
Maelezo zaidi yametolewa kwenye barua hii iliyoambatanishwa.
View attachment 1523057
Si walipeana ndege tausiPagumu sana hapa! MKAPA ndio alikuwa anaweza kumshauri Magufuli sasa hayupo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani diplomasia ya Kenya na Tz ipo pabaya sana.
Ego itaua uhusiano wa hizi nchi mbilii japo wanajidai marafiki kinafiki lakini tushafikaa mbalii aiseee sasa hivi raia wa Tanzania wataanza kutimuliwa Kenya[emoji29][emoji29]
MKAPA majirani wote hawajaja kumzika.
MzeeJe unadhani wakenya wanatupenda kiasi hicho?je kenya kuhusu covid utaratibu wake unadhani umeleta faida kuliko hasara?unadhani tanzania kutokutoa taarifa ya kolona imewasaidia kenya chochote?kiuchumi na tanzania imepata
Hasara gani kutotoa taarifa ya korona? km mtanzania hashauri wala hatoi ushirikiano je ana la kulaumu lolote kwenye maamuzi yatakayochukuliwa?
Sema kujidanganya! Munapenda kujidanganya watanzania. KQ ilikuwa inakuja Dar mara 14 kwa wiki hiyo ni mara mbili kwa siku kuanzia 2015. Linganisha hiyo na KQ mara 5 kwa siku kuenda Entebbe, Jambo Jet mara 3 kwa siku kuenda Entebbe.
Hata kibiashara, Kenya inafanya biashara mingi na uganda na Rwanda kushinda Tanzania. Biashara kati ya Kenya na Uganda ni karibu mara tatu kati ya Kenya na Tanzania.
Wewe ng'eng'eneka tu, na mkikomaa utarudi kwenu kiberaMzee
Nani kakwambia tumekuja duniani kumpenda yeyote?
We are not obligated to love anyone,na wao Kenya hawapo obligated to love anyone whatsoever!
Infact,love ndio mwanzo wa upumbavu kama huu sisi Watz tumekua emotional kwa hatua aliyochukua Kenya...
Tunachotaka ni hela za Wakenya na uchumi wetu wa importation ya mizigo na Watalii inapita JKIA kwa zaidi ya 90%!
We dont have to love each other,the love of capitalism solves all these nonsenses you are talking about here!
Is love pay anybody?If no,then fvck it!
Pumbavu weweMkuu mnapaswa kujiamini hata Kama mmekulia uswahilini
Hawa wajinga ndio zao! Hata ile ishu ya mipaka walifanya hivihivi wakafikiri tz tutakaa kimya,Sasa hivi (PM2:57) waziri wa Afya Kenya(Muthai Kagwe) kama sijakosea kuandika jina lake, yuko anahutubia , miongoni mwa jambo ambalo anazungumzia ni hili suala, kwa machache anadai kuwa wao hawajazui ndege wala mtanzania kuingia Kenya, anakiri kuwa wao hawana uwezo huo wa kuzuia Mtanzania au ndege ya Tanzania kuingia Kenya, aidha anaendelea kwa kusema kuwa Tanzania ni mdau muhimu sana wa maendeleo ya Kenya, amedai kuwa leo asubuhi wameongea na mh Kamwerwe/re waziri husika wa Tanzania na kuomba hili jambo liishe haraka sana kwani wao hawajafunga anga kwa ajili ya Tanzania bali wameruhusu baadhi ya nchi na kesho jumapili wataendelea kutoa orodha ya nchi nyingine ambazo zitaruhusiwa kuingia Kenya. Pia mdahalo unaendelea baadhi ya wajumbe wanasisitiza ni lini ili suala litaisha maana ni kosa kubwa sana kuizuia Tanzania, majibu ni yaleyale kuwa wao wameomba Tanzania kwa dhati kabisa hili jambo liishe haraka sana maana wao hawakulenga kama serikali ya Tanzania ilivyolipokea. Pia amewaeleza wakenya kuwa ifikapo kesho wanatumaini watakuwa wamepata majibu mazuri kutoka Tanzania na hili jambo litakuwa limeisha.
Asante chiefPumbavu wewe
Sasa mkuu umetukana kwa nini hapo?Pumbavu wewe
Yani nyie mnafikiri hao wakenya wanawapenda sana?Asante chief
Kama vipi kijana nyie nendeni tu mkaishi Kenya.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Beberuu anahusikajee tenaaa jamani
Ndege ashaliwaa supuu hapa ni fitaaa fitaaa muraaa...Si walipeana ndege tausi