Rais wako kakurupuka kwenye hili, angeweza kuonyesha busara kwa kuomba mazungumzo.. utadhania alikua anasubiria Kenya wachemke awafundishe ujeuri! Sijui nani kamshauri kufanya hivi, yaani anasahau Kama ni yeye ndie alitoa tausi! Lol
We kilaza wa kiwango cha SGR... Yaan umezuiwa halafu niombe mazunguzo???
Upuuzi according to who?You?Ona sasa unavyoongea upuuzi !
Unashindwa kuzibiti vidole vyako kuandika upuuzi.
Maamuzi ya ....... hebu niambie ni ya aina gani?
Katika hilo shirika la kq serikali ya kenya inamiliki ndege tatu tu nyingine zote ni za mabeberu so wamemshinikiza Kenyatta aombe radhi haraka cz hawako tayari kupata hasara na kwakuwa Kenyatta ana 10% ameufyata.Nasikia wameufyata [emoji41] ila kwanini Wakenya ukigusa KQ wanasanda kama wameshikwa kende [emoji28] ...hata Mkwere alipunguzaga tu route wakanyooka vibaya [emoji28] ...
Ndio mjue hilo shirika hata kama linaendeshwa kwa hasara lakini taifa linapata faida kwa milango mingine muhimu zaidi ...
Je umejiuliza pale China walipofunga ofisi ndogo ya ubalozi wa Marekani nchini China baada ya Wamarekani kuufunga wa China kule Marekani?Najiuliza kwanini wasingeenda Kenya au kumtumia balozi wetu kutatua kidiplomasia kuliko kujimwambafy?
Upuuzi according to who?You?
Buaahaahahaha
Kama ni upuuzi umepitia na ku-comment,which means my post has a pull on you!
Who cares thereafter?Nobody!
Tumeyapa ajira hayo matakataka yafanye maamuzi sahihi kuhakikisha yanatetea our best economic interests at all costs,instead wameenda kufanya maamuzi ya mavi kama unavyowashabikia!
October 2020 tunafukuza kazi yote yakalime,tuweke wenye akili!
Yameshindwa kazi kabisa!
If you don't care why do you waste your time acting smart?! Just move your pedals! There is nothing you can do, absolutely nothing. Deal with itWho cares about you insane ?
Stupid motherfckIf you don't care why do you waste your time acting smart?! Just move your pedals! There is nothing you can do, absolutely nothing. Deal with it
Umeishiwa tayari.Stupid motherfck
That's your level to be treated nothing more to be rated logically. You sound trashy and illogical full of madnessUmeishiwa tayari.
Good riddance.That's your level to be treated nothing more to be rated logically. You sound trashy and illogical full of madness
Shut it up maafaq idiotGood riddance.
Wakizingua tunawachapa! Vibaraka wawazungu Hawa.Baada ya zuio la mambo ya anga nini kitafuata
Ova
Upinzani usisababishe ukauza nchi yako. Mpuuzi mmoja wewe!Tanzania imekurupuka ila kwa Magufuli hilo ni jambo la kawaida. Kiongozi asiye na uvumilivu wala staha kwa 100%. Kumbe Tanzania imeanza chokochoko muda hadi malori ya mbao yalishagataifishwa na Magufuli!
Blah blah blahWhom one mwenye akili?
Unawaza kwa kitumia nn !
Just look your self 90% people blame you instead ya kuukiri ukweli umeanza kutukana kama defence mechanism ya kukinga hoja zako
Alafu hebu jaribu kufikiri huyo mwenye Maamuzi ya kimavi leo hii uko huru kwenda huku na kule bila lock down na bila bugdha coz of him
- vituo bwelele vya afya
- wanyonge nao ni watu
- fly over dar kama mbele
-uchumi wa kati tuseme basi uchumi hauja reflect maisha ya watu but la serikali kuweza kujiendesha kasoro ya kusubiria misaada yenye masharti ya kuharibu wanao wa kiume
-sasa kwenye jamii kuna equality , no one above mwingine , maonez hamna
-Rushwa tunaisikia kwengine .
- Miradi ya trillion za pes a Kama S. Gauge
Kama utashindwa ku appreciate basi watoto wako watajutia siku moja kupata mzazi bure kama ww pamoja na hayo nahisi ww x mzima hebu jichunguze kdg
La mwisho jiandae kuangukia pua kama JPM atashindwa njoo chukua 5M kwangu. Ukitaka mawasiliano nitakupa ila kama akishinda ita prove ur nothing na hayo matusi yako hayaongozi nchi yatabaki kuwa matusi tu ya mitandao na kero kwa familia yako. Kwaheri
-