KQ ilikua inakuja Dar peke yake mara 5 kwa siku ukiachana na JRO/ZNZ
Uwezi kusema ni jambo la kawaida kwa KQ, ofcoz ni pigo kwa KQ
Majirani hawajaja kwa sababu bado wanaamini Tanzania kuna corona imepamba moto ila hatutangazi tunaficha ndio maana waliweka siku 3 za maombolezo na bendera nusu mlingoti.Pagumui sana hapaa! MKAPA ndo alikuwa anaweza kumshaurii Jiwe sasa hayupooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani diplomasia ya kenya na tz ipo pabayaa sanaa. Ego itaua uhusiano wa hizi nchi mbilii japo wanajidai marafiki kinafiki lakini tushafikaa mbalii aiseee sasa hivi raia wa tz wataanza kutimuliwa kenya[emoji29][emoji29]
MKAPA majirani wote hawajaja kumzika.
Wakenya ni watu wa hovyo Sana, hii ndio dawa yao, wakisimama sisi tunakaa, Hakuna kuwabembelezaSisi Waafrika ni masikini lakini bado tunawekeana vikwazo vya kiuchumi, **** that!
Sawa tuKuna watu wanapenda ugomvi ,sasa mnashangilia ninin yaani.EAC hiyo inavunjika.Soon mabalozi watatimuana kama vile naona soon
Kenya wanajitoa Akili, flight kama KLM inakuja Tanzania halafu wao ndio wamegoma hahahaAnajiliwaza tu huyo, hilo ni pigo kubwa sana kwa KQ kupoteza International Airports 3 kwa mpigo, kuanzia Jumatatu utasikia vilio toka Kenya.
Sisi Waafrika ni masikini lakini bado tunawekeana vikwazo vya kiuchumi
Pigo sanaNi pigo kubwa sana,hata wakati wa Rais Kikwete,KQ iliwahi kupigwa ban Wakenya waliomba msamaha haraka sana
Sema kujidanganya! Munapenda kujidanganya watanzania. KQ ilikuwa inakuja Dar mara 14 kwa wiki hiyo ni mara mbili kwa siku kuanzia 2015. Linganisha hiyo na KQ mara 5 kwa siku kuenda Entebbe, Jambo Jet mara 3 kwa siku kuenda Entebbe.KQ ilikua inakuja Dar peke yake mara 5 kwa siku ukiachana na JRO/ZNZ
Uwezi kusema ni jambo la kawaida kwa KQ, ofcoz ni pigo kwa KQ
Wewe huwajui Wakenya. Hakuna anayetaka kutukuzwa hapa. Anachofanya Magufuli ni kucheza muziki ambao hawa jamaa wanauelewa.Ndo tunakoenda mkuu! Mzee hakuwa na haja ya kurudishaa wale wajumbe[emoji29][emoji29][emoji29] mbona yeye huwa haendii sasa anataka wenzake wamtukuzee kama nani.
The most lucrative route in EA ya KQ ni Tanzania ikifuatiwa na Uganda, kumbuka Tanzania KQ inakuja ktk 3 airports, wakati Uganda ni Entebe pekee.sema kujidanganya! Munapenda kujidanganya watanzania. KQ ilikuwa inakuja dar mara 14 kwa wiki hiyo ni mara mbili kwa siku kuanzia 2015. Linganisha hiyo na KQ mara 5 kwa siku kuenda entebbe, Jambo jet mara kwa 3 siku kenda entebbe.
Hata kibiashara Kenya inafanya biashara mingi na uganda na rwanda kushinda Tanzania. Biashara kati ya kenya na uganda ni karibu mara tatu kati ya kenya na tanzania.