shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,901
Ni pigo kubwa sana, hata wakati wa Rais Kikwete,KQ iliwahi kupigwa ban Wakenya waliomba msamaha haraka sana
KQ ilikua inakuja Dar peke yake mara 5 kwa siku ukiachana na JRO/ZNZ
Uwezi kusema ni jambo la kawaida kwa KQ, ofcoz ni pigo kwa KQ