Serikali ya Uingereza yatishia kumshtaki Roman Abramovich

Serikali ya Uingereza yatishia kumshtaki Roman Abramovich

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Screenshot 2025-06-03 121901.jpg
Serikali ya Uingereza imeingia katika mzozo na aliyekuwa mmiliki wa Klabu ya Chelsea, Roman Abramovich kuhusiana na matumizi ya fedha Pauni Bilioni 2.5 ambazo zimezuiwa katika akaunti ya benki nchini Uingereza.

Kiwango hicho cha fedha ni malipo ya kuuzwa kwa Chelsea Mwaka 2022, ambapo Abramovich anataka zielekezwe katika misaada ya kibinadamu kwa walioathiriwa na Vita ya Ukraine na Urusi (raia wa pande zote) lakini Serikali ya Uingereza inataka zielekezwe kwa waathirika wa upande mmoja ambapo ni Ukraine

Ikumbukwe, Uingereza iliweka vikwazo dhidi ya Abramovich katika msako dhidi ya mabilionea wa Kirusi baada ya uvamizi wa Moscow nchini Ukraine, Februari 2022, hali iliyosababisha aiuze klabu hiyo haraka.

========================​

The UK government has threatened to sue former Chelsea owner Roman Abramovich.

The £2.5bn in proceeds have been frozen in a UK bank account since the sale of the club, with Abramovich sanctioned after Russia’s full-scale invasion of Ukraine in February 2022.

The UK government wants the money to be for Ukrainian humanitarian aid, but Abramovich wants the funds to go to “all victims of the war in Ukraine” which would include those in Russia.
 
Jamaa hana njaa ndogo ndogo kawaachia timu waiuze na pesa kawaachia, bado accounts zake na nyumba walibeba ila muhuni yuko kimya
 
Chelsea yangu ilipalanganyika baada ya bilionea huyu kuiuza klabu.
Rudi chelsea bilionea wanu.
 
Jamaa hana njaa ndogo ndogo kawaachia timu waiuze na pesa kawaachia, bado accounts zake na nyumba walibeba ila muhuni yuko kimya
Hana uhuni wwt!
Ni fala tu!
unapukutishwa Utajiri wako afu unatulia!
Juma Lokole Mkubwaaaaaa
 
Hana uhuni wwt!
Ni fala tu!
unapukutishwa Utajiri wako afu unatulia!
Juma Lokole Mkubwaaaaaa
Dogo subiri ukue utaelewa kwa sasa bado huna ubongo wa kuelewa mambo
 
Back
Top Bottom