Serikali ya Urusi yakanusha kuhusika na mauaji ya Evgeny Prigozhin

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Ikulu ya Urusi (Kremlin) imekanusha vikali kuhusika kwa namna yoyote na ajali ya ndege inayosemekana kumuua Mkuu wa kundi la mamluki la Wagner, Yevgeny Prigozhin, ikisema tuhuma hizo ni uzushi usiokuwa na maana.

Msemaji wa Ikulu ya Urusi, Dmitry Peskov, amesema shutuma dhidi ya Nchi yake hazina mashiko yoyote na badala yake ametizupia lawama nchi za Magharibi kwa kusambaza uvumi usio maana.

"Tazama, kwa sasa kuna uvumi mwingi sana kuhusiana na ajali hii ya ndege na vifo vya abiria wa ndege hiyo akiwemo Yevgeny Prigozhin, bila shaka, katika Nchi za Magharibi, uvumi huo unawekwa kwa njia fulani na wote ni uongo mtupu na bila shaka ni muhimu kutumia ukweli unaporipoti kuhusiana na suala hili, kwa sasa ukweli ni mchache kwa sababu uchunguzi bado unaendelea”
 
Mungu amrehemu braza prigo
 
Kama Urusi imehusika kumuua watatutangazia kua wamemuua?
Vyombo vya usalama vinabeba Siri nyingi sana hapa duniani na hua haviweki mambo yote hadharani.

Prigozin amefanya kazi kubwa sana Ukraine kwa manufaa ya Urusi na hata nje ya Ukraine,Urusi wanajua west wanajua na Dunia unajua,lakini Kwa Nini kuwe na hisia kua serikali ya Urusi imehusika na kifo Cha Prigozin?

Kwa kifupi Dunia Ina sababu ya kuishiku serikali ya Putin kuhusuka na kifo hicho.lakini ni kwa Nini?

Kwa sababu Prigozin alifanya makosa makubwa sana.

Inawezekana wanausalama wa Urusi wanajua mengi kuliko sisi.
Kama kweli wamemuua basi walikua na sababu ya msingi kabisa kufanya hivyo.
Je ni sababu zipo hizo?
Mimi na wewe hatujui lkn wao wanajua.

Lakini Mimi tayari Nina sababu yangu binafsi kama kweli Urusi wamemla kichwa.

Sababu yangu ni kwamba kama kweli kaliwa kichwa basi wanausalama waliona makosa yake.
Kwa sababu huwezi kumuua mtu aliefanya mambo makubwa kama Prigozin katika medani za kivita hasa vita complicated kama hii ya Ukraine na Urusi.

Kumuua kamanda wako muhimu alie msatari wa mbele lazima Kuna sabau nzito sana.ni mwendawazimu TU anaeweza kufanya kosa hilo.
Kama serikali ya Moscow imehusika basi wanajua ya ndani kabisa.

Kama ni lie jaribio la kutaka kumpindua Shoigu ama kama ni igizo Mimi sijui lakini Kuna mambo Yako nyuma ya pazia.

West walichoozidi Urusi ni nguvu ya propaganda TU.
Lakini wote tabia zao ni zinafanana.

Urusi kama wanaua watu wa ndani kwa sababu zao nao west wanaua watu wa nje kwa sababu zao.lakni wote ni maslahi na kutofautiana.

West Wameua na walijaribu kuua kwa uchache wafuatao:

Waliua

-JF Kennedy
-Che Guevara
-Patrice Lumumba wa congo
-Saddam Hussein
-Muamar Gadafi
-Hugo Chavez
-Osama bin laden,huyu alikua kama Prigozin wao kwa style ya aina yake
-Bob Marley
-Princess Diana
-N.k

Walijaribu kuwaua

-Fidel Castro
-Assad

Ukiachaauaji pia west walishiriki mapinduzi mengi sana ya kijeshi dhidi ya Marais wa nchi wasiowapenda.

NB
Maelezo yangu hayo ni kama mafani TU,naruhusu masahihisho.
 
Sasa kuna kitu kinakuja na Mrusi ajiandae wazee wenye dunia hawawezi kuacha lipite hivi.muda ni mwalimu
 
Put in sio Binadamu.
.
IMG_20230802_184313.jpg
 
Sasa kuna kitu kinakuja na Mrusi ajiandae wazee wenye dunia hawawezi kuacha lipite hivi.muda ni mwalimu
Hao jamaa zako wa dunia walifanyaje alipouliwa Jamal Kashogi. Kwanza siwalikuwa wameorodhesha wagner group kama kundi la kigaidi. Sasa wamesaidiwa kuua gaidi unataka tena wafanye kisasi. Unafikiri hao west watafanya nini kwa urusi, mkuu hyo imepita.
 
Kama Urusi imehusika kumuua watatutangazia kua wamemuua?
Vyombo vya usalama vinabeba Siri nyingi sana hapa duniani na hua haviweki mambo yote hadharani.

Prigozin amefanya kazi kubwa sana Ukraine kwa manufaa ya Urusi na hata nje ya Ukraine,Urusi wanajua west wanajua na Dunia unajua,lakini Kwa Nini kuwe na hisia kua serikali ya Urusi imehusika na kifo Cha Prigozin?

Kwa kifupi Dunia Ina sababu ya kuishiku serikali ya Putin kuhusuka na kifo hicho.lakini ni kwa Nini?

Kwa sababu Prigozin alifanya makosa makubwa sana.

Inawezekana wanausalama wa Urusi wanajua mengi kuliko sisi.
Kama kweli wamemuua basi walikua na sababu ya msingi kabisa kufanya hivyo.
Je ni sababu zipo hizo?
Mimi na wewe hatujui lkn wao wanajua.

Lakini Mimi tayari Nina sababu yangu binafsi kama kweli Urusi wamemla kichwa.

Sababu yangu ni kwamba kama kweli kaliwa kichwa basi wanausalama waliona makosa yake.
Kwa sababu huwezi kumuua mtu aliefanya mambo makubwa kama Prigozin katika medani za kivita hasa vita complicated kama hii ya Ukraine na Urusi.

Kumuua kamanda wako muhimu alie msatari wa mbele lazima Kuna sabau nzito sana.ni mwendawazimu TU anaeweza kufanya kosa hilo.
Kama serikali ya Moscow imehusika basi wanajua ya ndani kabisa.

Kama ni lie jaribio la kutaka kumpindua Shoigu ama kama ni igizo Mimi sijui lakini Kuna mambo Yako nyuma ya pazia.

West walichoozidi Urusi ni nguvu ya propaganda TU.
Lakini wote tabia zao ni zinafanana.

Urusi kama wanaua watu wa ndani kwa sababu zao nao west wanaua watu wa nje kwa sababu zao.lakni wote ni maslahi na kutofautiana.

West Wameua na walijaribu kuua kwa uchache wafuatao:

Waliua

-JF Kennedy
-Che Guevara
-Patrice Lumumba wa congo
-Saddam Hussein
-Muamar Gadafi
-Hugo Chavez
-Osama bin laden,huyu alikua kama Prigozin wao kwa style ya aina yake
-Bob Marley
-Princess Diana
-N.k

Walijaribu kuwaua

-Fidel Castro
-Assad

Ukiachaauaji pia west walishiriki mapinduzi mengi sana ya kijeshi dhidi ya Marais wa nchi wasiowapenda.

NB
Maelezo yangu hayo ni kama mafani TU,naruhusu masahihisho.
Nakupata mkuu, lakini pia usisahau kwamba siku ile Prigozhin alipoamuru vikosi vyake vigeuze na vielekee Moscow kumkabili Shoigu na Gerasimov, vikosi hivyo vilitungua ndege za jeshi la anga la Russia na kuua marubani wapatao 16 waloanza kuwakabili.

Hivyo jeshi nalo bado lilikuwa na hasira kwamba Wagner na Prigozhin wameachwa wazurure bila ku chukuliwa hatua zozote.
 
Kukubal kuwa kafa haimaanish ndio kafa kwel
Kwayo ulikuwa unataka wapotoshe kama Afrika walivyo!? Hivi mnawaza hao wazungu wana akili sawa na watu wa tandaimba sio!? Yaan mifumo yote ya technology zipo kwao, ukiachana na mjinga putin, huyo prigo America [emoji631] na mataifa washirika walikuwa wanamuwinda kwa satellite zao usiku na mchana.
Hivyo kabla ya wewe kupewa taarifa wao wameshajilizisha kuwa amekufa...
 
Mungu amrehemu braza prigo
Ajafa kaonekana Niger kapeleka kampuni Niger baada ya ufaransa kuondoa raia wake Niger.
Ngoja tuchek beto la Wagner na watoto wa Paris Ndani ya viunga vya Niger.
Wazungu ni wazuri kwenye vifaa vya kivita na Sio kwenye skill za mapigano
 
Warusi wa buza wanasema jamaa hajafa hii yote ni gameplan ya Putin kuwazuga mazoba kama ambavyo walisema jamaa hajafanya jaribio la kuipindua serikali ilikua igizo tu.
 
Back
Top Bottom