Serikali ya Wanafunzi-UDSM yatoa saa 72 kwa HESLB kutimiziwa maagizo yao vinginevyo kukusanyika nje ya ofisi ya HESLB

Tatizo lipo wazi. Hayo mabillion yanayotajwa kutengwa na serikali, hayapelekwi kwenye bodi ya mikopo. Tutaishia kuwashutumu watu wa bodi kumbe hela yenyewe haipo zaidi ya kuwa kwenye hotuba za ku gain cheap popularity.

Hivi kweli hela ziwepo na hilo tishio litokee, mbona watu wangeishatumbuliwa zamani.

Hakuna hela kwenye serikali ambayo inaongoza "dona kantri"
 
dunia inaenda kasi sana uyo dogo malekela leo anawapiga mkwara kina badru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasithubutu! na kama wanatumiwa, hata hiyo wanayopata watakosa.

Hii awamu sio ya kuuza sura kwenye tv, wamuulize Abdu Nondo.
Nimepita UD pale dah maisha huwa magumu Sana usiongee hakuna muda wa kufanya ukahaba Kama huu kwa Dada zetu hakuna muda wa kula mihogo na "miamala" kwa kaka zetu wakiume. Kwa ugumu ule usiongee hayo ndugu yangu
 
Tena inaweza ikawa ni haki yao pia wakawa wako sahihi lakini njia wanayotaka kuitumia kudai haki hiyo sio sahihi,kitakacho wakuta nafikili wataenda kuhadithia shangazi,wajomba,ndugu,wazazi ,bibi na babu
 
Atleast you think big#
 
Nchi ina vijana waoga na wanafiki kama hawa halafu unategemea ccm itoke madarakani

Never never... It will never happen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…