Serikali ya Wanafunzi-UDSM yatoa saa 72 kwa HESLB kutimiziwa maagizo yao vinginevyo kukusanyika nje ya ofisi ya HESLB

Bodi ya mikopo nao wamejigeuza kuwa mhimili. Nashangaa wanafunzi wengi wa sayansi pale CoET wa kike hawajapata mikopo wakati walisema ndio kipaumbele chao. Serikali ina pesa na rais alishasema sasa kigugumizi cha nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I myself see this as a blatant attempt by "some few tricky people vested with some authorities over UDSM students" to sabortage the Govermenet in the next election 2020. Mtu makini huwezi kuanza kucheza na wanafunzi wa chuo kikubwa kama hiki wakati uchaguzi hauna hata mwaka mbele. Hapa kuna watu wanaweza kuwa wana maslahi yao binafsi, kwa kushirikiana na baadhi ya walioko kwenye bodi ya mikopo, wanataka kuichafua Seruikali ikose kura uchaguzi ujao! Ni mtizamo wangu lakini
 
Eti chuo kikubwa!!? Chuo kikubwa ni cha makomandoo tu hapa Tz. Ambao wanaweza kuiweka serikalj au kuitoa. Yaani hako kachuo hata kakifutwe hakuna madhara yoyote .Hapo hata mkuu wa wilaya haji anakuja ffu mwenye rungu mkononi anatosha kutatua mgogoro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
labda bodi ya mikopo imerejesha serikali kuu pesa kwa ajili ya mkopo wa wanafunzi, ndio maana wanashindwa kuhudumia wanachuo wanaostahili mkopo.

au zile zilikuwa chai kuwa helsb kuagizwa kuwasilisha GAWIO serikalini?

Hasara Umfika Mwenye Mabezo
 
Wewe ndio umeongea ukweli mkuu.
Hiyo kuwatishia kuwafukuza ni ili tu kulinda heshima yao wasidhalilike.
Wanashindwa tu kusema ukweli kwamba hela hawana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…