Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani na ww unaona umeandika point kumbe utoko tu.vyuo vipo marekani unazungumzia vyo Tanzania fala kweli wwWaliingia kichwa kichwa kutoa ufadhili kwenye vyuo vyote badala ya vile vya umma, wakomae tu kuwapa hiyo mikopo hadi kwenye vyuo vya huko uchochoroni
Kisa umewekwa kimada hapo marekani, basi komaa angalau upate kuolewaYaani na ww unaona umeandika point kumbe utoko tu.vyuo vipo marekani unazungumzia vyo Tanzania fala kweli ww
Sent using Jamii Forums mobile app
I myself see this as a blatant attempt by "some few tricky people vested with some authorities over UDSM students" to sabortage the Govermenet in the next election 2020. Mtu makini huwezi kuanza kucheza na wanafunzi wa chuo kikubwa kama hiki wakati uchaguzi hauna hata mwaka mbele. Hapa kuna watu wanaweza kuwa wana maslahi yao binafsi, kwa kushirikiana na baadhi ya walioko kwenye bodi ya mikopo, wanataka kuichafua Seruikali ikose kura uchaguzi ujao! Ni mtizamo wangu lakiniSerikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imetoa saa 72 kwa Bodi ya Mikopo (HESLB) kutekeleza maagizo 4 likiwamo kuwaingizia fedha wanafunzi ambao hawajapewa tangu chuo hicho kifunguliwe, yasema isipotekeleza watakusanyika nje za ofisi ya HESLB.
Eti chuo kikubwa!!? Chuo kikubwa ni cha makomandoo tu hapa Tz. Ambao wanaweza kuiweka serikalj au kuitoa. Yaani hako kachuo hata kakifutwe hakuna madhara yoyote .Hapo hata mkuu wa wilaya haji anakuja ffu mwenye rungu mkononi anatosha kutatua mgogoroI myself see this as a blatant attempt by "some few tricky people vested with some authorities over UDSM students" to sabortage the Govermenet in the next election 2020. Mtu makini huwezi kuanza kucheza na wanafunzi wa chuo kikubwa kama hiki wakati uchaguzi hauna hata mwaka mbele. Hapa kuna watu wanaweza kuwa wana maslahi yao binafsi, kwa kushirikiana na baadhi ya walioko kwenye bodi ya mikopo, wanataka kuichafua Seruikali ikose kura uchaguzi ujao! Ni mtizamo wangu lakini
Changia mada tafadhali! Tafadhali sanaEti chuo kikubwa!!? Chuo kikubwa ni cha makomandoo tu hapa Tz. Ambao wanaweza kuiweka serikalj au kuitoa. Yaani hako kachuo hata kakifutwe hakuna madhara yoyote .Hapo hata mkuu wa wilaya haji anakuja ffu mwenye rungu mkononi anatosha kutatua mgogoro View attachment 1296148
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri rungu, kufutwa, chuo, kwenda jelaChangia mada tafadhali! Tafadhali sana
Wewe ndio umeongea ukweli mkuu.Tatizo lipo wazi. Hayo mabillion yanayotajwa kutengwa na serikali, hayapelekwi kwenye bodi ya mikopo. Tutaishia kuwashutumu watu wa bodi kumbe hela yenyewe haipo zaidi ya kuwa kwenye hotuba za ku gain cheap popularity.
Hivi kweli hela ziwepo na hilo tishio litokee, mbona watu wangeishatumbuliwa zamani.
Hakuna hela kwenye serikali ambayo inaongoza "dona kantri"
Chuo kipi hicho, kile cha kwako? Una wanafunzi wangapi siku hizi?