Serikali ya Wanafunzi-UDSM yatoa saa 72 kwa HESLB kutimiziwa maagizo yao vinginevyo kukusanyika nje ya ofisi ya HESLB

Serikali ya Wanafunzi-UDSM yatoa saa 72 kwa HESLB kutimiziwa maagizo yao vinginevyo kukusanyika nje ya ofisi ya HESLB

Hv boom Lao huwa ni tsh ngapi!!?
tena na ka Christmas haka.....
kukaa bila hela noma sana
 
mkopo ni haki kupewa kwa madai kwa sababu it's part of liability kwenye future earnings ambazo wakati mwingine utazipata kwa jasho
Kwa sababu unazozisema ndio zinafanya mkopo uwe haki au kuna sababu zingine umezificha!???

Haki kwa sababu ni liability kwenye future earning ambazo wakati mwingine utazipata kwa jasho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani nikukumbuka kile kipigo cha Wale mashetani wanaovaa vikofia vyekundu. Sitaki kabisa hiyo habari yenu mpaka Leo began langu halijakaaga sawa yaani nilitandikwa rugu. Kama nawaona vile wanaudsm na wanavyopenda chips vidole laini kama wote wanawake watakavyozamishwa Kwenye mitaro na kipigo cha mbwa koko. Eti mihimili yote aaaaaahaaaa kichuo eti kila dola umesahau dola lazima iwe na jeshi. Wale jamaa wamefanya sana mazoezi halafu hawajapata hata vurugu moja wala maandamano tokea aingie jpm. Sasa wewe chuma janga ule na nduguzo usisahau kufukuzwa chuo na kwenda jela vyote vitakuhusu. Kama nakuona vile utakapokuwa unaelekea segerea na umevaa date zilizoandikwa maboresho magereza, utakapokutana wafungwa ambao hawajaona wake zao tokea mwaka. 1980 .Kama wewe unafikiri kukopeshwa ni lazima nenda kaandamane.

Sent using Jamii Forums mobile app
Waoga hawataingia mbinguni mkuu..acha woga!
 
Hao daruso watawawaharibia tu na kufanya mambo yawe magumu zaidi, fanyeni vitu kisomi... Jifunzeni kureason na kuomba misaada...

Msipige kelele km mnadai haki.. Sometime ni vyema mngetumia matawi ya vyama kuleta suluhu kuliko mikwara ya daruso...

Zama hizi ni tofaut kidgo, mtapata shiida tu madogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushahidi huu
IMG-20191216-WA0047.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni mikopo kama mikopo mingine na wala siyo misaada. Msaada huwa hauna malipo kwahiyo ukimsaidia mtu ni kama umetoa sadaka ila mkopo lazima urudishe. Kama ulisoma chuo kikuu ukakapata mkopo, siku ukianza kufanya kazi lazima ukatwe. Kila muajiri yoyote lazima apeleke majina ya wafanyakazi serikali kujua yupi anadaiwa na yupi hadaiwi. Kama ulisoma ukaishia darasa 7, form 4, form 6 na Diploma huwezi kujua haya mambo.
Hivi sheria ipo vipi kuhusiana mikopo:!?

Ni jambo la lazima kukopeshwa au ni misaada tu???

Unaomba kupewa pesa bado unakuwa mkali... Imekaaje hii wajuvi wa daruso?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zote mikopo ya elimu ya juu ndiyo huwa inadaiwa hivi miaka na miaka kwahiyo usishangae. "Jifunzeni kureason na kuomba misaada" Hiyo siyo misaada ni mikopo na utailipa tu ingekuwa misaada wangepewa wote waliomba. Utareason na nani? Unawajua watu wa HELSB au unawasikia?
Hao daruso watawawaharibia tu na kufanya mambo yawe magumu zaidi, fanyeni vitu kisomi... Jifunzeni kureason na kuomba misaada...

Msipige kelele km mnadai haki.. Sometime ni vyema mngetumia matawi ya vyama kuleta suluhu kuliko mikwara ya daruso...

Zama hizi ni tofaut kidgo, mtapata shiida tu madogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom