KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Mzee baba hajaribiwi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msaada huku unatakiwa urudishe ukimaliza chuo. Msaada gani huoNa hii ndio nauliza mimi... Maana imekuwa km lazima sasa.
Wakati ni misaada tu.. Km hamtak msikope
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp Hao wakatao kusanyika hpo ni cdm syoAione komredi Polepole kwa haraka sana!
Bwashee hapa nashughulika na utekelezaji ilani ya chama.
Kwa sababu unazozisema ndio zinafanya mkopo uwe haki au kuna sababu zingine umezificha!???mkopo ni haki kupewa kwa madai kwa sababu it's part of liability kwenye future earnings ambazo wakati mwingine utazipata kwa jasho
Nazungumzia kupata na sio kurudisha... Lengo langu ni kujua.. Elimu ya juu kuna katiba inayosema lazima mpewe mikopo au biashara zao tu!??
Waoga hawataingia mbinguni mkuu..acha woga!Yaani nikukumbuka kile kipigo cha Wale mashetani wanaovaa vikofia vyekundu. Sitaki kabisa hiyo habari yenu mpaka Leo began langu halijakaaga sawa yaani nilitandikwa rugu. Kama nawaona vile wanaudsm na wanavyopenda chips vidole laini kama wote wanawake watakavyozamishwa Kwenye mitaro na kipigo cha mbwa koko. Eti mihimili yote aaaaaahaaaa kichuo eti kila dola umesahau dola lazima iwe na jeshi. Wale jamaa wamefanya sana mazoezi halafu hawajapata hata vurugu moja wala maandamano tokea aingie jpm. Sasa wewe chuma janga ule na nduguzo usisahau kufukuzwa chuo na kwenda jela vyote vitakuhusu. Kama nakuona vile utakapokuwa unaelekea segerea na umevaa date zilizoandikwa maboresho magereza, utakapokutana wafungwa ambao hawajaona wake zao tokea mwaka. 1980 .Kama wewe unafikiri kukopeshwa ni lazima nenda kaandamane.
Sent using Jamii Forums mobile app
Slw slw amekuwa waziri wa elimu naonaBwashee hapa nashughulika na utekelezaji ilani ya chama.
Komredi Polepole anaenda kuangalia nini kimekwamisha hawa vijana kupata fedha wakati Hazina ilishaingiza fedha bodi ya mikopo kitambo!
Mbona alivyowaletea treni ya sh 16,000 Moshi haukuuliza amekuwa waziri wa uchukuzi?!
Hivi sheria ipo vipi kuhusiana mikopo:!?
Ni jambo la lazima kukopeshwa au ni misaada tu???
Unaomba kupewa pesa bado unakuwa mkali... Imekaaje hii wajuvi wa daruso?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao daruso watawawaharibia tu na kufanya mambo yawe magumu zaidi, fanyeni vitu kisomi... Jifunzeni kureason na kuomba misaada...
Msipige kelele km mnadai haki.. Sometime ni vyema mngetumia matawi ya vyama kuleta suluhu kuliko mikwara ya daruso...
Zama hizi ni tofaut kidgo, mtapata shiida tu madogo.
Sent using Jamii Forums mobile app