Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Hii ni dharau kubwa sn kwa watanganyikaNimemsikiliza Charles Hilary Msemaji wa serikali ya Zanzibar akisema kuwa Serikali hiyo inamiliki Ardhi huko Makurunge Bagamoyo.
Hii kisheria imekaaje watanganyika wenzangu.
Dharau iliyopitiliza viwango.Hii ni dharau kubwa sn kwa watanganyika
Tuuvunje huu muungano fakeDharau iliyopitiliza viwango.
Mimi kama mtanganyika nimeumia sana.2019 nilinunua eneo hekta nne huko makurunge Kwa ajili ya ufugaji wa mifugo yangu.ghafla 2022 naambiwa ni Mali ya Zanzibar na suruhusiwi kuendeleza shughuli yeyote.Nikienda Kwa viongozi wananiambia nisubiri mother amalize awamu yake kweli hii ni haki kwenye Nchi yangu niishi kama mkimbizi?Huu Muungano umenikosesha maendeleo niliyopanga kuyafanya ili kutoa ajira Kwa watanganyika.
Uliuziwa kanyaboya kiufupi ulitapeliwaMimi kama mtanganyika nimeumia sana.2019 nilinunua eneo hekta nne huko makurunge Kwa ajili ya ufugaji wa mifugo yangu.ghafla 2022 naambiwa ni Mali ya Zanzibar na suruhusiwi kuendeleza shughuli yeyote.Nikienda Kwa viongozi wananiambia nisubiri mother amalize awamu yake kweli hii ni haki kwenye Nchi yangu niishi kama mkimbizi?Huu Muungano umenikosesha maendeleo niliyopanga kuyafanya ili kutoa ajira Kwa watanganyika.
Huu ni upuuzi mkubwa sana, ndio maana tunaihitaji Tanganyika irudi, hawa ndugu zetu wachague pa kwenda, kubaki au waondoke waje kwa passport.Nimemsikiliza Charles Hilary Msemaji wa serikali ya Zanzibar akisema kuwa Serikali hiyo inamiliki Ardhi huko Makurunge Bagamoyo.
Hii kisheria imekaaje watanganyika wenzangu.
Ranchi ya Makurunge iliyopo Bagamoyo ni mali halali ya SMZ. Tena tuna bahati wakoloni Wajerumani walitusaidia, ukanda wa maili 10 za Pwani yote ya bahati ya Hindi kuanzia Sofala hadi Mombasa ilikuwa ni mali ya Sultan of Zanzibar!. Sultan alipewa eneo hilo na mkutano wa Berlin kugawana Africa ile 1884. Miaka 6 baadae 1890, ndipo Ujerumani, na Uingereza wakaingia mkataba za Sultan of Zanzibar awaachie, na wao wakaahidi kumlinda.Nimemsikiliza Charles Hilary Msemaji wa serikali ya Zanzibar akisema kuwa Serikali hiyo inamiliki Ardhi huko Makurunge Bagamoyo.
Hii kisheria imekaaje watanganyika wenzangu.
Umesema kweli kabisa!Hii ni dharau kubwa sn kwa watanganyika
Mmm,mkuu mbona unatetea ujinga?Umeambiwa Zanzibar inamiliki ardhi Tanganyika,ushahidi upo,jamaa ameambiwa aache kuendeleza ardhi,na ushahidi upo kwamba hilo eneo kweli kwa sasa linamilikiwa na Zanzibar,sasa katapeliwa na watu vipi tena?mkuu wewe umetapeliwa, badala ya kuwalalmikia waliokutapeli unailalamikia Zanzibar.
Kwani Zanzibar ilipata uhuru kutoka kwa Sultani au Mwingereza?Ranchi ya Makurunge iliyopo Bagamoyo ni mali halali ya SMZ. Tena tuna bahati wakoloni Wajerumani walitusaidia, ukanda wa maili 10 za Pwani yote ya bahati ya Hindi kuanzia Sofala hadi Mombasa ilikuwa ni mali ya Sultan of Zanzibar!. Sultan alipewa eneo hilo na mkutano wa Berlin kugawana Africa ile 1884. Miaka 6 baadae 1890, ndipo Ujerumani, na Uingereza wakaingia mkataba za Sultan of Zanzibar awaachie, na wao wakaahidi kumlinda.
Mkataba huo unaitwa The Heligoland Treaty, huku Ujerumani na Uingereza wakiachiana maeneo, visiwa vya Witu na Heligoland, na ni mkataba huu ndio wakahamisha mipaka ya Ziwa Nyasa kulifanya la Malawi!.
Ni kweli SMZ Ilipewa eneo la Makurunge litumike kama Ranch na Stock Holding point, kwa ajili ya Mifugo inayo safirishwa kutoka Mainland kwenda Z"bar. Walipatiwa na Baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere na wanalimiliki kihalali
Uhuru uliondoa mikataba yote ya kikoloni.Ranchi ya Makurunge iliyopo Bagamoyo ni mali halali ya SMZ. Tena tuna bahati wakoloni Wajerumani walitusaidia, ukanda wa maili 10 za Pwani yote ya bahati ya Hindi kuanzia Sofala hadi Mombasa ilikuwa ni mali ya Sultan of Zanzibar!. Sultan alipewa eneo hilo na mkutano wa Berlin kugawana Africa ile 1884. Miaka 6 baadae 1890, ndipo Ujerumani, na Uingereza wakaingia mkataba za Sultan of Zanzibar awaachie, na wao wakaahidi kumlinda.
Mkataba huo unaitwa The Heligoland Treaty, huku Ujerumani na Uingereza wakiachiana maeneo, visiwa vya Witu na Heligoland, na ni mkataba huu ndio wakahamisha mipaka ya Ziwa Nyasa kulifanya la Malawi!.
Ni kweli SMZ Ilipewa eneo la Makurunge litumike kama Ranch na Stock Holding point, kwa ajili ya Mifugo inayo safirishwa kutoka Mainland kwenda Z"bar. Walipatiwa na Baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere na wanalimiliki kihalali
Lazima tushitukeUmesema kweli kabisa!
Upumbavu.Hilo eneo ni la Tanganyika(Tanzania Bara) serikali ya Mapinduzi Zanzibar(SMZ) wamemilikishwa hilo shamba kwa hatimiliki kama anavyomilikishwa mtu au taasisi nyingine yoyote kwa mujibu wa sheria.
Mfano mzuri ni kwenye kiwanda cha saruji cha Wazo hill ardhi walimilikishwa Wazo hill wananchi walivyovamia kiwanda cha saruji walikwenda mahakamani na mahakama ikaamuru wavamizi waondoke/waondolewe lakini serikali imefanya mazungumzo na kiwanda na kiwanda kimekubali wananchi wakilipe kiwanda ili wabaki na maeneo waliyovamia na kujimilikisha bila utaratibu.
Kwahiyo tusipindishe maneno.
Zanzibar haina eneo lolote Tanzania Bara ambalo eti hilo eneo liwe sehemu ya Zanzibar.