Serikali ya Zanzibar kuwa na Ardhi inayomiliki Tanganyika imekaaje kisheria!?

Hivi tunayo hati ya muungano?
Utoaji WA maoni ulikuwaje Enzi za Nyerere?
Muundo wa kutoa maoni level ya mikoa yote ya Tanganyika na mikoa ya Zanzibar ilifanyika?
Au NI watu wawili waliamua peke yao?
 
Uli

Uliuziwa kanyaboya kiufupi ulitapeliwa
Ranchi ya Makurunge iliyopo Bagamoyo ni mali halali ya SMZ. Tena tuna bahati wakoloni Wajerumani walitusaidia, ukanda wa maili 10 za Pwani yote ya bahati ya Hindi kuanzia Sofala hadi Mombasa ilikuwa ni mali ya Sultan of Zanzibar!. Sultan alipewa eneo hilo na mkutano wa Berlin kugawana Africa ile 1884. Miaka 6 baadae 1890, ndipo Ujerumani, na Uingereza wakaingia mkataba za Sultan of Zanzibar awaachie, na wao wakaahidi kumlinda.

Mkataba huo unaitwa The Heligoland Treaty, huku Ujerumani na Uingereza wakiachiana maeneo, visiwa vya Witu na Heligoland, na ni mkataba huu ndio wakahamisha mipaka ya Ziwa Nyasa kulifanya la Malawi!.

Ni kweli SMZ Ilipewa eneo la Makurunge litumike kama Ranch na Stock Holding point, kwa ajili ya Mifugo inayo safirishwa kutoka Mainland kwenda Z"bar. Walipatiwa na Baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere na wanalimiliki kihalali
Ni punguani pekee anayeamini kuwa pwani ya Tanganyika ni sehemu ya zanzibar.kwa hiyo na sisi tukadai Rwanda na Burundi Kwa kuwa ilikuwa inaitwa German east africa
 
Wewe boya ni halali utapeliwe3 kwasababu ni bogaz pale kwala Kuna eneo wapewa serikali ya Zambia kwa ajiri wa ujezi wa bandari kavu yao kwaiyo unataka kusema hiyo ardhi ni sehemu ya Zambia?
 
1.Achana na ishu za Mipaka kabla ya uhuru,coz kabla ya waarabu Pwani ilikuwa ya Wareno...Fort Jesus ikiwa makao makuu yao.

2.Pia on October 8 1963,Sultanate ya Zanzibar ilikubaliana kuacha madai yake yote juu ya ardhi iliyopo Afrika Mashariki.
 
Ni eneo la uwekezaji,,mkataba unakuwa na mda maalum.
 
Ni punguani pekee anayeamini kuwa pwani ya Tanganyika ni sehemu ya zanzibar.kwa hiyo na sisi tukadai Rwanda na Burundi Kwa kuwa ilikuwa inaitwa German east africa
Tuliza matako, soma na kuelewa acha matusi. Nilikuwa nakupa kipande cha historia tu. Lakini key word ni Nyerere kuwapa eneo la Makurunge kwa mujibu wa sheria ya ardhi
 
1.Achana na ishu za Mipaka kabla ya uhuru,coz kabla ya waarabu Pwani ilikuwa ya Wareno...Fort Jesus ikiwa makao makuu yao.

2.Pia on October 8 1963,Sultanate ya Zanzibar ilikubaliana kuacha madai yake yote juu ya ardhi iliyopo Afrika Mashariki.
Ni kweli, lakini Nyerere aliwapa eneo la Makurunge kihalali. Ni Rais tu anaweza kubatilisha umiliki au tusibiri expiry date ya hiyo certificate of title
 
Ranchi ya Makurunge iliyopo Bagamoyo ni mali halali ya SMZ. Tena tuna bahati wakoloni Wajerumani walitusaidia, ukanda wa maili 10 za Pwani yote ya bahati ya Hindi kuanzia Sofala hadi Mombasa ilikuwa ni mali ya Sultan of Zanzibar!. Sultan alipewa eneo hilo na mkutano wa Berlin kugawana Africa ile 1884. Miaka 6 baadae 1890, ndipo Ujerumani, na Uingereza wakaingia mkataba za Sultan of Zanzibar awaachie, na wao wakaahidi kumlinda.

Mkataba huo unaitwa The Heligoland Treaty, huku Ujerumani na Uingereza wakiachiana maeneo, visiwa vya Witu na Heligoland, na ni mkataba huu ndio wakahamisha mipaka ya Ziwa Nyasa kulifanya la Malawi!.

Ni kweli SMZ Ilipewa eneo la Makurunge litumike kama Ranch na Stock Holding point, kwa ajili ya Mifugo inayo safirishwa kutoka Mainland kwenda Z"bar. Walipatiwa na Baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere na wanalimiliki kihalali
Wanalipia kodi kiasi gani? Maana wenye hati miliki ya ardhi wanalipia kodi kila mwaka isipokuwa maeneo yanayomilikiwa na serikali. Zanzibar sio serikali yetu Watanzania(ganyika) na hivyo kama hawalipii kodi ya ardhi ni eneo huru kwetu. Kama eneo ni la serikali ya Tanzania tueleweshwe. Huyo mpangaji alimilikishwa kwa miaka mingapi?
 
Hayo masuala ya kulipa kodi ya ardhi yana mamlaka yake. Ninajuwa kuwa 80% ya Watanzania hawalipi kodi ya ardhi ipasavyo na bado wanaishi kwenulye nyumba hizo.

Sijui kama wewe ndugu lautanyi umejenga nyumba na unalipa kodi ipasavyo
 
Back
Top Bottom