Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Dec 1, 2022 #21 Kwanini wasiwe madereva kabisa Hata wao wanaweza na sio jambo la ajabu Tena watoto wanakuwa na furaha zaidi Wazo zuri na wapewe license tu haraka
Kwanini wasiwe madereva kabisa Hata wao wanaweza na sio jambo la ajabu Tena watoto wanakuwa na furaha zaidi Wazo zuri na wapewe license tu haraka
M mozeh JF-Expert Member Joined Mar 13, 2022 Posts 493 Reaction score 961 Dec 1, 2022 #22 Kwahiyo mwanamke ndo hawez kufanya ukatili??