Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Bei hiyo wapi?Gypsum bord eti 18000 duuuh
Hivi viwanda vingi ni vya watawalajohnthebaptist waambie mbolea Ni muhimu kuliko soda. Kwani itagusa hata Maisha yao pia.
Halafu uwaambie soda Ni sumu, ikinywewa sana hunenepesha na kuleta kisukari, presha na ukosefu wa nguvu za kiume.
Elfu 22 nowDuh! Bei hiyo wapi?
Wanyonge tunaumizwa snSerikali mara hii imesha sahau kuwa yenyewe ndio ilianza kuwashawishi wafanya biashara kupandisha bei za bidhaa kwa kuongeza kodi na tozo kwenye mafuta na bidhaa nyingine? Au wamesahau? Huyu kijaju ni mwehu?
Naomba kuuliza.Dk Ashatu Kijaji, na wengine wa jinsia hii hii wamepewa wizara muhimu ila performance zao na brain workability zao very low.
Wananchi wapimpiga kimya na machungu yao
Kaka jiongeze nunua milimita 16 uondoe usumbufu baadae. Nondo za siku hizi sio nondo tulizozoea.dah ! nimelazika kununua nondo milimita 12 kwa sh. elfu 18 na ciment kwa elfu 21 maana hakuna namna 😔
Kuna siku Tanzania hii itabidi turudi tuanze mwanzoni tulikotoka baada ya Uhuru. Wakati wa Awamu ya tatu ya Serikali, Mheshimiwa Mkapa alikwisha jenga utaratibu wa sheria ambazo zingesimamia Uchumi wa soko ambao ndio sera tuliyonayo sasa. Sheria ya Ushindani inahusu sekta za uchumi ambazo zinaweza kushindana na Sheria 4 za Udhibiti kwa ajili ya sekta ambazo kwa mantiki zake za uzalishaji na usambazaji haziwezi kushindanishwa, kwa mfano; Usambazaji Umeme, barabara, bandari, maji.Waziri wa viwanda na biashara Dr Kijaji amezitaka mamlaka zinazohusika kuwachukulia hatua wafanyabiashara waliopandisha bei za Soda, Cement, Nondo na bidhaa nyingine kinyume cha utaratibu.
Dr Kijaji amesema uchunguzi umeonyesha kuwa wakati bidhaa hizo zinapandishiwa bei gharama za uzalishaji zilikuwa chini na hakukuwa na sababu yoyote ile ya kuongeza bei.
Source: ITV habari
========
Serikali imeziagiza mamlaka zote za udhibiti kuchukua hatua kali dhidi ya walimbikizaji na wauzaji kupitia mlango wa nyuma (black market) wanaosababisha bei za bidhaa kupanda sokoni ili kuhakikisha bidhaa zinafika sokoni kwa wakati na bei shindani.
Agizo hilo limetolewa leo Jumatatu Februari 7, 2022 na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dk Ashatu Kijaji wakati akitoa tathimini ya mwenendo wa uzalishaji, usambazaji na bei za vifaa vya ujenzi na bidhaa nyingine muhimu nchini.
“Ninawaelekeza wazalishaji na wafanyabiashara wa vifaa vya ujenzi kushusha mara moja bei za bidhaa walizopandisha kiholela na kuuza bidhaa bila kuzingatia gharama halisi za uzalishaji na usambazaji,” alisema.
Pia amewaagiza wazalishaji wa vifaa vya ujenzi kuweka mifumo mizuri ya usambazaji wa vifaa ili kuzuia kupanda kwa bei kunakoweza kuzuilika.
Dk Kijaji amewataka maofisa biashara wa mikoa kote nchini waendelee kufuatilia kwa karibu mwenendo wa bei za bidhaa mbalimbali kwenye maeneo yao na kuwasilisha taarifa hizo mara kwa mara kwenye wizara hiyo kupitia ofisi za makatibu tawala mikoa ili itakapobidi hatua stahiki zichukuliwe kwa wakati.
Amesema tathimini iliyofanyika nchini imwegundua kuwa ongezejko holela la bei ya vifaa vya ujenzui hususan saruji na nondo linasababishwa na wazalishaji wa bidhaa husika kufanya uzalishaji banifu.
Pia amesema ongezeko hilo wamebaini limesababishwa na kutokuwa na mfumo wa wazi wa usambazaji wa bidhaa kutoka kiwandani mpaka kumfikia mlaji wa mwisho.
“Gharama halisi za uzalishaji wa saruji haiakisiwi katika bei ya saruji iliyopo sokoni ikilinganishwa na uwiano huo katika nchi jirani na kwingineko duniani,”amesema.
Aidha, amesema wamebaini kuwa ongezeko la bei ya saruji na nondo halina uwiano halisi na gharama za usafirishaji na usambazaji na bei ya saruji iliyopo sokoni haina uhusiano na mwenendo wa nguvu za utashi wa mlaji na ugavi.
Dk Kijaji amesema kuna ucheleweshaji wa makusudi kwa utoaji wa saruji kutoka viwandani kwenda kwa wasambazaji na wanunuzi wa ndani hususani wale wasambazaji na wanunuzi wadogo ambao tayari wanakuwa wamekwisha lipia saruji husika tofauti na wanunuzi wa nje ambao hupatiwa saruji kwa urahisi zaidi.
Amesema pamoja na mambo mengine hali hiyo imesababisha wasambazaji kupandisha bei za saruji ili kufidia gharama zilizotumika kuchukua mzigo.
Chanzo: Mwananchi
Serikali inampangia bei mfanya biashara? Wakitaka waanzishe maduka yao ambamo watauza kwa bei nafuu. Au waagize nyingi ambazo watauza kwa masharti ya bei angalizi.Waziri wa viwanda na biashara Dr Kijaji amezitaka mamlaka zinazohusika kuwachukulia hatua wafanyabiashara waliopandisha bei za Soda, Cement, Nondo na bidhaa nyingine kinyume cha utaratibu.
Dr Kijaji amesema uchunguzi umeonyesha kuwa wakati bidhaa hizo zinapandishiwa bei gharama za uzalishaji zilikuwa chini na hakukuwa na sababu yoyote ile ya kuongeza bei.
Source: ITV habari
========
Serikali imeziagiza mamlaka zote za udhibiti kuchukua hatua kali dhidi ya walimbikizaji na wauzaji kupitia mlango wa nyuma (black market) wanaosababisha bei za bidhaa kupanda sokoni ili kuhakikisha bidhaa zinafika sokoni kwa wakati na bei shindani.
Agizo hilo limetolewa leo Jumatatu Februari 7, 2022 na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dk Ashatu Kijaji wakati akitoa tathimini ya mwenendo wa uzalishaji, usambazaji na bei za vifaa vya ujenzi na bidhaa nyingine muhimu nchini.
“Ninawaelekeza wazalishaji na wafanyabiashara wa vifaa vya ujenzi kushusha mara moja bei za bidhaa walizopandisha kiholela na kuuza bidhaa bila kuzingatia gharama halisi za uzalishaji na usambazaji,” alisema.
Pia amewaagiza wazalishaji wa vifaa vya ujenzi kuweka mifumo mizuri ya usambazaji wa vifaa ili kuzuia kupanda kwa bei kunakoweza kuzuilika.
Dk Kijaji amewataka maofisa biashara wa mikoa kote nchini waendelee kufuatilia kwa karibu mwenendo wa bei za bidhaa mbalimbali kwenye maeneo yao na kuwasilisha taarifa hizo mara kwa mara kwenye wizara hiyo kupitia ofisi za makatibu tawala mikoa ili itakapobidi hatua stahiki zichukuliwe kwa wakati.
Amesema tathimini iliyofanyika nchini imwegundua kuwa ongezejko holela la bei ya vifaa vya ujenzui hususan saruji na nondo linasababishwa na wazalishaji wa bidhaa husika kufanya uzalishaji banifu.
Pia amesema ongezeko hilo wamebaini limesababishwa na kutokuwa na mfumo wa wazi wa usambazaji wa bidhaa kutoka kiwandani mpaka kumfikia mlaji wa mwisho.
“Gharama halisi za uzalishaji wa saruji haiakisiwi katika bei ya saruji iliyopo sokoni ikilinganishwa na uwiano huo katika nchi jirani na kwingineko duniani,”amesema.
Aidha, amesema wamebaini kuwa ongezeko la bei ya saruji na nondo halina uwiano halisi na gharama za usafirishaji na usambazaji na bei ya saruji iliyopo sokoni haina uhusiano na mwenendo wa nguvu za utashi wa mlaji na ugavi.
Dk Kijaji amesema kuna ucheleweshaji wa makusudi kwa utoaji wa saruji kutoka viwandani kwenda kwa wasambazaji na wanunuzi wa ndani hususani wale wasambazaji na wanunuzi wadogo ambao tayari wanakuwa wamekwisha lipia saruji husika tofauti na wanunuzi wa nje ambao hupatiwa saruji kwa urahisi zaidi.
Amesema pamoja na mambo mengine hali hiyo imesababisha wasambazaji kupandisha bei za saruji ili kufidia gharama zilizotumika kuchukua mzigo.
Chanzo: Mwananchi
Wapi hiyo?Elfu 22 now
DodomaDuh! Bei hiyo wapi?
KaratuWapi hiyo?
Hii wizara ni nyeti kwa uchumi wetu, waziri wake anatakiwa mtu mwenye uzoefu na uwezo wa masuala ya biashara na sio kuangalia jinsia na hijab tu
Waziri wa viwanda na biashara Dr Kijaji amezitaka mamlaka zinazohusika kuwachukulia hatua wafanyabiashara waliopandisha bei za Soda, Cement, Nondo na bidhaa nyingine kinyume cha utaratibu.