Serikali yaagiza NIMRI kufanya uchunguzi wa Madhara ya Energy Drinks

Acha uongo bia tunakunywa 20-30 kwa Mara 1

While it's possible to die from drinking too much water, it's rare. You'd have to drink a lot of water in a short period of time, which most people will have a hard time doing accidentally. But if you're an endurance athlete or do a lot of strenuous physical activity, you could have a higher risk
 
uchunguzi wa nn umesha ambiwa mtu kanywa tano,

Maji yenyewe ukinywa mengi ndani ya muda mfupi ni tatizo
Ndo nashangaa na mimi.kinywaji kina maelekezo kiasi cha kunywa ila mtu kazidisha kiwango alafu tunaacha kumchunguza mtu aliyekiuka masharti kama ana akili timamu tunachunguza kinywaji.Mambo mengine ni upotevu wa muda.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nchi ya ajabu sana hii.....JKCI ni taasisi ya serikali yenye wataalamu wabobevu katika masuala ya moyo. Wameweka wazi utafiti wao lakini serikali haiiamini taasisi ya moyo inaiagiza taasisi nyingine kufanya utafiti tena!!!
What if inaleta madhara zaidi ya moyo? Hio ni taasisi ya moyo hawapimi madhara ya Figo ama ngozi etc wacha wataaalam wadanye kazi
 
Nashauri baada ya uchunguzi Azam na MeTL washtakiwe kwa madhara ya kiafya dhidi ya watu.
 
Ukiwa na site ya ujenzi utajionea jinsi vijana wanavyozifakamia wawapo kazini.

Kama zina madhara ya papo kwa papo kiasi hicho sijui hawa wengine wengi wanajitibu vipi bila kwenda hospital.
 
What if inaleta madhara zaidi ya moyo? Hio ni taasisi ya moyo hawapimi madhara ya Figo ama ngozi etc wacha wataaalam wadanye kazi
everything in a human body, cells zote uhai wake unatoka/lazima upite kwenye moyo. Ndiyo sababu Bible inasema "Linda sana moyo wako maana ndiko kwenye chemchemi za uzima/uhai wako"
 
Energy zina madhara sawa ila wameandika usinywe zaidi ya mbili, mjamzito asinywe, ukitoka kufanya mazoezi usinywe.
Sasa huyu kijana wa hovyo yeye akabugia energy tano kwa mkupuo halafu serikali wanataka kupoteza pesa kufanya uchunguzi.

Huyo kijana ilibidi afe ili akili ikamkae sawa huko motoni.
 
Sio energy drinks tu hata hizi pombe wanazotumia vijana wengi mtaani hazina viwango vinavyotakiwa mtu anakunywa huku anafumba macho vijana wamechoka wakati wazungu ni walevi ila wapo vizuri tu tbs imelala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…