Serikali yaagiza NIMRI kufanya uchunguzi wa Madhara ya Energy Drinks

Sioni sababu ya kufanya utafiti kwani muhusika kajidhuru mwenyewe kwa kunywa chupa 5. Tumeaswa kuwa na kiasi katika kila jambo. Everything too much is harmful.
 
Hii skendo inataka kuwaharibia watu biashara zao.Hapo kosa lipo kwa mnywaji na wala si kinywaji.Caffein ina viwango vyake;Usinywe zaidi ya mbili kwa siku yani masaa 24,Jitu linabugia five to series bladfakin.
 
Huyo kijana anafanya shughuli gani mpaka ahitaji booster nyingi hvyo? ila kwenye maelezo kwenye hizo chupa za energy wametoa maelezo ya matumizi, ikiwemo usizidishe chupa 2 kwa siku etc. Watanzania tuwe na tabia ya kusoma maelekezo kabla ya kutumia bidhaa, zingine unakuta zime expire, tuache kubugia tu.
 
Mavinywaji mengine mbona usipotumii upungukiwi kitu.

Mimi kwa Sasa situmii
Soda
Juice
Energy
Na maisha yangu yanaenda poa tu.

Saizi na mipango ya kuanza kuachana na vinywaji vyote dunia vya viwandani ni baki na kunywa maji tu.

Hongera utaishi miaka 200.
 
Ukiwa na site ya ujenzi utajionea jinsi vijana wanavyozifakamia wawapo kazini.

Kama zina madhara ya papo kwa papo kiasi hicho sijui hawa wengine wengi wanajitibu vipi bila kwenda hospital.
Hujasoma mada, hapo ni kuwa huyo mpumbavu kabugia 5 mfululizo
 
Umambiwa mwisho mbili.
Tano zote za Nini sasa [emoji23]

Watanzania bhna muda mwingine hatujipendi!
 
NIMRI mimi nilidhani ni jukumu lao kuchunguza vitu vyote bila ya kuagizwa...sema Bongo hata mafisadi yanakamatwa kwa maagizo ni kama ishu ya CAG mpaka mtoa order atoe bila hivyo hawana Case ya Kujibu..
 
Yametengenezwa mazingira gani kufanya huo utafiti uwe huru dhidi ya maslahi ya hizo kampuni?
 
everything in a human body, cells zote uhai wake unatoka/lazima upite kwenye moyo. Ndiyo sababu Bible inasema "Linda sana moyo wako maana ndiko kwenye chemchemi za uzima/uhai wako"
Unachofanya hapo ni kuhamisha Magoli tu.

Kuna watu wana full function heart ila ni matahira, si kila ugonjwa ni moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…