Serikali yaagiza NIMRI kufanya uchunguzi wa Madhara ya Energy Drinks

Nchi ya ajabu sana hii.....JKCI ni taasisi ya serikali yenye wataalamu wabobevu katika masuala ya moyo. Wameweka wazi utafiti wao lakini serikali haiiamini taasisi ya moyo inaiagiza taasisi nyingine kufanya utafiti tena!!!
Kila taasisi ina majukumu yake!!haoJKCI hilo sio jukumu lao la kisheria,
 
Alikunywa chupa tano kwa mpigo alikua anataka kugundua nini?
 
Uchunguzi wa nini sasa ushambiawa usinywe zaid ya chupa mbili kwa siku. Mengine ya kujitakia tu
 
Changa la macho lingine hilo!!

Yale yale ya mto mara na kinyesi cha ng'ombe!

Hivi hapo tbs walisoma chemistry gani !!

Hii hii inorganic na organic ninayoijua au nyingine!!?


Poor TANZANIA
Mungu tubariki kwakweli akili zikae SAWA!!
 
Mavinywaji mengine mbona usipotumii upungukiwi kitu.

Mimi kwa Sasa situmii
Soda
Juice
Energy
Na maisha yangu yanaenda poa tu.

Saizi na mipango ya kuanza kuachana na vinywaji vyote dunia vya viwandani ni baki na kunywa maji tu.
hata maji si yanatoka kiwandani au maji ya bombani.
 
Kwa hizi bidhaa zetu hapa nchini wamekuandikia kuwa:

1)Usinywe zaidi ya 2/wengine 3
2)Asinywe mtoto
3)Asinywe mjamzito na mama anayenyonyesha

TAHADHARI YOTE HIYO BADO MTU ANAKUNYWA 5?!!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kinachofanyae watu wanywe zile mo energy ni halo ya indigestion ambayo inawakumba walio WENGI!!

Yaani kufeli KWA mfumo wa mmeng'enyo wa chakula tumboni unaotokana matatizo mbali mbali ya kikemikali!

SASA ukizinywa hizi energy drinks zina ongeza metabolic rate mwilini na KUMSAIDIA kumeng'enya chakula kisasa na sio asili ya mfumo wenyewe!!

SASA wakati energy ikifanya hayo artificially inaua naturally metabolic actions za mfumo asili pole Pole!! Na kuzalisha sumu ndani ya mwili taratiibu na kihatarisha afya!!


NB
Nimeongea kama mkemia wa Buza huko!!
 
Mavinywaji mengine mbona usipotumii upungukiwi kitu.

Mimi kwa Sasa situmii
Soda
Juice
Energy
Na maisha yangu yanaenda poa tu.

Saizi na mipango ya kuanza kuachana na vinywaji vyote dunia vya viwandani ni baki na kunywa maji tu.
Hata maji yanatengenezwa viwandani,labda kama utatumia ya mtoni au kisimani.
 
[emoji7][emoji106]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
redbull zimekuwpo miaka mingi tu , mbona hawakufanya hio research
mtu anakunywa tano kwa siku hawezi kuwa na akili huyo
 
Mavinywaji mengine mbona usipotumii upungukiwi kitu.

Mimi kwa Sasa situmii
Soda
Juice
Energy
Na maisha yangu yanaenda poa tu.

Saizi na mipango ya kuanza kuachana na vinywaji vyote dunia vya viwandani ni baki na kunywa maji tu.
maji unakunywa ya kisima au bomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…