1) HAUELEWEKI UNAULIZA SWALI AU UNAJIBU SWALI?Je umetumia hakiri yako au umeshalanduka
C Shangai ni kawaida ya bavicha wote. Wagumu wa kuelewa wepesi wa kusahau...1) HAUELEWEKI UNAULIZA SWALI AU UNAJIBU SWALI?
2) HAKIRI ......?
3)UMESHALANDUKA ....?
rudi darasani kijana,yaani ulikuwa unakunywa uji wa bure huko shuleni.
Wenzio wametumia maono yake lema kumdidimiza mwenyewe,wewe unasema serikali inamuogopa?aende akaote jela,akitoka kanyookaInavyoonekana serikali imeanza kuogopa kauli ya Lema aliyoitoa kuwa "Endapo rais atafikiri yeye ni Mungu basi Mungu anaweza kusitisha maisha yake kabla ya 2020".
Hayo yamejidhihirisha leo mahakamani baada ya wakili wa serikali kusema,
"Lema asipewe dhamana kwa kuwa alisema Rais atakufa kwa hiyo akitoka ataweza kuufanikisha mpango huo. Lakini pia kwa sasa mke wa Rais ni mgonjwa na inawezekana ndio sehemu ya maono ya Lema kuidhuru familia ya Rais".
Hakuna Nabii anayeweza kubabaishwa na magereza , Nabii Lema ni shujaa .Wenzio wametumia maono yake lema kumdidimiza mwenyewe,wewe unasema serikali inamuogopa?aende akaote jela,akitoka kanyooka
Kama maneno haya yametamkwa na mtu msomi mwenye cheo cha wakili kisha akaaminiwa na serikali basi kuna tatizo mahali na ni kubwa kuliko tunavyodhaniInavyoonekana serikali imeanza kuogopa kauli ya Lema aliyoitoa kuwa "Endapo rais atafikiri yeye ni Mungu basi Mungu anaweza kusitisha maisha yake kabla ya 2020".