Inavyoonekana serikali imeanza kuogopa kauli ya Lema aliyoitoa kuwa "Endapo rais atafikiri yeye ni Mungu basi Mungu anaweza kusitisha maisha yake kabla ya 2020".
Hayo yamejidhihirisha leo mahakamani baada ya wakili wa serikali kusema,
"Lema asipewe dhamana kwa kuwa alisema Rais atakufa kwa hiyo akitoka ataweza kuufanikisha mpango huo. Lakini pia kwa sasa mke wa Rais ni mgonjwa na inawezekana ndio sehemu ya maono ya Lema kuidhuru familia ya Rais".