Serikali yaanza kuogopa "maono" ya Lema

Serikali yaanza kuogopa "maono" ya Lema

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Inavyoonekana serikali imeanza kuogopa kauli ya Lema aliyoitoa kuwa "Endapo rais atafikiri yeye ni Mungu basi Mungu anaweza kusitisha maisha yake kabla ya 2020".

Hayo yamejidhihirisha leo mahakamani baada ya wakili wa serikali kusema,

"Lema asipewe dhamana kwa kuwa alisema Rais atakufa kwa hiyo akitoka ataweza kuufanikisha mpango huo. Lakini pia kwa sasa mke wa Rais ni mgonjwa na inawezekana ndio sehemu ya maono ya Lema kuidhuru familia ya Rais".
 
Tuna kesi nyingi sana zinaendelea ktk Mahakama zetu nchini ila mitandao na vyombo vingine vya habari ndo vinakuza kesi ya Mh Lema.
 
Poor minds and small brains never overcome Great Thinkers.
A dream is just a series of thoughts, images, and sensations occurring in a person's mind during sleep.
So why worry on someone thoughts???
A very miserable doubtful and actions taken for some in his dream(s) ...and is not forbbiden/stop someone to dream.
Hebu acheni kutuaibisha Viongozi kwani hakika hii ni aibu kwa ndani na nje ya nchi eti mtu kukamatwa kisa tu eti ameota na kuhadithia ndoto yake.
 
1) HAUELEWEKI UNAULIZA SWALI AU UNAJIBU SWALI?
2) HAKIRI ......?
3)UMESHALANDUKA ....?
rudi darasani kijana,yaani ulikuwa unakunywa uji wa bure huko shuleni.
C Shangai ni kawaida ya bavicha wote. Wagumu wa kuelewa wepesi wa kusahau...
 
Wanamuonea tu lema mbona hata Hezekiah aliambiwa atengeneze mambo yake asipotengeneza atakufa, hata Lema asingesema kila nafsi itaonja mauti kwa mda wake sasa kumshikilia Lema ni uonevu mtupu na kukomoana
 
Inavyoonekana serikali imeanza kuogopa kauli ya Lema aliyoitoa kuwa "Endapo rais atafikiri yeye ni Mungu basi Mungu anaweza kusitisha maisha yake kabla ya 2020".

Hayo yamejidhihirisha leo mahakamani baada ya wakili wa serikali kusema,

"Lema asipewe dhamana kwa kuwa alisema Rais atakufa kwa hiyo akitoka ataweza kuufanikisha mpango huo. Lakini pia kwa sasa mke wa Rais ni mgonjwa na inawezekana ndio sehemu ya maono ya Lema kuidhuru familia ya Rais".
Wenzio wametumia maono yake lema kumdidimiza mwenyewe,wewe unasema serikali inamuogopa?aende akaote jela,akitoka kanyooka
 
Hakuna Nabii anayeweza kubabaishwa na magereza , Nabii Lema ni shujaa .
 
  • Thanks
Reactions: J C
Inavyoonekana serikali imeanza kuogopa kauli ya Lema aliyoitoa kuwa "Endapo rais atafikiri yeye ni Mungu basi Mungu anaweza kusitisha maisha yake kabla ya 2020".

Hayo yamejidhihirisha leo mahakamani baada ya wakili wa serikali kusema,

"Lema asipewe dhamana kwa kuwa alisema Rais atakufa kwa hiyo akitoka ataweza kuufanikisha mpango huo. Lakini pia kwa sasa mke wa Rais ni mgonjwa na inawezekana ndio sehemu ya maono ya Lema kuidhuru familia ya Rais".
Kama maneno haya yametamkwa na mtu msomi mwenye cheo cha wakili kisha akaaminiwa na serikali basi kuna tatizo mahali na ni kubwa kuliko tunavyodhani
 
Back
Top Bottom