Selikali gani hiyo inayohangaikia wanywa viroba?? na mbege? ?
Hahahaha "hakiri"1) HAUELEWEKI UNAULIZA SWALI AU UNAJIBU SWALI?
2) HAKIRI ......?
3)UMESHALANDUKA ....?
rudi darasani kijana,yaani ulikuwa unakunywa uji wa bure huko shuleni.
Nabii Lema anaogopwa vibaya sana .
Wewe na akili yako unaamini Lema alikuwa anaota? Lema anaweza kudhibitisha kuwa alikuwa anaota hayo mambo? Mtu akiota huwa anaitisha mkutano wa hadhara kuwahutubia wananchi ndoto alizoota?Poor minds and small brains never overcome Great Thinkers.
A dream is just a series of thoughts, images, and sensations occurring in a person's mind during sleep.
So why worry on someone thoughts???
A very miserable doubtful and actions taken for some in his dream(s) ...and is not forbbiden/stop someone to dream.
Hebu acheni kutuaibisha Viongozi kwani hakika hii ni aibu kwa ndani na nje ya nchi eti mtu kukamatwa kisa tu eti ameota na kuhadithia ndoto yake.
We jamaa mbishi balaaCdhan km unaweza kuelewa hata km nikikuelewesha!!!!
Sana Mkuu, yani ni maajabu sana lakini yanayotendeka.Poor minds and small brains never overcome Great Thinkers.
A dream is just a series of thoughts, images, and sensations occurring in a person's mind during sleep.
So why worry on someone thoughts???
A very miserable doubtful and actions taken for some in his dream(s) ...and is not forbbiden/stop someone to dream.
Hebu acheni kutuaibisha Viongozi kwani hakika hii ni aibu kwa ndani na nje ya nchi eti mtu kukamatwa kisa tu eti ameota na kuhadithia ndoto yake.
Lakini nakuhakikishia kuwa, mpaka sasa BAVICHA hawajaisahau Mv Dar e SalaamC Shangai ni kawaida ya bavicha wote. Wagumu wa kuelewa wepesi wa kusahau...
Kwani Lema ni mara ya kwanza kwenda jela?Wenzio wametumia maono yake lema kumdidimiza mwenyewe,wewe unasema serikali inamuogopa?aende akaote jela,akitoka kanyooka
mshana jr,
Inasikitisha na huwezi amini lakini imetokea!
Hivi Mahakama inaweza kutumia NDOTO au MAONO kuhukumu kesi???I don't believe this! Huyu Wakili aulizwe katumia kifungu gani kwenye vitabu vya sheria??
Letme say this. Serikali inajisumbua, inajidhalilisha na inajivua nguo hadharani! Kama kweli Mb. Lema ni mwombaji mzuri na kile slichosema Mungu alimeonyesha kweli basi kitaenda KUTUKIA TU NO MATTER WHAT!
Huwezi kuzuia mpango mkamilifu wa Mungu hata kwa mabomu ya Nuclear! Itatokea tu kwa wakti na majira yake kama Mungu alivyo mwonyesha mtumishi wake Godbless Lema.
Amen& Amen.
Kwa baadhi ya nchi huyu muda huu angekuwa papaya sanaTumejaza "magunia ya viazi" kwenye baadhi ya ofisi za serikali.
Na laiti ningelikuwa kizimbani, basi ningemuomba authibitishie umma kutokana na kauli yake.
Labda alipokua jambazi aliwahi kwenda,lakini tangu awe mwanasiasa,amelala kituoni tuKwani Lema ni mara ya kwanza kwenda jela?
Kwahiyo akifungwa bibi yako wa kijijini atanufaika na nini.Labda alipokua jambazi aliwahi kwenda,lakini tangu awe mwanasiasa,amelala kituoni tu