Serikali yaanza kuogopa "maono" ya Lema

Serikali yaanza kuogopa "maono" ya Lema

Hakimu alikubali kutoa dhamana akaomba dakika kumi baada ya kurudi akabatilisha uamuzi wake wakumnyima Lema mdhamana.
 
Haki ya Mungu Walahi ,eee hawa ndio mawakili wetu tunaowategemea washinde kesi za Mbowe sijui kudhulumu NHC na za kina Hary Kitilya kutakatisha fedha chafu

Eti asipewe dhamana kwa sababu mke wa raisi ni mgonjwa

Duu hii Tanzania yangu
 
Labda alipokua jambazi aliwahi kwenda,lakini tangu awe mwanasiasa,amelala kituoni tu
Inaonyesha huna kumbukumbu kabisa Lema akiwa mbunge kipindi cha kwanza ameshawahi kulala magereza kwa siku 14 .
 
Wanamuonea tu lema mbona hata Hezekiah aliambiwa atengeneze mambo yake asipotengeneza atakufa, hata Lema asingesema kila nafsi itaonja mauti kwa mda wake sasa kumshikilia Lema ni uonevu mtupu na kukomoana
Lema ni mwanasiasa sio Mitume wala nabii wala mchungaji wala mutu anayejishughulisha na kuutafuta USO wa Mungu yaani kumtumikia Mungu.

Hivi unaamini Yale anayoyaita maoni yametoka kwa Mungu?

Nafhani ni matamanio yake tu wala.asimshikirishe Mungu wa mbinguni labda iwe miungu ya huko kwao.
 
Inavyoonekana serikali imeanza kuogopa kauli ya Lema aliyoitoa kuwa "Endapo rais atafikiri yeye ni Mungu basi Mungu anaweza kusitisha maisha yake kabla ya 2020".

Hayo yamejidhihirisha leo mahakamani baada ya wakili wa serikali kusema,

"Lema asipewe dhamana kwa kuwa alisema Rais atakufa kwa hiyo akitoka ataweza kuufanikisha mpango huo. Lakini pia kwa sasa mke wa Rais ni mgonjwa na inawezekana ndio sehemu ya maono ya Lema kuidhuru familia ya Rais".
Hivi iko wapi haki ya mtu kutoa maoni yake?
 
Unconfirmed | nimesikia Lema eti akiota kitu ni kweli, eti ana tumia nguvu kubwa sana za majini ya ukoo wao, nasikia majini yake ni ya kurithi, akinuia kitu eti kinatokea..

Nilikuwa naomba Mh. Rais akutane na Lema, amwambie aache hiyo tabia ya kuota kifo, Lema aongee na hayo majini yao, ayatulize, ndio maana Lema ana jiamini sana sbb ya majini, sasa sijui tutakamataje hayo majini yake ya ukoo.. nasikia yana nguvu kubwa sana sana..

Confirmed | Hali ya maisha ni magumu sana, serikali yangu ya JPM na CCM kwa ujumla, fanyeni kila hali kuwawezesha wananchi, hali mbaya sana kwa wengi

1: Ongeeni na mabenki warejeshe mikopo kwa watumishi wa umma haraka sana
2: Pandisheni mishahara
3: Promotion kwa watumishi
4: Bei ya umeme isipande
5: Traffic waache kuwanyanyasa wananchi wenye magari, traffic wamekuwa wanakamata magari sana sana na kutoza fine, traffic wanaharibia serikali sbb watia chuki sana kwa umma, kama mjuavyo magari hayawezi kuwa perfect sbb ni used cars, but traffic akikuta kosa dogo sana sh. 30,000 hii mbaya sana kwa wananchi
6: Kodi kamateni migodini, bandarini, ktk viwanda na biashara zote, ila msifukuzane na mama ntilie, machinga na boda boda, hao hali yao ni mbaya sana

Maisha yamekuwa mabaya sana mitaani, hili tuweke wazi, hata kama mm ni CCM nitasema wazi
 
Unaamini katika majini?
 
Lema nani kakwambia bungeni ukatowe maono ayo ulizani ni ibadani mpeni mungu chake mungu kaisari mpe vyakaisari
 
Unaamini katika majini?

Usichanganye vitu:

Kutokuamini haimaanishi majini hayapo.. majini yapo na yanamaliza watu hata ktk biblia wanataja mashetani..

Kuamini naamini yapo majini tena yanamaliza watu na tokea enzi na enzi..!!

Wee kama huamini, haimaanishi hayapo, that is you, devils exist sana tu..
 
Yatume basi yakamtoe lema gerezani
 
Hivyo hatujui kiswahili?
Lema alisema asipoacha kujifanya yeye ni Mungu ..........
Sasa polisi wanapomkamata ni kama vile wanadhihirisha kweli kuna mtu anayejiona ni Mungu na ataendelea kujiona hivyo na kwa hiyo wanaogopa kifo.
Sote tunajua hakuna mtu anayejiona Mungu sasa woga ni wa nini. Kwani Lema ni mchawi?
Mbona tunaamini kila kitu?
 
Yatume basi yakamtoe lema gerezani

Nikwambie tu, ukweli wa wazi.. hakuna watu washirikina na wanatumia majini, uchawi Tanzania kama wana siasa.. ni washirikiana sana kwa 90%..!! huo ndio ukweli.

Lema atasumbuliwa kidogo, utaona katoka na very soon ataachiwa..

Na sbb kuu ni majini hayo, najua hunielewi ww.. ni ngumu kunielewa.. wanasiasa Tz, 90% washirikina sana sanaaaa.. hasa kuanzia ngazi ya Umeya, Ubunge, na Urais..!!
 
Back
Top Bottom