Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonyesha huna kumbukumbu kabisa Lema akiwa mbunge kipindi cha kwanza ameshawahi kulala magereza kwa siku 14 .Labda alipokua jambazi aliwahi kwenda,lakini tangu awe mwanasiasa,amelala kituoni tu
Maxence Melo Moderator mbona mnaacha kuwachukulia hatua hawa wanaandika matusi humu JFHuyo Kashaolewa Na Wafungwa Huko
Lema ni mwanasiasa sio Mitume wala nabii wala mchungaji wala mutu anayejishughulisha na kuutafuta USO wa Mungu yaani kumtumikia Mungu.Wanamuonea tu lema mbona hata Hezekiah aliambiwa atengeneze mambo yake asipotengeneza atakufa, hata Lema asingesema kila nafsi itaonja mauti kwa mda wake sasa kumshikilia Lema ni uonevu mtupu na kukomoana
Hivi iko wapi haki ya mtu kutoa maoni yake?Inavyoonekana serikali imeanza kuogopa kauli ya Lema aliyoitoa kuwa "Endapo rais atafikiri yeye ni Mungu basi Mungu anaweza kusitisha maisha yake kabla ya 2020".
Hayo yamejidhihirisha leo mahakamani baada ya wakili wa serikali kusema,
"Lema asipewe dhamana kwa kuwa alisema Rais atakufa kwa hiyo akitoka ataweza kuufanikisha mpango huo. Lakini pia kwa sasa mke wa Rais ni mgonjwa na inawezekana ndio sehemu ya maono ya Lema kuidhuru familia ya Rais".
Maxence Melo huyu alete huo ushahidi Lema aliwahi kuwa jambazi akishindwa chukueni hatuaLabda alipokua jambazi aliwahi kwenda,lakini tangu awe mwanasiasa,amelala kituoni tu
kwa hiyo ni sifa?bavicha akili zenu viroba tupuInaonyesha huna kumbukumbu kabisa Lema akiwa mbunge kipindi cha kwanza ameshawahi kulala magereza kwa siku 14 .
Unaamini katika majini?Unconfirmed | nimesikia Lema eti akiota kitu ni kweli, eti ana tumia nguvu kubwa sana za majini ya ukoo wao, nasikia majini yake ni ya kurithi, akinuia kitu eti kinatokea..
Nilikuwa naomba Mh. Rais akutane na Lema, amwambie aache hiyo tabia ya kuota kifo, Lema aongee na hayo majini yao, ayatulize, ndio maana Lema ana jiamini sana sbb ya majini, sasa sijui tutakamataje hayo majini yake ya ukoo.. nasikia yana nguvu kubwa sana sana..
Confirmed | Hali ya maisha ni magumu sana, serikali yangu ya JPM na CCM kwa ujumla, fanyeni kila hali kuwawezesha wananchi, hali mbaya sana kwa wengi
1: Ongeeni na mabenki warejeshe mikopo kwa watumishi wa umma haraka sana
2: Pandisheni mishahara
3: Promotion kwa watumishi
4: Bei ya umeme isipande
5: Traffic waache kuwanyanyasa wananchi wenye magari, traffic wamekuwa wanakamata magari sana sana na kutoza fine, traffic wanaharibia serikali sbb watia chuki sana kwa umma, kama mjuavyo magari hayawezi kuwa perfect sbb ni used cars, but traffic akikuta kosa dogo sana sh. 30,000 hii mbaya sana kwa wananchi
6: Kodi kamateni migodini, bandarini, ktk viwanda na biashara zote, ila msifukuzane na mama ntilie, machinga na boda boda, hao hali yao ni mbaya sana
Maisha yamekuwa mabaya sana mitaani, hili tuweke wazi, hata kama mm ni CCM nitasema wazi
kwa hiyo ni sifa?bavicha akili zenu viroba tupu
Anaona gerezani sasa.kufunga kula kote kule mungu wake ameshindwa kumnasua asiende lupangoYale maono ya Lema yatakuwa ya ukweli.
Unaamini katika majini?
Yatume basi yakamtoe lema gerezaniUsichanganye vitu:
Kutokuamini haimaanishi majini hayapo.. majini yapo na yanamaliza watu hata ktk biblia wanataja mashetani..
Kuamini naamini yapo majini tena yanamaliza watu na tokea enzi na enzi..!!
Wee kama huamini, haimaanishi hayapo, that is you, devils exist sana tu..
.. hakiri... ___ basi tumia akili yako hata kidogoJe umetumia hakiri yako au umeshalanduka
Yatume basi yakamtoe lema gerezani