Serikali yaanza kuogopa "maono" ya Lema

Serikali yaanza kuogopa "maono" ya Lema

Lema anapenda jela!nasikia anarafiki huko ndani anaitwa mjusi huwa anammiss! Jamani hizo ni ubuyu tu wa kitaa!
 
Lema anapenda jela! Nasikia anarafiki huko ndani anaitwa mjusi huwa anammiss! Jamani hizo ni ubuyu tu wa kitaa!
 
Poor minds and small brains never overcome Great Thinkers.
A dream is just a series of thoughts, images, and sensations occurring in a person's mind during sleep.
So why worry on someone thoughts???
A very miserable doubtful and actions taken for some in his dream(s) ...and is not forbbiden/stop someone to dream.
Hebu acheni kutuaibisha Viongozi kwani hakika hii ni aibu kwa ndani na nje ya nchi eti mtu kukamatwa kisa tu eti ameota na kuhadithia ndoto yake.
Wewe na akili yako unaamini Lema alikuwa anaota? Lema anaweza kudhibitisha kuwa alikuwa anaota hayo mambo? Mtu akiota huwa anaitisha mkutano wa hadhara kuwahutubia wananchi ndoto alizoota?

Msitufanye wajinga. Lema ana kesi nzito ya kujibu mahakamani. Apeleke kithibiti cha hizo ndoto mahakamani kama anaweza la sivyo ategemee kupata kifungo cha maisha jela.
 
Poor minds and small brains never overcome Great Thinkers.
A dream is just a series of thoughts, images, and sensations occurring in a person's mind during sleep.
So why worry on someone thoughts???
A very miserable doubtful and actions taken for some in his dream(s) ...and is not forbbiden/stop someone to dream.
Hebu acheni kutuaibisha Viongozi kwani hakika hii ni aibu kwa ndani na nje ya nchi eti mtu kukamatwa kisa tu eti ameota na kuhadithia ndoto yake.
Sana Mkuu, yani ni maajabu sana lakini yanayotendeka.
 
Mawakili wa serikali ni wa tupu sana,kama siyo msaada na amri za wakubwa kesi zote za kisiasa
 
Lena hayo maono aliyatoa bungeni au nje ya bunge! Lakini mbunge so anajidhamini mwenyewe kwa kazi yake
 
Wenzio wametumia maono yake lema kumdidimiza mwenyewe,wewe unasema serikali inamuogopa?aende akaote jela,akitoka kanyooka
Kwani Lema ni mara ya kwanza kwenda jela?
 
mshana jr,
Inasikitisha na huwezi amini lakini imetokea!
Hivi Mahakama inaweza kutumia NDOTO au MAONO kuhukumu kesi???I don't believe this! Huyu Wakili aulizwe katumia kifungu gani kwenye vitabu vya sheria??

Letme say this. Serikali inajisumbua, inajidhalilisha na inajivua nguo hadharani! Kama kweli Mb. Lema ni mwombaji mzuri na kile slichosema Mungu alimeonyesha kweli basi kitaenda KUTUKIA TU NO MATTER WHAT!

Huwezi kuzuia mpango mkamilifu wa Mungu hata kwa mabomu ya Nuclear! Itatokea tu kwa wakti na majira yake kama Mungu alivyo mwonyesha mtumishi wake Godbless Lema.
Amen& Amen.

Tumejaza "magunia ya viazi" kwenye baadhi ya ofisi za serikali.

Na laiti ningelikuwa kizimbani, basi ningemuomba authibitishie umma kutokana na kauli yake.
Kwa baadhi ya nchi huyu muda huu angekuwa papaya sana
 
Sijui kwanini serikali mara zote inamuogopaga sana Lema? Is either Arusha haitakiwi iongozwe na mpinzani au Lema has got very special thing which we don't know.
 
Back
Top Bottom