Serikali yaanza kuogopa "maono" ya Lema

'Sijaribiwi'
Hivi asiyejaribiwa ni nani hapa ulimwenguni?
Unaona hiyo kauli ni ya mtu mwenye akili timamu au ni kichaa?
 
Nawaza tu kwa sauti, hivi kweli yakitokea ya kutokea Mungu pishia mbali na Lema angali yuko mahabusu serikali itamuhusisha Lema na hayo?
 
Ama kweli, Ushujaa una Gharama zake. Sijui Nini hatma ya Mbunge huyu. Kwa mba a a a a li i. nasikia kaharufu ka, itikadi za Nduli Amin Dada.
 
Then ndio mnataka mawakili kama hawa washinde kesi za maana?
Bureeee
 
Wenzio wametumia maono yake lema kumdidimiza mwenyewe,wewe unasema serikali inamuogopa?aende akaote jela,akitoka kanyooka
Mwanaume wa ajabu unayeogopa jela... Ndio maana kule kwenu hakuna tajiri
 
Siasa zetu zinaendana na IQ zetu! Kama kuna mwananchi anategemea lolote la maana toka kwa kiongozi wa aina hii asahau.
 
"Sie jela nyie ahela, Mungu hapendagi ujinga" copy & paste.
 
Nawaza tu kwa sauti, hivi kweli yakitokea ya kutokea Mungu pishia mbali na Lema angali yuko mahabusu serikali itamuhusisha Lema na hayo?
Hell No! Hivi Mtu akisema ameota Mtu ameninii na Akanyanyuka Kweli, Utasema kwa Kuota ndoto ameua! Kweli hizo Ndio sheria za Mzee Juma Ponda Mali!
 
Lema amekuwa mwiba
Lema amezungumza lugha ambayo wao wanaifahamu. Walizoea wao tu kutisha watu.
Kikwete alisema Upinzani ukichukua madaraka Jeshi litapindua.
Wengine walisema upinzani wakitwaa madaraka, wataleta vita,yatatokea kama ya Rwanda.

Malcom X alisema hii kitu.

"Brothers and sisters, if you and I would just realize, that once we learn to talk the language that they understand, they will then get the point. You can't ever reach a man if you don't speak his language. If a man speaks the language of brute force, you can't come to him with peace. Why goodnight! He'll break you in two, as he has been doing all along. If a man speaks French, you can't speak to him in German. If he speaks Swahili, you can't communicate with him in Chinese. You have to find out, what does this man speak? Once you know his language, learn how to speak his language. He'll get the point, there will be some dialogue, some communication, and some understanding will be developed. You've been in this country long enough to know the language the Klan speaks, they only know one language. What you and I have to start doing in 1965, I mean that's what you have to do because most of us have already been doing it, is start learning a new language. Learn the language that they understand, and then when they come up on our door step to talk, we can talk."

Wenzio wametumia maono yake lema kumdidimiza mwenyewe,wewe unasema serikali inamuogopa?aende akaote jela,akitoka kanyooka
Hivi nikiota nimelala na mkeo utanipeleka polisi?

Na huyo hakimu akinikuta na hatia atakuwa alienda shule kusomea ujinga.
 
MAULANA. ...EHH MOLA WANGU IBARIKI KWA BARAKA ZOTE NCHI YANGU TANZANIA NA WATU WAKE MILELE YOTE. ..AMEN RA
 
Nawaza tu kwa sauti, hivi kweli yakitokea ya kutokea Mungu pishia mbali na Lema angali yuko mahabusu serikali itamuhusisha Lema na hayo?
Kama mtu anatoa story za ndoto anafungwa sasa jamaa akidedi lazima yeye ndiyo ataambiwa kamdedisha
 
Wanamuonea tu lema mbona hata Hezekiah aliambiwa atengeneze mambo yake asipotengeneza atakufa, hata Lema asingesema kila nafsi itaonja mauti kwa mda wake sasa kumshikilia Lema ni uonevu mtupu na kukomoana
una akili sana diva
 
Safi sana hizo ndo hekima za kimaandiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…