Serikali yaanza kuogopa "maono" ya Lema

Serikali yaanza kuogopa "maono" ya Lema

Nimefunuliwa kwenye maombi kua kuna kiongozi wa kitaifa atakae paa juu
 
Hivyo tunadanganya watu ili wasigundue tuna matatizo makubwa kuliko kuhangaika na ndoto za huyu kichaa Lema?
Kama wangekuwa hawamuofifii si wange mdharau basi wakamuchia,wewe kichaa akikutukana au kukupiga una shindana nae zaidi ya kumuacha
 
Wenzio wametumia maono yake lema kumdidimiza mwenyewe,wewe unasema serikali inamuogopa?aende akaote jela,akitoka kanyooka
Jee huwezi kudhani kuwa hata kupelekwa kwake ndani yaweza kuwa ni mpango wa Mungu ili jambo fulani litimie? Mbona kurudi kwake Kisongo inaonyesha kama ndio mwisho wa Lema kwenu? Hata Yusuph alipelekwa gerezani lakini mbona ndiye aliyeokoa taifa hilohilo lililompeleka jela?
 
Kama maneno haya yametamkwa na mtu msomi mwenye cheo cha wakili kisha akaaminiwa na serikali basi kuna tatizo mahali na ni kubwa kuliko tunavyodhani

mshana jr,
Inasikitisha na huwezi amini lakini imetokea!
Hivi Mahakama inaweza kutumia NDOTO au MAONO kuhukumu kesi???I don't believe this! Huyu Wakili aulizwe katumia kifungu gani kwenye vitabu vya sheria??

Letme say this. Serikali inajisumbua, inajidhalilisha na inajivua nguo hadharani! Kama kweli Mb. Lema ni mwombaji mzuri na kile slichosema Mungu alimeonyesha kweli basi kitaenda KUTUKIA TU NO MATTER WHAT!

Huwezi kuzuia mpango mkamilifu wa Mungu hata kwa mabomu ya Nuclear! Itatokea tu kwa wakti na majira yake kama Mungu alivyo mwonyesha mtumishi wake Godbless Lema.
Amen& Amen.
 
Poor minds and small brains never overcome Great Thinkers.
A dream is just a series of thoughts, images, and sensations occurring in a person's mind during sleep.
So why worry on someone thoughts???
A very miserable doubtful and actions taken for some in his dream(s) ...and is not forbbiden/stop someone to dream.
Hebu acheni kutuaibisha Viongozi kwani hakika hii ni aibu kwa ndani na nje ya nchi eti mtu kukamatwa kisa tu eti ameota na kuhadithia ndoto yake.
Novel NineteenEightyFour describes thoughtcrime as
thoughts that conflict with the Party line,
like thinking " BigBrother is ungood". Tanzania we have gone a step further and criminilized dreaming- Lema stands accused of dreamcrime.
 
Kama maneno haya yametamkwa na mtu msomi mwenye cheo cha wakili kisha akaaminiwa na serikali basi kuna tatizo mahali na ni kubwa kuliko tunavyodhani
Tumejaza "magunia ya viazi" kwenye baadhi ya ofisi za serikali.

Na laiti ningelikuwa kizimbani, basi ningemuomba authibitishie umma kutokana na kauli yake.
 
Basi hii kiboko hapo inaonesha Lema kamwambia Rais imekuwaje tena imefika kwenye familia yaani huu ni kama utabiri wa TB Joshua yaani watu wanaenda kulingana na upepo fix kibao.
 
Wanamuonea tu lema mbona hata Hezekiah aliambiwa atengeneze mambo yake asipotengeneza atakufa, hata Lema asingesema kila nafsi itaonja mauti kwa mda wake sasa kumshikilia Lema ni uonevu mtupu na kukomoana
Kumbe hata asingeyatamka hayo maneno angepelekwa gerezani!!
 
Lema alisema ameota ndoto kuwa Mungu atachukua hatua kama mkulu ataendelea kujifananisha naye, kwa hiyo mtekelezaji wa hatua hiyo ni Mungu mwenyewe na wala sio Lema (kulingana na ndoto yake), sasa wakili wa serikali anasema Lema akiwa nje anaweza kutimiza kusudio lake, ajabu sana hii.
Kwani Lema alisema Mungu kamwambia atamtuma yeye Lema kutekeleza kusudio lake? Very poor reasoning!
 
Waache waendelee kubisha hawa binadamu pindi Mungu akiamua sasa sijui watamuomba nabii awaombee au veepe
 
Maono yanafutwa kwa Maombi siyo vinginevyo. Waitwe Manabii ña Mitumi na Wachungaji na Waalimu na Wainjilisti waulizwe kuhusu hiyo ndoto ili waivunje.
 
Novel NineteenEightyFour describes thoughtcrime as
thoughts that conflict with the Party line,
like thinking " BigBrother is ungood". Tanzania we have gone a step further and criminilized dreaming- Lema stands accused of dreamcrime.
Unajitahidi kuandika kwa Kiingereza lakini tafadhali hariri kwanza kabla hujachapisha:

thoughtcrime=thought crime
dreamcrime=dream crime
criminilized=criminalized
BigBrother=Big Brother
 
Back
Top Bottom