Uchaguzi 2020 Serikali yaanza kuprint vipeperushi vya mafanikio ya Awamu ya Tano, tuvisome?

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Nimeona vipeperushi vinaelezea mafanikio ya awamu ya tano. Vipeperushi hivi vinakuja baada ya joto la uchaguzi kuwa kali na kuonekana ngoma si kama tulivyoivalia kibwebwe.

Ushauri: CCM achaneni na mliyofanya, jikiteni kuwaeleza wananchi mtakayofanya. TBC kwa miaka mitano imekuwa inatueleza mliyofanya tena kwa picha na video.

Kama hatukuelewa kupitia TBC ni vigumu sana kuelewa vipeperushi kwa sababu sisi hatuna tabia ya kujisomea.
 
Hata Mtangulizi kabla ya awamu hii pendwa, Pale Jangwani na Mwz alianguka lakini si unajua ndie alikuja kuwa Rais wetu Kipenzi. so hizo ni dalili Njema, Lissu for President. Hata hivyo Video hii kelele za Aende zimetengenezwa (photo shop) Ndio Maana Mwishoni walijisahau kuedit Maneno Rais !! Rais !! Yanasikika kwa Lissu...
 
Hizo gharama za kuchapisha hivyo vipeperushi ni za CCM au serikali?
 
Ama kweli mwaka huu nimeupenda sana. Eti walikuwa wanabana pua "Upinzani umekufa". Watakufa wao na siasa zao za kimirengo na kutupachika majina mabaya mabaya. Eti Wanyonge!!! Eti masikini!! Wanahisi tunafurahia hayo majina wanayotupachika kila kukicha.
 


Msimu umeingia wacha walafi na matapeli watafute mlo. Hiyo ni njia ya wajanja kuwakwapua CCM ambao wanazichota tuu pesa hazina
 
wanatumia vibaya pesa
 
Hali imekuja tofauti na ilivyodhaniwa....
Ngoma ngumu na CCM ikileta masihara itapoteza pambano huku ikishuhudia....

TL anapiga technically... Mfano issue ya sukari alivyoi-present aisee... Hoja nzito....
 
Bashiru hatumii elimu yake kuiendeleza CCM. Anashindwa kuja na mkikakati imara, chama kimepwaya sana.
Hakika Jamaa atakua amemiss sana support ya Kinana na January na Nape. Hao Jamaaa waliziweza sana Kampeni za miaka hiyo. Jamaa akawalipa stahiki zao. Sasa wanapambana na hali zao kimya kimya. Miss you Mkapa, Meko alikulilia kwa mengi...
 
Majina ya kututapelia watanzania!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…