Uchaguzi 2020 Serikali yaanza kuprint vipeperushi vya mafanikio ya Awamu ya Tano, tuvisome?

Tena jambo hilo ni kijume na taratibu na sheria za NEC, hupaswi kusema ulifanya nini bali utafanya nini ili wagombea wote wawe level moja, tuchane chane upuuzi huo.
 
Hizo gharama za kuchapisha hivyo vipeperushi ni za CCM au serikali?
Kama A=B na B=C kuna jamaa alisema A=C! kwa hiyo iwe CCm au Serikali ni ngumu kutofautisha mkuu!! kwani hujasikia maagizo kwa serikali yakitolewa kwenye uwanja wa kampeni ya chama!
 


Vipeperushi ni lazima kwani watu wanatafuta kula dakika za lala salama , wacha gogo walichange kabla halijaisha. Bila kuchapisha mlo utakuja kwa njia gani
 

Mkuu weka ushahidi hapa ya unacho kisema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…