Serikali yaanzisha kodi mpya kwenye miamala ya fedha kupitia Benki

Nakubaliana na wewe kabisa
Kulipa kodi ni jukumu la kila mwananchi ila unalipaje na kwa kiasi gani; kwa nchi masikini inakuwa na different approach......
Fact:ni ni sawa kulipa kodi lakini je tunalipa kwa namna gani na kiasi gani nakubariana na Mparee2
 
Kodi ya osha
Nssf
Kodi ya vifaa vya zimamoto
Kodi ya majengo
Kodi ya ardhi
Kodi ya mabango ya matangazo
Kodi ya payee
Kodi nyinginezo ongezea kwa mfanya biashara na binafsi
 
Huyu mwigulu yeye Anachowaza ni namna atapa pesa ya kuhudumia timu yake ya big star singida.
Haoni shida kuumiza wengine ,alafu jamaa atakua Ana kimbora Cha hatari maana anaharibu kila siku lakin haguswi kabisa
 
Skuiz Kwa matunguli vijana wamewazidi wazee.
 
Hapo dawa ni kuacha tu pesa zikae huko Bank bila kutoa
Kuna makato ya kukutunzia fedha yako Kila mwezi.... Mbaya zaidi fedha hiyo hiyo inatumiwa na benki kuwakopesha wateja wake kwa riba kubwa lakini mwenye pesa unakatwa badala ya kupewa angalao %kidogo kama faida !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…