WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 963
Kwani hata kama PHD holders wanafundisha shule za msingi hata chekechea tatizo ni nini? Walilazimishwa?
Kimsingi nadhani mtu ana uhuru kufanya kazi yeyote na popote apendapo.Mimi naamini katika dhana ya kufanya kile mtu apendacho.
Kazi inanoga kama mtu unaipenda na kuifurahia. Walimu hao kama wanafurahia kufundisha shule za msingi tuwaache na tuache kushangaa!