Tetesi: Serikali yadaiwa kumvua uraia Padri wa Kanisa Katoliki

Inauma miongoni mwa Mapadre ninaowapenda na kuwakubali sana Ni katibu Mkuu Padre Raymond Saba inauma sana unafiki wa baadhi ya Maaskofu wakatoliki kuficha na kushindwa kuusema ukweli huyo anaeagiza wahoji uraia ni raia wa wapi
burundi
 
Umeandika kweli ila chumvi nyingi umezidisha usiandike kwasababu humpendi jiwe...mfano kigezo cha makabuli ni baada ya vyote kukosa uhakika...ukiandika hivyo watanzania ni wavivu kutafuta sources za info wanaamini wale mapadri wameulizwa swali hilo tu sisi sote ni wapinzani Ila upinzani wa ninyi wenzetu chadema umekua wakuchochea mihemko ya wananchi...

Kama hapo ilicho kiandika kina mantik Ila chumvi too much ndomana magu anatupiga bao Kwa huu ujinga twende straight tuache janja janja hizi siasa za zamani....

Kama humu kuNa watu umewapa moto siku wakija kuijua ukweli wanahamia CCM sabu utasikia chadema waongo mara wanapinga kila jambo tubadilike
 
Kusema kweli CCM wanajua siasa na wanajua namna ya kucheza na vichwa vywa watanzania.

Hata wakifukuzwa hao wote sijui viongozi wa dini sijui nini kwa Tanzania chini ya CCM hakuna tatizo litakaloigusa jamii.

Wanajua ni akina nani wanaweza kutetea dini yao na akina nani wanatetea ugali wao.
 
Sijui kaburi la bibi yangu,maana alifariki wakati baba yangu akiwa mdogo sana.
Babu alifariki nikiwa darasa la 6 lakini kaburi lake lilisombwa na mafuriko.
So kwa vigezo vya UHAMIAJI "endapo nitaikosoa Dola" mie si MBONGO?
 
unaweza kua sahihi,lakini huyo padri ni mrundi,hapo hata akipiga novena itamrudia hakuna dhulma hapo,ametendewa haki
Tanzania ndio nchi pekee dunia,mgeni anaweza kujichanganya na raia,akapata pasi na kadi ya kura akajifanya mtanzania
Nyerere asili yake ni Rwanda, mzee Mwinyi Asili yake ni Comoro , mkapa kwao ni Msumbiji, kikwete Asili yake ni congo wakahamia Tabora baadae Bagamoyo, huyo wa sasa asili yake ni Burundi baadae akaja kuwa wa chato, viongozi wa Tanzania wote kwa kiwango kikubwa Asili zao si Tanzania bali ni Nchi jirani.
 
Urais pacha kwa sasa ni muhimu kuliko kipindi chochote kile maana hii kero ya Uhamiaji kusumbua wazawa imezidi sasa.
 
Sijui kaburi la bibi yangu,maana alifariki wakati baba yangu akiwa mdogo sana.
Babu alifariki nikiwa darasa la 6 lakini kaburi lake lilisombwa na mafuriko.
So kwa vigezo vya UHAMIAJI "endapo nitaikosoa Dola" mie si MBONGO?
Vigezo vya Uhamiaji wa Tz wakati mwingine ni vichekesho na Aibu kubwa.
 
Kwa kweli wazaliwa wa mkoa wa Kigoma tuna wakati mgumu sana awamu hii. Ukionekana kuichallenge serikali unabambikiwa uraia either wa Burundi au Congo. Naamin hata mzee wangu Mh Mpango ikitokea akaenda kinyume na GVt hii( assumption) lazima haya yamkute. Ukizingatia maeneo ya vijiji vya Kasumo alikozaliwa ni jirani sana na burundi mwendo wa nusu saa kwa gari plus barabara ya vumbi
 
Umeandika kweli ila chumvi nyingi umezidisha usiandike kwasababu humpendi jiwe...mfano kigezo cha makabuli ni baada ya vyote kukosa uhakika...ukiandika hivyo watanzania ni wavivu kutafuta sources za info wanaamini wale mapadri wameulizwa swali hilo tu sisi sote ni wapinzani Ila upinzani wa ninyi wenzetu chadema umekua wakuchochea mihemko ya wananchi...

Kama hapo ilicho kiandika kina mantik Ila chumvi too much ndomana magu anatupiga bao Kwa huu ujinga twende straight tuache janja janja hizi siasa za zamani....

Kama humu kuNa watu umewapa moto siku wakija kuijua ukweli wanahamia CCM sabu utasikia chadema waongo mara wanapinga kila jambo tubadilike
Ni kweli kabisa ndio maana katupiga 2.5T ndani ya miaka miwili tuache ujanja ujanja, tena kavukavu hata kufake miradi hewa kama wenzake kushindwa, yeye anajichotea.
 
Umeandika kweli ila chumvi nyingi umezidisha usiandike kwasababu humpendi jiwe...mfano kigezo cha makabuli ni baada ya vyote kukosa uhakika...ukiandika hivyo watanzania ni wavivu kutafuta sources za info wanaamini wale mapadri wameulizwa swali hilo tu sisi sote ni wapinzani Ila upinzani wa ninyi wenzetu chadema umekua wakuchochea mihemko ya wananchi...

Kama hapo ilicho kiandika kina mantik Ila chumvi too much ndomana magu anatupiga bao Kwa huu ujinga twende straight tuache janja janja hizi siasa za zamani....

Kama humu kuNa watu umewapa moto siku wakija kuijua ukweli wanahamia CCM sabu utasikia chadema waongo mara wanapinga kila jambo tubadilike
Siwez mm support ccm kwa haya madudu
 
Back
Top Bottom