burundiInauma miongoni mwa Mapadre ninaowapenda na kuwakubali sana Ni katibu Mkuu Padre Raymond Saba inauma sana unafiki wa baadhi ya Maaskofu wakatoliki kuficha na kushindwa kuusema ukweli huyo anaeagiza wahoji uraia ni raia wa wapi
Mkuu nimejikuta nacheka kwa sauti maana nimetoka kusoma hiyo story punde dahMkuu ushaweka vitunguu kwenye Papuchi
Nyerere asili yake ni Rwanda, mzee Mwinyi Asili yake ni Comoro , mkapa kwao ni Msumbiji, kikwete Asili yake ni congo wakahamia Tabora baadae Bagamoyo, huyo wa sasa asili yake ni Burundi baadae akaja kuwa wa chato, viongozi wa Tanzania wote kwa kiwango kikubwa Asili zao si Tanzania bali ni Nchi jirani.unaweza kua sahihi,lakini huyo padri ni mrundi,hapo hata akipiga novena itamrudia hakuna dhulma hapo,ametendewa haki
Tanzania ndio nchi pekee dunia,mgeni anaweza kujichanganya na raia,akapata pasi na kadi ya kura akajifanya mtanzania
Vigezo vya Uhamiaji wa Tz wakati mwingine ni vichekesho na Aibu kubwa.Sijui kaburi la bibi yangu,maana alifariki wakati baba yangu akiwa mdogo sana.
Babu alifariki nikiwa darasa la 6 lakini kaburi lake lilisombwa na mafuriko.
So kwa vigezo vya UHAMIAJI "endapo nitaikosoa Dola" mie si MBONGO?
Tena sana ni balaa kubwaNchi ipo kwenye giza nene sana
Serikali ndio wanajisahihisha sasa muache kulalamika.Unafikiri nani anatakiwa kulaumiwa juu ya hilo, wavamizi au watendaji wa serikali?
Hapo sasa wanampora Pass Padri wanamuacha aliyempa Pass Padri.Vigezo vya Uhamiaji wa Tz wakati mwingine ni vichekesho na Aibu kubwa.
Kwahy unataka kusema kuwa serikali zilizopita hazikufanya kitu?Serikali ndio wanajisahihisha sasa muache kulalamika.
Amfanyie mpango akaishi Belgium aliko yule msalitiMsaidie kupata asylum nae aishi huko ughaibuni!
Ni kweli kabisa ndio maana katupiga 2.5T ndani ya miaka miwili tuache ujanja ujanja, tena kavukavu hata kufake miradi hewa kama wenzake kushindwa, yeye anajichotea.Umeandika kweli ila chumvi nyingi umezidisha usiandike kwasababu humpendi jiwe...mfano kigezo cha makabuli ni baada ya vyote kukosa uhakika...ukiandika hivyo watanzania ni wavivu kutafuta sources za info wanaamini wale mapadri wameulizwa swali hilo tu sisi sote ni wapinzani Ila upinzani wa ninyi wenzetu chadema umekua wakuchochea mihemko ya wananchi...
Kama hapo ilicho kiandika kina mantik Ila chumvi too much ndomana magu anatupiga bao Kwa huu ujinga twende straight tuache janja janja hizi siasa za zamani....
Kama humu kuNa watu umewapa moto siku wakija kuijua ukweli wanahamia CCM sabu utasikia chadema waongo mara wanapinga kila jambo tubadilike
Siwez mm support ccm kwa haya maduduUmeandika kweli ila chumvi nyingi umezidisha usiandike kwasababu humpendi jiwe...mfano kigezo cha makabuli ni baada ya vyote kukosa uhakika...ukiandika hivyo watanzania ni wavivu kutafuta sources za info wanaamini wale mapadri wameulizwa swali hilo tu sisi sote ni wapinzani Ila upinzani wa ninyi wenzetu chadema umekua wakuchochea mihemko ya wananchi...
Kama hapo ilicho kiandika kina mantik Ila chumvi too much ndomana magu anatupiga bao Kwa huu ujinga twende straight tuache janja janja hizi siasa za zamani....
Kama humu kuNa watu umewapa moto siku wakija kuijua ukweli wanahamia CCM sabu utasikia chadema waongo mara wanapinga kila jambo tubadilike