ni kweli tangu 2015 nchi hii imekuwa kama geleza - wananchi wanaishi kwa wasiwasi hasa ambao wana mawazo mbadala. CCM wanataka watu wote mil 60 tufikiri kama wao - hii ni mbaya sana.kufifisha demokrasia, uhuru wa habari na ukiukwaji haki za binadamu.