ni kweli tangu 2015 nchi hii imekuwa kama geleza - wananchi wanaishi kwa wasiwasi hasa ambao wana mawazo mbadala. CCM wanataka watu wote mil 60 tufikiri kama wao - hii ni mbaya sana.kufifisha demokrasia, uhuru wa habari na ukiukwaji haki za binadamu.
Kama yalikuwa yamekufa awamu ya 5 mbona hawakuondoka kipindi hicho wanatoa Notice ya kuondoka sasa? ...Mulamula anasema serikali ya awamu6 inafufua mahusiano yaliokufa awamu ya 5.
Samia anasema yeye na Magufuli ni kitu kimoja.
MaCCM yanasema KICHAA alikua SHUJAA.
Wafadhili /Mabeberu lazima wawashangae, na wanaona ni Serikali iliojaa uhuni na ubabaishaji mwingi.
Mungu awabariki sana Wazungu.!
Mtajiju , muulize Mulamula aliesema, sisi tunawaangalia mnavyoivuruga Nchi.Kama yalikuwa yamekufa awamu ya 5 mbona hawakuondoka kipindi hicho wanatoa Notice ya kuondoka sasa? ...
Kila kitu tuletewe, uzembe wetu mwingine. So uzembe wa kufikiri unatufanya tu-draw wrong conclusions.Ungetuletea details uamuzi wao ni wa lini na kwa sababu zipi siyo kukimbilia kusema watanzania ni wavivu wa kufikiri. So what ?
Mkuu, habari ya IQ sijui na wewe mwenye IQ sijui umeunganisha dots ngapi. Hoja yangu ni kuwa uamuzi wa Danmark haukufanyika kwa siku moja hivyo tusiuhusishe na aliye katika nafasi ya Waziri wa Mambo ya nje.Usiwe mvivu kudadavua mambo.
Inaelekea una IQ ndogo.
Baada ya mwendazake miaka mitano na miezi ya kuona hali ki nchi inaendelea kuzorota kwatika fani ya Haki za binadami, kufokewa na Mulamula, business as usual a la Mwendazake.
Halafu unashindwa kuunganisha dots.
Pengine upigwe radi ya kichwani!
Ndio maana nasema una uwezo mdogo sana kudadavua mambo.Mkuu, habari ya IQ sijui na wewe mwenye IQ sijui umeunganisha dots ngapi. Hoja yangu ni kuwa uamuzi wa Danmark haukufanyika kwa siku moja hivyo tusiuhusishe na aliye katika nafasi ya Waziri wa Mambo ya nje.
Hata hicho kidogo nilichouliza umeshindwa kutoa. Nani mzembe sasa ?Kila kitu tuletewe, uzembe wetu mwingine. So uzembe wa kufikiri unatufanya tu-draw wrong conclusions.