Kaja kuleta habari zake mpya na kuzidi kujichanganya zaidi.Hapo kwenye mafuta kuuzwa kwa tani ndio Msigwa nae kaniongezea maumivu ya kichwa aliyoyaanzisha Samia.
Simuoni kama Msigwa amekuja kutoa ufafanuzi, huyu amekuja kutuongezea changamoto kichwani.
Tatizo huwa hatulii kujipa muda wa kuja na majibu ya maana. Amezoea akiona bosi wake amekosea nae chap anakuja kuleta majibu yasiyojitosheleza, awe anajipa hata masaa 24 kutafuta majibu.Kaja kuleta habari zake mpya na kuzidi kujichanganya zaidi.
Huu ufafanuzi wake unasaidia nini? Sisi Watanzania tunanunua tani moja kwa fedha kiasi gani?Serikali kupitia Msemaji Mkuu wake, Gerson Msigwa, imetoa ufafanuzi wa kauli ya Rais Samia aliyotoa mchana wa leo Aprili 8, 2026, kuhusu bei za mafuta;
UFAFANUZI
Dunia nzima wanajua mafuta hununuliwa kwa ballel, yeye mambo ya tani katoa wapi. So anakuja na mambo ya tani ili tuone hoja yake ina mashiko. Pathetic .Serikali kupitia Msemaji Mkuu wake, Gerson Msigwa, imetoa ufafanuzi wa kauli ya Rais Samia aliyotoa mchana wa leo Aprili 8, 2026, kuhusu bei za mafuta;
🤣 🤣 🤣Muongo muongo muongo,
Bei za mafuta ghafi huwa zinatolewa kwa pipa, sio kwa tani.
Kapiga hesabu atuchanganyeDunia nzima wanajua mafuta hununuliwa kwa ballel, yeye mambo ya tani katoa wapi. So anakuja na mambo ya tani ili tuone hoja yake ina mashiko. Pathetic .
Mafuta hayanunuliwi kwa ballel yanapigiwa mahesabu kwa Barrel.Dunia nzima wanajua mafuta hununuliwa kwa ballel, yeye mambo ya tani katoa wapi. So anakuja na mambo ya tani ili tuone hoja yake ina mashiko. Pathetic .
Mwambie aliyesema ndo atafute elimu.Mafuta hayanunuliwi kwa ballel yanapigiwa mahesabu kwa Barrel.
Unaponunua in bulk ni tonnes of tonnes na kuna bei za Metric Tonnes ambayo ilikuwa hiyo 800.
Tafuteni elimu kabla ya kulalamika.