mwanawao
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 3,235
- 5,919
Ulikuwepo, kwani ulikuwepo, ubishi tu hahaaa🤣🤣🤣Metric tone mzee huwezi jua kila kitu.
Ulikuwepo, kwani ulikuwepo, ubishi tu hahaaa🤣🤣🤣Metric tone mzee huwezi jua kila kitu.
Wewe unayesema ballel badala ya barrel rudi shule.Mwambie aliyesema ndo atafute elimu.
🤣🤣🤣 Mafuta yanauzwa kwa kipimo cha tani,maana yake yanapimwa kwa kilo.Nani ananua mafuta kwa tani 🤣🤣🤣 Msigwa anapewa kazi ngumu sana
we nae n wale wale iyo 800 n tofauti ya bei ya mwanzo na sasa ( kwa maelezo ya msigwaMafuta hayanunuliwi kwa ballel yanapigiwa mahesabu kwa Barrel.
Unaponunua in bulk ni tonnes of tonnes na kuna bei za Metric Tonnes ambayo ilikuwa hiyo 800.
Tafuteni elimu kabla ya kulalamika.
😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂Hapo kwenye mafuta kuuzwa kwa tani ndio Msigwa nae kaniongezea maumivu ya kichwa aliyoyaanzisha Samia.
Simuoni kama Msigwa amekuja kutoa ufafanuzi, huyu amekuja kutuongezea changamoto kichwani.
Wewe paragraph zangu tatu zimekushinda kuzielewa ndio utaelewa kuwa mafuta yanauzwa kwa Tonnes?we nae n wale wale iyo 800 n tofauti ya bei ya mwanzo na sasa ( kwa maelezo ya msigwa
unadai watu watafute elimu, wewe tu kuelewa ufafanuzi wa karatasi moja umeshindwa alafu wajitapa una elimu.
labda elimu ya uchawa
Tani moja ya mafuta ni sawa na lita 1000-1300Metric tone mzee huwezi jua kila kitu.
Metric Tonne.Tani moja ya mafuta ni sawa na lita 1000-1300
Kuna sababu ya msingi sana tuna vipimo vya uzito na ujazo...
We umeona kosa hilo tu, ila uneshindwa hata kumkosoa aliyesema lita dola 800 na uko hapa kumpigia makofi kwamba kasema kitu cha maana na ana PhD ya elimu mbalimbali😁😁Wewe unayesema ballel badala ya barrel rudi shule.
Hakuna kitu kinaitwa Ballel.
Kumbe na wewe unakosea halafu unacheka wengine.?We umeona kosa hilo tu, ila uneshindwa hata kumkosoa aliyesema lita dola 800 na uko hapa kumpigia makofi kwamba kasema kitu cha maana na ana PhD ya elimu mbalimbali😁😁
🤣 🤣 🤣 Kuwa makini usichanganyikiwe kama unataka kumtetea Samia.Metric Tonne.
🤣🤣🤣🤣🤣Nani ananua mafuta kwa tani 🤣🤣🤣 Msigwa anapewa kazi ngumu sana
Kumbukumbu zangu zinanambia marekani wanachakata mafuta wenyewe, wananunu mafuta crude oil tena kwa barrel na sio kwa tani. Barrel 1 ni sawa na lita 159 ambalo linanunuliwa kwa dola 95.32.. Japo kuna baadhi ya nchi ndo wananunua kwa dola 100. Kama nimekosea mniambie. maana nakunywa pombe hapa.Serikali kupitia Msemaji Mkuu wake, Gerson Msigwa, imetoa ufafanuzi wa kauli ya Rais Samia aliyotoa mchana wa leo Aprili 8, 2026, kuhusu bei za mafuta;
Pia soma: Hotuba ya Samia kwenye page ya Ikulu imefutwa muda mfupi baada ya kuhutubia
Kumbe yule jamaa ndio anaitwa toilet paper?Niljua tu, toilet paper iitwayo Gerson Msigwa lazima itatumika.
Na kichekesho ni kwamba vitu vinavyotolewa ufafanuzi ni tofauti hata na alichokiongea muuaji wa Kizimkazi .
Msigwa kaja na mambo yake mengine na ni mapya.
Na tangu lini mafuta yakauzwa kwa tani??
soma paragraph zako eti ndo yanauzwa 800 hata iyo mia 8 ujui imekuja vpWewe paragraph zangu tatu zimekushinda kuzielewa ndio utaelewa kuwa mafuta yanauzwa kwa Tonnes?