Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Maelezo yaShukrani Kyando, Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Dar es Salaam, Shukrani Kyando kuhusu mwanamke aliyeonekana kufukuzwa kwenye nyumba yake eneo la Mikocheni.
Soma > Mjane wa Justice Rugaibula avamiwa, atolewa kwenye nyumba aliyoachiwa na mumewe pamoja na wapangaji wengine
Kwa nini huyo Mama hakufukuzwa hizo siku zote??Mnyonge mnyongeni haki yake apewe mama hana chake mume wake aliuza nyumba
Hapo zaman miaka hiyo had Sasa watu walikuwa anakukopesha hela unachoweka rehani unaandikishana nae kua umemuuzia Hadi irudishwe hela..ulishawahi kusikia hadithi ya tajiri Sunda na Babu Sambeke?? Na wakili mawala?Mnyonge mnyongeni haki yake apewe mama hana chake mume wake aliuza nyumba
Huyo mama anamlima mrefu wa kupanda, alichelewa kusajili CAVEAT...kama alivyosema Cimmissioner hapo...caveat imewekwa mtu kaishafanya uhamisho...na ndo maana wao wakarudisha polisi tu.Kwa ujumla wa file la ardhi... Bado Mama mjane ana madai yake na hayakufanyiwa kazi tangu 2012, wasikilize madai ya mjane na haki itendeke.
Mmh torvic...! kumaliza seva za jf tu, bongo hii haki gani imeshawahi kutendeka 😢
Maelezo yaShukrani Kyando, Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Dar es Salaam, Shukrani Kyando kuhusu mwanamke aliyeonekana kufukuzwa kwenye nyumba yake eneo la Mikocheni.
Soma > Mjane wa Justice Rugaibula avamiwa, atolewa kwenye nyumba aliyoachiwa na mumewe pamoja na wapangaji wengine
Huijui public sympathy wewe na tena tupo kwenye uchaguzi huyo mtu ajiandae kulipwa mabaki yq mkopo tu.Al
Huyo mama anamlima mrefu wa kupanda, alichelewa kusajili CAVEAT...kama alivyosema Cimmissioner hapo...caveat imewekwa mtu kaishafanya uhamisho...na ndo maana wao wakarudisha polisi tu.
Na huyo mama alisaini concert, ingawa anasema signature iligushiwa.
Mpaka sasa huyo mfanya biashara yuko mbele 3-0 umiliki uko kwake.
Kama aliuza bila kumshirikisha mkewe na kama signature yake imegushiwa(hii ni jinai) there are chances anaweza kushinda plus kwa lilipofika litapelekwa kisiasa, we all know that our courts are toothless.Mnyonge mnyongeni haki yake apewe mama hana chake mume wake aliuza nyumba