M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Maelezo yaShukrani Kyando, Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Dar es Salaam, Shukrani Kyando kuhusu mwanamke aliyeonekana kufukuzwa kwenye nyumba yake eneo la Mikocheni.
Soma > Mjane wa Justice Rugaibula avamiwa, atolewa kwenye nyumba aliyoachiwa na mumewe pamoja na wapangaji wengine
Principle tunayotumia kutokuamini machozi ya mwanamke, hiyo hiyo itumie kufahamu kuwa waume hufanya mengi nyuma ya pazia pasipo consent za wake zao.Tusiwe wepesi kuamini machozi ya mwanamke. Machozi huwa ni silaha yao hawa.
Isije ikawa yeye na mumewe walitake advantage ya Yusufu kuwa nje ya nchi kujaribu kumzunguuka wakati walishamuuzia.
Mwanamke anadai mumewe alichukua milioni 100 tu kwa Yusufu , lakini leo mamlaka za ardhi zinasema kuwa kumbe mume alishauza kwa milioni 260. Je ukweli ni upi?
Ayo sio maandazi mzee useme utafungiwa upeweHakuna kesi hapo. Mnunuzi apewe nyumba yake.
Ayo ❌ hayo ✅. Pumbavu.Ayo sio maandazi mzee useme utafungiwa upewe
Una hojaJe ni kweli saini ya mke iligushiwa au ulikuwa ni mpango wake na mumewe wachukue hela ya mtu halafu mke akimbilie kwenye vyombo vya dola kukana saini yake?
Kuna Jambo hapo linakuwa overlooked, halijadiliwi.Hapo zaman miaka hiyo had Sasa watu walikuwa anakukopesha hela unachoweka rehani unaandikishana nae kua umemuuzia Hadi irudishwe hela..ulishawahi kusikia hadithi ya tajiri Sunda na Babu Sambeke?? Na wakili mawala?
Halafu mali ambayo ni ya ndoa haiuzwagi bila ridhaa ya mke...tatizo wenye nguvu daima hushinda nchi hii
Umeonoa icho tu kwa sio* si ✅Ayo ❌ hayo ✅. Pumbavu.
waTz ndio waoga hiviHapo zaman miaka hiyo had Sasa watu walikuwa anakukopesha hela unachoweka rehani unaandikishana nae kua umemuuzia Hadi irudishwe hela..ulishawahi kusikia hadithi ya tajiri Sunda na Babu Sambeke?? Na wakili mawala?
Halafu mali ambayo ni ya ndoa haiuzwagi bila ridhaa ya mke...tatizo wenye nguvu daima hushinda nchi hii
Ukisikiliza vizuri zuio limewwekwa ikiwa tayari ishauzwa na hat kubadilishwa .kingine hiv kma jamaa alieuza kamma alimdanganya mnunuzi kua hana mke? Nathan serekal ingeweka kipengele kama unauza nyumba wawasiliane na rita kujua kma una ndoa au laa vingnevyo lawama ztakua nyingi maana hapo hata huyo muhindi anahaki zake nae inamana kama mama atapewa nyumba kwakigezo kua hakusain kuuzwa je muhindi atapewa niniHapo mama ana haki maana alishaweka zuio kwamba wanataka kuuza nyumba bila ridhaa yake ,ofisi ya ardhi wamechemka na mnunuzi imekula kwake ,huwezi kutoa hela bila kuonana na wahusika wote mke na mume na watoto kama wanao....Haki inaenda kwa Mama hapo.
Haiwezekani nyumba ya ghorofa Mikocheni na nyingine pembeni yake ikauzwa kuuzwa milioni mia mbili na nusu, hiyo ni bei ya kiwanja(dola laki tu hiyo) kwa kipindi hicho wanauziana/wanakopeshana. Sasa hivi kiwanja peke yake unaweza kupigwa dola laki mbili kwa hivyo hiyo haikuwa pesa ya kuuziana nyumba.Kuna Jambo hapo linakuwa overlooked, halijadiliwi.
Mauziano ipo sahihi ya mama mjane ambaye Sasa anaikana kuwa imegushiwa.
Mpaka hapo mama kashapoteza nyumba mpaka irakapothibitika ssahihi yake imegushiwa.
Kuna wakati hii michezo inafanyea na wauzaji Mali kudai hawakushirikishwa saini imegushiwa huku ukweli walishakula pesa.
Huyo mama kaweka finger prints sehemu ya saini yake.Haiwezekani nyumba ya ghorofa Mikocheni na nyingine pembeni yake ikauzwa kuuzwa milioni mia mbili na nusu, hiyo ni bei ya kiwanja(dola laki tu hiyo) kwa kipindi hicho wanauziana/wanakopeshana. Sasa hivi kiwanja peke yake unaweza kupigwa dola laki mbili kwa hivyo hiyo haikuwa pesa ya kuuziana nyumba.
Kuna mchezo kwenye documents ndiyo maana yule lawyer mwanamke anasema jamaa kapiga simu eti wafanye settlement, huyo mwanamke akomae na kesi na takukuru, polisi, ardhi, ofisi ya RC na hata usalama ikibidi washiriki kwenye kuhakiki documents, uchunguzi ufanyike kama huyo mwanamke alishirikishwa kwenye yote yaliyofanyika.
Haiwezekani nyumba umeinunua na hayo unazo utake settlement, nyumba kama ni yako kihalali you'll definitely fight for what belongs to you.
Inaonekana wewe ni mgeni na mambo town, all in all hakuna ghorofa ya bei hata nusu ya hiyo iliyotajwa kwa Mikocheni na hapo kuna nyumba mbili nyingine ambayo si ghorofa.Huyo mama kaweka finger prints sehemu ya saini yake.
Aliweka wakati amelala?
Ni rahisi kugushi sahihi siyo dole gumba (fingerprints).
Huyo mama kuna jambo hasemi ukweli.
Kama mwanamke hakushirikishwa sijui mwisho wake itakuaje..Principle tunayotumia kutokuamini machozi ya mwanamke, hiyo hiyo itumie kufahamu kuwa waume hufanya mengi nyuma ya pazia pasipo consent za wake zao.