Public sympathy kwenye mali za watu - utasubiri sana ndugu.Si kila mtu ataibuka ili apate hiyo sympathy.Unaongelea sympathy ya mali, wakati kuna cases za watu kupotea, kudaiwa kutekwa, Lissu wanamkomalia mahakamani - watu wanapiga kelele..lkn hakuna cha sympathy wala nini...Huijui public sympathy wewe na tena tupo kwenye uchaguzi huyo mtu ajiandae kulipwa mabaki yq mkopo tu.
You see!!! Haya mambo yanatokea sana.Kama mwanamke hakushirikishwa sijui mwisho wake itakuaje..
Kuna jamaa yangu afisa mikopo wa bank alimpa mkopo mwanaume dhamana Nyumba, mwanaume akaja na Mke fake,mkopo umetoka mwanaume katelekeza deni hili nyumba iuzwe,mke wake halali akaweka pingamizi mahakamani kua mkopo hatambui maana hakushirikishwa.. bank ikarudi nyuma,kesi ikamgeukia jamaa yangu afisa mikopo..na kazi aliacha..
Hiyo michezo waliyo fanyiwa ilikuwepo sana awamu ya nne ya Kikwete. Sasa inajirudia.Inaonekana wewe ni mgeni na mambo town, all in all hakuna ghorofa ya bei hata nusu ya hiyo iliyotajwa kwa Mikocheni na hapo kuna nyumba mbili nyingine ambayo si ghorofa.
I'm smelling rat from miles away, washirikishe na watu wa forensic ili ukweli ubainike.
Mkuu yule mama aliweka saini ya dole gumba (fingerprints). Hawezi kusema alama hizo ziligushiwa.Utapeli tu, wa huyo muhindi, kama single tu kuuza eneo kasheshe. Seuse ununue nyumba; bila mwenza wa ndoa kujua. Mpaka hapo mchakato wa sheria umevunjwa.
Hiyo michezo waliyo fanyiwa ilikuwepo sana awamu ya nne ya Kikwete. Sasa inajirudia.
Jambo ambalo nina uhakika nalo mjane na mumewe kweli walikopa hiyo pesa na waliweka collateral hiyo nyumba wakiwa na uhakika watalipa hilo deni kwa wakati.
Kumbe kwa wahuni wa wakati ule wanatengeneza mazingira usilipe kwa wakati wachukue nyumba. Mfano ukienda kulipa unakuta ofisi imefungwa au wahusika hawapo muda huo.
Na hata wasipo kutengenezea mazingira hayo ikitokea kuchelewesha siku moja tu, hawapokei pesa ya deni wanataka mali uliyoweka dhamana. Nahisi hiki ndicho kilicho tokea kwa ile nyumba.
Yule mama alijua kila kitu na aliweka dole gumba mwenyewe. Au kulikuwa na mgogoro na mumewe alimzunguka apate nyumba peke yake. Alimpigisha dole gumba akiwa amelala au amelewa pombe au madawa.
Au mume alimlaghai kwa janja janja mke akaweka dole gumba.
Ile kesi hawezi kushinda anatafuta huruma toka kwa umma na viongozi tu. The damage is already done, it can't be undone.
Doesn’t add up, yaani aridhie jambo; halafu akalipinge ardhi na polisi wakati mumewe yupo hai baada ya kujua ukweli na jalada lifunguliwe.Mkuu yule mama aliweka saini ya dole gumba (fingerprints). Hawezi kusema alama hizo ziligushiwa.
Soma hapo chini.
Mimi sijaelewa nyumba au mali ya ndoa ni mali ya aina gani ?!Hapo zaman miaka hiyo had Sasa watu walikuwa anakukopesha hela unachoweka rehani unaandikishana nae kua umemuuzia Hadi irudishwe hela..ulishawahi kusikia hadithi ya tajiri Sunda na Babu Sambeke?? Na wakili mawala?
Halafu mali ambayo ni ya ndoa haiuzwagi bila ridhaa ya mke...tatizo wenye nguvu daima hushinda nchi hii
Kasome ‘The Law of Marriage Act’Mimi sijaelewa nyumba au mali ya ndoa ni mali ya aina gani ?!
Naomba mnitoe gizani sijaelewa maana ya MALI YA NDOA!.
PRE-NUPTIAL agreement! hapo umeniacha njiani kwakuwa sijajua pia maana ya msamiati huo ambao kwangu ni mara ya kwanza kusikia !Kama huna prę-nuptial agreement na mwenza wako kwenye ndoa (technically). Elewa chako chake na chake chako mara baada ya kufunga ndoa.
Tanzania hakuna mambo ya pre-nuptial ndio maana nimefuta post.PRE-NUPTIAL agreement! hapo umeniacha njiani kwakuwa sijajua pia maana ya msamiati huo ambao kwangu ni mara ya kwanza kusikia !
Nifanyie hisani kwa kunifafanulia maana ya
PRE-NUPTIAL agreement!.
Huyo mkopeshaji(Muhindi) kumbe ni Shylock konki kabisa, anabiashara ya kukopesha pesa unaweka collateral. Sasa kama unavyosema ilikuwa ukienda kulipa unakwepwa au unawekewa mazingira tata, kipindi cha Mwendazake kumbe alikimbia akarudi kwao India. Ile familia alishaisumbua kwa vurugu kama hizi tulizoziona, hapo ali-time mume wa huyo mjane akiwa nje ya nchi. Alisakwa kipindi cha Jiwe akawapiga chenga, nasikia karudi this year baada ya kupigiwa pande na someone akakutana na Abdul Dubai ndipo amesafishiwa njia kurudi tena.Hiyo michezo waliyo fanyiwa ilikuwepo sana awamu ya nne ya Kikwete. Sasa inajirudia.
Jambo ambalo nina uhakika nalo mjane na mumewe kweli walikopa hiyo pesa na waliweka collateral hiyo nyumba wakiwa na uhakika watalipa hilo deni kwa wakati.
Kumbe kwa wahuni wa wakati ule wanatengeneza mazingira usilipe kwa wakati wachukue nyumba. Mfano ukienda kulipa unakuta ofisi imefungwa au wahusika hawapo muda huo.
Na hata wasipo kutengenezea mazingira hayo ikitokea kuchelewesha siku moja tu, hawapokei pesa ya deni wanataka mali uliyoweka dhamana. Nahisi hiki ndicho kilicho tokea kwa ile nyumba.
Yule mama alijua kila kitu na aliweka dole gumba mwenyewe. Au kulikuwa na mgogoro na mumewe alimzunguka apate nyumba peke yake. Alimpigisha dole gumba akiwa amelala au amelewa pombe au madawa.
Au mume alimlaghai kwa janja janja mke akaweka dole gumba.
Ile kesi hawezi kushinda anatafuta huruma toka kwa umma na viongozi tu. The damage is already done, it can't be undone.
Wakati uo nilimsikia yule mwakilishi wa Yusuphaly nilimsikia akimuomba RC hii issue isifike Mahakamani na RC akaitikia sawa.View attachment 3478376
👆🏾
Politicians lazima watashindana kuchukua points kwenye hili sakata, Kizimkazi hapa wamempa sehemu ya kuchukulia three points.
Huyo muhindi huwa ana kesi nyingi sana za mali za watu ambao huwa wanaenda kukopa na kuweka collateral lakini unaambiwa hajawahi kufika mahakamani, akiona mambo yanakuwa mengi ndipo anapochomeka settlement. Nasikia wajanja wote wa town wa forgeries, mahaka, polisi, wakuu wa wilaya na mkoa pamoja na utitiri wa watumishi wa serikali anawamudu💵💷.Wakati uo nilimsikia yule mwakilishi wa Yusuphaly nilimsikia akimuomba RC hii issue isifike Mahakamani na RC akaitikia sawa.
Picha yake na saini ya alama za vidole dole gumba lake vipo kwenye hati ya mauziano. Mama alishiriki vizuri Ila alijua wataweza kulipa Deni.Hati ya kubadili kiwanja imefanyika vipi bila ya taarifa zake au ushahidi wake.
Tatizo mauzo yangefanyika kisheria mama, Baba , mwana Sheria na muuzaji na hela kuwekwa benkiTusiwe wepesi kuamini machozi ya mwanamke. Machozi huwa ni silaha yao hawa.
Isije ikawa yeye na mumewe walitake advantage ya Yusufu kuwa nje ya nchi kujaribu kumzunguuka wakati walishamuuzia.
Mwanamke anadai mumewe alichukua milioni 100 tu kwa Yusufu , lakini leo mamlaka za ardhi zinasema kuwa kumbe mume alishauza kwa milioni 260. Je ukweli ni upi?
Chake kipi na nyumba iliuzwa😃Kutoka 2012, ardhi baada ya kusajiri zuio hawana taarifa yoyote? Kwa nguvu aliyonayo huyo Yusufally basi bimkubwa haambulii kitu.
Mwenye haki anaweza asiipate haki yake pia.Kamishna anajua kuelezea jambo kwa ufasaha sana,ametiririka vizuri sana,
Issue iliyobaki ni issue ya kisheria zaidi,mwenye haki ataipata haki yake.